Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

Sasa kama mtu hakuwa mzinzi,akawa aliamini hakuna hama hiyo,unadhani kuna kupona hapo?
Huna haja ya kuamini visivyowezekanika.
Mwanamke ni kiumbe wa emotional.

Unamnunulia range ya mil 500 anaenda gongwa na atakaye mnunulia Mafuta Lita 2 ili afike saluni akatengeneze nywele ulizolipia wewe..

#YNWA
 
Huna haja ya kuamini visivyowezekanika.
Mwanamke ni kiumbe wa emotional.

Unamnunulia range ya mil 500 anaenda gongwa na atakaye mnunulia Mafuta Lita 2 ili afike saluni akatengeneze nywele ulizolipia wewe..

#YNWA
Hivi,kwa nini hawa wanaoumizwa vichwa na hamasi na Israel,kuchambua mambo ya siraha na jeshi wasiyoyajua,wasihangaike kumtafuta mwanamke wa kwanza kukiuka maadili na kuchepuka.
 
Hivi,kwa nini hawa wanaoumizwa vichwa na hamasi na Israel,kuchambua mambo ya siraha na jeshi wasiyoyajua,wasihangaike kumtafuta mwanamke wa kwanza kukiuka maadili na kuchepuka.
Nimekuelewa sanaa ""Ulichomaanisha""
Ila sasa lazima uendane na Dunia jinsi ilivyo "You can't change the nature"

Nimezaliwa nikiona wanawake ni watu wakuficha maungo yao ila Dunia ya sasa ""ni tofauti sanaa""

Kwasasa Dunia haimtaki Tena mwanaume mwaminifu, maana wao ndio huumizwa sanaa na haya mapenzi.
Chakufanya "Ishi kama mapenzi ya millennial yanavyokutaka uishi""
Huhitaji kuwa padre huku Dunia nzima inaelekea msikitini.

#YNWA
 
GREETINGS
Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa""

Twende kwenye hoja.....

Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara?

BODY:-
Mi mwenzako tokea nianze mambo ya biashara kijana mwenzangu nishawahi kupata hasara nyingi tu, ila hazikuniuma sanaa kwasababu nilijiandaa kupokea matokeo yoyote.
Huwa naamini ""The Business is Zero Sum Game (0:1)""

Kwamba nipate kitu 1 (Sum) au nipoteze 0 (Zero).
Hivyo huwa najiandaa kwa tarakimu yoyote ya code ya 0:1

Mfano tu; Nishawahi kuwekeza mil 2 nikapata laki 2 "in return" hii ni pamoja na mtaji, kwamba nilipata hasara ya muda na Mil 1.8.
Ila si nilikua najua the outcome (worst or best) sasa KWANINI NIJINYONGE?

SCENARIO
Topic:- Adaiwa kujiua kwa sumu kisa mkewe kudai talaka

KIJANA Nadhiri Kamala, Mkuu wa Idara ya Elimu na Wanafunzi Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii (SMAUJATA) Mkoa wa Mwanza, anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu baada ya anayedaiwa mkewe, Yasinta (jina la pili tunalo) kumtaka ampe talaka.

Inadaiwa kuwa Yasinta alidai talaka kwa kuwa hakuwa tayari kuwa naye tena kimapenzi.

Kwa mujibu wa ujumbe wa mwisho wa kijana huyo katika moja ya kundi sogozi la mtandao wa jamii wa WhatsAPP la SMAUJATA usiku wa Jumanne Oktoba 31 mwaka huu, indaiwa kuwa mkewe huyo aliyemtaja kwa jina hilo la Yasinta, alimpeleka kusoma Chuo cha Udaktari Sumbawanga, lakini kabla ya mwezi kuisha alimtaka waachane.

Credit:- NIPASHE

CONCLUSION
Kwani hamjui kwasasa mapenzi ni biashara?
Kama ilivyo biashara nyengine, ukiwekeza kwa mwanamke uwe unajua kabisa kuna "Zero Sum Game" kwenye mapenzi. Kuna kushinda au kushindwa, sasa kwanini ujinyonge?

Kama huwezi kukubali hasara basi piga mbunye halafu sepa, sio unaganda kama kumbikumbi wanavyogandana, halafu ukiachwa unajinyonga.

Njia pekee ya kukimbia hasara ya biashara fulani ni kutofanya biashara hiyo. Sasa huzitaki hasara za mapenzi, Kwanini uwekeze kwa huyo mwanamke?

