Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

Sasa kama mtu hakuwa mzinzi,akawa aliamini hakuna hama hiyo,unadhani kuna kupona hapo?
Huna haja ya kuamini visivyowezekanika.
Mwanamke ni kiumbe wa emotional.

Unamnunulia range ya mil 500 anaenda gongwa na atakaye mnunulia Mafuta Lita 2 ili afike saluni akatengeneze nywele ulizolipia wewe..

#YNWA
 
Huna haja ya kuamini visivyowezekanika.
Mwanamke ni kiumbe wa emotional.

Unamnunulia range ya mil 500 anaenda gongwa na atakaye mnunulia Mafuta Lita 2 ili afike saluni akatengeneze nywele ulizolipia wewe..

#YNWA
Hivi,kwa nini hawa wanaoumizwa vichwa na hamasi na Israel,kuchambua mambo ya siraha na jeshi wasiyoyajua,wasihangaike kumtafuta mwanamke wa kwanza kukiuka maadili na kuchepuka.
 
Hivi,kwa nini hawa wanaoumizwa vichwa na hamasi na Israel,kuchambua mambo ya siraha na jeshi wasiyoyajua,wasihangaike kumtafuta mwanamke wa kwanza kukiuka maadili na kuchepuka.
Nimekuelewa sanaa ""Ulichomaanisha""
Ila sasa lazima uendane na Dunia jinsi ilivyo "You can't change the nature"

Nimezaliwa nikiona wanawake ni watu wakuficha maungo yao ila Dunia ya sasa ""ni tofauti sanaa""

Kwasasa Dunia haimtaki Tena mwanaume mwaminifu, maana wao ndio huumizwa sanaa na haya mapenzi.
Chakufanya "Ishi kama mapenzi ya millennial yanavyokutaka uishi""
Huhitaji kuwa padre huku Dunia nzima inaelekea msikitini.

#YNWA
 
Tatizo kubwa sana huwezi kuanzisha familia bila Kuoa au kuishi na mwanamke!!

Ukiamua kuishi nae,unaanzisha safari sasa kuianza safari ya maisha Ina cost sana sana akili,jasho,damu,moyo,Roho na nafsi na una reflect Mbali sana yaani kuleee na hisia moyo ready to go!ikitokea ile safari ikakatishwa ghafula bin vuuu kama hivyo ndio ajali hutokea kama Bus linapokua kwenye spidi na dereva kakanyaga mafuta yupo kasi halafu ghafla bin vuuu kizuizi kikakatiza ghafla majanga ya ajali hutokea na kuua wengi ndivyo ilivyo hata kwenye mahusiano!!!

Wanaoweza ku move on kirahisi kwenye mahusiano pale break-up inapotokea ni wale Malaya wa asili hao ndio hutosikia kajinyonga Wala kufa kisa mahusiano.!

Jamaa kajinyonga coz hakuwa Malaya wa asili yaani alikua committed kwenye safari ya maisha alioianza!na baada ya kuona safari alioianziha imeisha njiani akafanya tathmini ya gharama alizotoa akaona hawezi kuanzisha Safari nyingine na maisha yameaharibika kabisaa!!!

NAMUOMBEA KILA LA KHERI HUKO AENDAKO,SIMUONI MJINGA JAMAA ALIKUA SAHIHI!SIO KILA JAMBO AKILI NA MOYO VINAWEZA KU HANDLE INATOKANA NA COMMITMENT YA MUHUSIKA KWENYE JAMBO LENYEWE!!
 
Mapenzi yanauma kumamamamamake😂😂😂😂😂.
Na hisia zinajuabkujitengeneza kizembe
 
Tasoma nikimaliza kucommen
Sheria ya kwanza
Jipende wewe kwanza....
Sheria ya pili
Mpende huyo unaemuita mpenzi

Alafu ukifatilia za ndani ndani hao wanaofikia hatua hiyo ni wale wenzangu na mimi an yeye hana mambo mengi sio mtu wa michepuko sio mtu wa show show...

Anajikuta anapenda sana kuliko mzazi wake alaaah 😬😬😬😬😬

Nawaambiaga wanangu ujinga kama huu takuja kumchapa mtu akiwa hvo hivo amekufa
 
Sijawahi sikia mwanamke akijiua kisa kuachwa na mwanaume Liverpool VPN
 
Polepole mtatuelewa sisi wana KATAA UTAPELI UNAOITWA NDOA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…