Japan aliharibu meli nyingi na ndege za kivita za mmarekani (uncle Sam) vita ya pili ya dunia , ile trend ya Kamikaze au kujitoa mhanga , waasisi ni Wajapan , yale mameli makubwa ya mmarekani alikuwa ni pilot mmoja tu na ndege ya kivita iliyojawa explosives au milipuko anaendesha na kwenda kugonga hiyo meli na kusababisha maangamizi ,
Wanajeshi wengi na vifaa vingi vya mmarekani viliteketezwa na hii vita ilikuwa ngumu kwa mmarekani asikuambie mtu , pale Pacific palichafuka haswa .
Isingekuwa industrial mighty na mass production ya mmarekani Japan wasingemuweza
Industrial mass production ya mmarekani hasa baada ya kudeclare war ilikuwa ni balaa , alizalysha vifaa vya kijeshi kwa wingi mno na kuoverpower mjapan na Germany .
Na nchi karibia zote zilizoshiriki kwenye ile vita vilitumia mitambo n vifaa vya mmarekani .
Japan walikuwa nuksi haswa wale washenzi ,walianza kutwanga na kuvamia mpaka Australlia ndio ile Mmarekani akawa na yeye anaingia kwenye vita .