Wanawake wenyewe tunawajua, ni mama zetu (hatuwasemi vibaya) ila dah ""Kuna majanga mengi""

1. Ukimruhusu akasome chuo akifika chuo atagongwa.
2. Ukiwanae mbali kisa ajira, akiwa huko kazini kwake atagongwa
3. Akiwa mama wa nyumbani, ukimuacha nyumbani uende kutafuta mkate wa familia huku nyuma anagongwa tena anagongewa ndani kwako.
4. Ukimpa mtaji akatafute bidhaa kijijini aje kuuzia kwenu mjini, huko safarini atagongwa

Sasa "Why bother your self na kujinyonga??""
Wakati mbunye wenzako wanazipiga mihuri tu. Na wewe piga muhuri sepaaaaa.

Kijana Kamala umenisikitisha sanaa na kunihuzunisha balaa. Yaani unajinyonga kisa nyapuu hii hii nyapuu ukishaimwagia bao moja ""Akili zinarudi...!!""

RIP Brother.

Anyway:-
YANGA BINGWA.

#YNWA
Tatizo kubwa sana huwezi kuanzisha familia bila Kuoa au kuishi na mwanamke!!

Ukiamua kuishi nae,unaanzisha safari sasa kuianza safari ya maisha Ina cost sana sana akili,jasho,damu,moyo,Roho na nafsi na una reflect Mbali sana yaani kuleee na hisia moyo ready to go!ikitokea ile safari ikakatishwa ghafula bin vuuu kama hivyo ndio ajali hutokea kama Bus linapokua kwenye spidi na dereva kakanyaga mafuta yupo kasi halafu ghafla bin vuuu kizuizi kikakatiza ghafla majanga ya ajali hutokea na kuua wengi ndivyo ilivyo hata kwenye mahusiano!!!

Wanaoweza ku move on kirahisi kwenye mahusiano pale break-up inapotokea ni wale Malaya wa asili hao ndio hutosikia kajinyonga Wala kufa kisa mahusiano.!

Jamaa kajinyonga coz hakuwa Malaya wa asili yaani alikua committed kwenye safari ya maisha alioianza!na baada ya kuona safari alioianziha imeisha njiani akafanya tathmini ya gharama alizotoa akaona hawezi kuanzisha Safari nyingine na maisha yameaharibika kabisaa!!!

NAMUOMBEA KILA LA KHERI HUKO AENDAKO,SIMUONI MJINGA JAMAA ALIKUA SAHIHI!SIO KILA JAMBO AKILI NA MOYO VINAWEZA KU HANDLE INATOKANA NA COMMITMENT YA MUHUSIKA KWENYE JAMBO LENYEWE!!
 
Mapenzi yanauma kumamamamamake😂😂😂😂😂.
Na hisia zinajuabkujitengeneza kizembe
 
Tasoma nikimaliza kucommen
Sheria ya kwanza
Jipende wewe kwanza....
Sheria ya pili
Mpende huyo unaemuita mpenzi

Alafu ukifatilia za ndani ndani hao wanaofikia hatua hiyo ni wale wenzangu na mimi an yeye hana mambo mengi sio mtu wa michepuko sio mtu wa show show...

Anajikuta anapenda sana kuliko mzazi wake alaaah 😬😬😬😬😬

Nawaambiaga wanangu ujinga kama huu takuja kumchapa mtu akiwa hvo hivo amekufa
 
Nimekuelewa sanaa ""Ulichomaanisha""
Ila sasa lazima uendane na Dunia jinsi ilivyo "You can't change the nature"

Nimezaliwa nikiona wanawake ni watu wakuficha maungo yao ila Dunia ya sasa ""ni tofauti sanaa""

Kwasasa Dunia haimtaki Tena mwanaume mwaminifu, maana wao ndio huumizwa sanaa na haya mapenzi.
Chakufanya "Ishi kama mapenzi ya millennial yanavyokutaka uishi""
Huhitaji kuwa padre huku Dunia nzima inaelekea msikitini.

#YNWA
Sijawahi sikia mwanamke akijiua kisa kuachwa na mwanaume Liverpool VPN
 
Polepole mtatuelewa sisi wana KATAA UTAPELI UNAOITWA NDOA.
 
Back
Top Bottom