Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Masamurai walikuwa sio watu wale aiseeh! Wao ni kuua tu ndio lugha waliokuwa wanaielewa
 
Jamaa walikuwa katili mno na waliwatesa mno. Wachina na hata Wakorea.

Huenda ndio maana waliamua kuachana kabisa na mambo ya kijeshi baada ya vita ila taratibu wameanza kujijenga kwa shinikizo la US Ili kudhibiti nguvu za China.

T14 Armata FRANC THE GREAT TUJITEGEMEE Kichuguu
 
Aisee!Ndio maana N.Korea haziivi na hawa majamaa hadi leo hii.
Hata China hawana mahusiano mazuri yanayoeleweka na Japan.
Ila kizazi cha sasa hivi wastaarabu,wana upendo na wapole.
Au ndio mtoto hulipia dhambi za baba ye??
 
Zama zimebadilika.
Japan ya sasa sio ile ya 1940 kwenda nyuma.
Kwani huyo Iran mwenyewe hana historia ngumu??
Kaifuatilie toka ikiitwa Anatolia.
 
Aloo huyo mwanamke baada ya kumbaka waka amua wachomeke na mshale kabisa kwenye k...

Hao bomu la nyuklia liliwafaa sana.

Dunia ni salama mikononi mwa kiranja Marekani.

Hakuna mbwa atajaribu tena kutaka vita na Marekani, watabaki wanabweka bweka tu bila kusogea kwa Marekani...[emoji28][emoji28]
 
Aiseeh China atawafinya vibaya sana kwa sababu utakuwa zaidi ugomvi wa kihistoria kati yake na China.

And of course wachina wengi wanachuki ya kurithi na hawa masamurai kuna baadhi ya jamii za kichina za zamani kidogo zilizo baki wanachuki ya wazi na wajapan hata kujangamana na nao kama ndoa ni mzozo kweli kweli.

Na wachina suala la kulipa kisasi ni kama la kurithi dhidi ya Japan.

Kati ya Historia wachina hawaipendi ukiondoa opium war basi hii humiliation waliyotendewa na wajapan

One of the major atrocities committed during this period was the Nanjing Massacre of 1937–38.
 
hata leo japan si wa mchezo kbs , hawapend kujitangaza kama China ila kijeshi China asijichanganye kbs
Japan sasa hivi hana ubavu wa kupigana na China.
Na ikitokea basi Japan itafutwa katika uso wa dunia.
Muulize USA 1959 alikumbana na nini Jangsari katika vita za mgawanyo wa Korea.
We unadhani USA ni kichaa kutokusogeza pua kwenye Chinese affairs!?
China ni mighty in millitary kwasasa Japan haiwezi.
 
Aisee!Ndio maana N.Korea haziivi na hawa majamaa hadi leo hii.
Hata China hawana mahusiano mazuri yanayoeleweka na Japan.
Ila kizazi cha sasa hivi wastaarabu,wana upendo na wapole.
Au ndio mtoto hulipia dhambi za baba ye??
Kitu kingine kinacho ongeza chuki kati ya wakorea na wajapan na sio NK pekee hata SK nao hawawapendi wajapan pamoja ya kwamba wote wapo upande wa magharibi.

Watu wengi wa Asia hawawapendi wajapan kwa sababu hawajawahi kukubali makosa yao na kuyaombea msamaha ndio kwanza wauaji wa WWII wanawakumbatia
 
Usijidanganye.
USA hupaweka salama pale ambapo pana maslahi yake.
Pia USA hiyo hiyo hupaharibu pale ambapo anapotaka kubeba maslahi yake,dunia sio salama mikononi mwa USA.
Kuna mikataba iliingiwa na kuna unufakaji ulipatikanika kwa USA kusaidia vita ya pili ya dunia.
Hayo mataifa mathalan UK mpaka leo yana madeni ya USA kutokana na kufadhiliwa vita ya pili ya dunia.
Pia usimkuze USA hivyo,red sea hapo Yemeni imemzuia mpaka leo kashindwa kujitutumua.
 
Mwaka jana kama sijakosea Seoul waliadhimisha siku ya ukatili wa kingono uliofanywa na WaJapan kwa Korea na mmoja ya wahanga aliebaki hai alikuwepo.
Seoul walituma ujumbe kwa kuwaalika na kuwasihi Tokyo waombe radhi ila jibu walopewa hata Yesu hapendi.
Waliwaambia yaliyotokea ni past regime na regime ya sasa haihusiki na dhambi za nyuma.
 
Ukitaka kumjua USA ni nani basi jaribu kurusha kombora kwenye ardhi yake, Au kumsogelea kwenye ardhi yake.

Hao Yemen wanabwekea mbali hawajaribu kumsogelea USA kwenye ardhi.

Osama bin Laden alijaribu kumshika simba sharubu, alisakwa mpaka uvunguni mwa vitanda..πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…