othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
China ana ushawishi gani zaidi ya kusambaza yale madude ya kamari ya Tsh.200Hii dunia haina mbabe ila ina kiranja wa political and economic influence ambaye kwa sasa ni China.
Kiushawishi wa kisiasa na kiuchumi/kibiashara China ndio kiranja.
masahihisho,Ndio yale yale tu. Walijiua kwasababu wanashindwa. Kwani akina Hitler, Heinrich Himmler na Joseph Goebbels walijiua sababu gani? Aibu ya kubondwa, kushindwa na kuhofia udhalili na kifuatacho wakikamatwa. Ego yao ilivunjwa vunjwa.
Ndicho kilichowakuta wajapan waliokuwa hawaamini kabisa kuwa wanashindwa. Wengine wakaona wafanye seppuku tu.
alaska ni sea route, hata route ya finland sio nzuri kumvamia rusdia....Mbona alaska ipo karibu na russia au taratibu sipo vipi pale
saizi mongolia kawekwa mtu kati, upande huu urusi na huu china, hapakani na nchi nyingine zaidi ya hizo mbiliMongolia walikuwa wakatili balaa. Yani walihakikisha wana spread terror throughout
kilichomsaidia mmarekani pia aliingia kwa kuchelewa, pia ww1 hakupigana!Japan aliharibu meli nyingi na ndege za kivita za mmarekani (uncle Sam) vita ya pili ya dunia , ile trend ya Kamikaze au kujitoa mhanga , waasisi ni Wajapan , yale mameli makubwa ya mmarekani alikuwa ni pilot mmoja tu na ndege ya kivita iliyojawa explosives au milipuko anaendesha na kwenda kugonga hiyo meli na kusababisha maangamizi ,
Wanajeshi wengi na vifaa vingi vya mmarekani viliteketezwa na hii vita ilikuwa ngumu kwa mmarekani asikuambie mtu , pale Pacific palichafuka haswa .
Isingekuwa industrial mighty na mass production ya mmarekani Japan wasingemuweza
Industrial mass production ya mmarekani hasa baada ya kudeclare war ilikuwa ni balaa , alizalysha vifaa vya kijeshi kwa wingi mno na kuoverpower mjapan na Germany .
Na nchi karibia zote zilizoshiriki kwenye ile vita vilitumia mitambo n vifaa vya mmarekani .
Japan walikuwa nuksi haswa wale washenzi ,walianza kutwanga na kuvamia mpaka Australlia ndio ile Mmarekani akawa na yeye anaingia kwenye vita .
Halafu sijui ni tamaa gani ilimuingia Hitler mpaka kuamua kumsaliti mwenzake maana Nazi na Soviet walikuwa ni kitu kimojaMistake ya Hitler ilikuwa ni kuoverstrech majeshi huku akijua ile frontline ya Russia ni ngumu kihistoria ,tangia enzi za akina Napoleon , walishindwa na kuambulia failure hapo , maana terrain yenyewe si rafiki ,na katika vita supplies ya mahitaji kama chakula ,mafuta ,madawa , nguo na silaha ni muhimu .
Na hata henchmen wake walimuambia ila akaamua kupuuzia .
Unamtoaje France nchi ya zamani zaidi na iliyoexperience Civil wars nyingi sana kabla UK haijazaliwa?kilichomsaidia mmarekani pia aliingia kwa kuchelewa, pia ww1 hakupigana!
dunia watabe wa vita tukiongea kiuhalisia ni uk, germany, france, russia na japan........ unaweza kumtoa france hapo, ila hao majamaa wa ulaya watatu na huyo mjapani wamepigana vita nyingi sana!
US ni mchumba tu, hajawahi pata mtiti wa maana kutoka kwa watabe wenzake...... US ni waoga sana wa vita utafikiri kenge!
Aisee umeniacha hoi!Hii dunia haina mbabe ila ina kiranja wa political and economic influence ambaye kwa sasa ni China.
Kiushawishi wa kisiasa na kiuchumi/kibiashara China ndio kiranja.
China ana ushawishi wa kiuchumi na kisiasa.China ana ushawishi gani zaidi ya kusambaza yale madude ya kamari ya Tsh.200
Lete claim unazozileta wewe ila je alishindwa hakushindwa?Iki ujue USA hakupigwa kwenye vita ya Vietnam lazima ujue hali ya kisiasa ilikuaje kipindi hicho katika Taifa la marekani.
Kiufupi vita hivyo vya Vietnam vilipingwa sn na wa USA wenyewe hali ilivopelekea rais wao Kennedy kuuawa so kimsingi ni vita ambayo USA hawakuwa na maslahi nayo.
Lkn pia kuna mambo mengi sn yaliyopelekea USA ku give kwenye hiyo war.jisomee utaelewa
Wewe zungumza nadharia sisi tunazungumza uhalisia uliopo.Yaani kama unaamini USA amechemka Red Sea basi bado huifahamu USA isome tena.
Ardhi inayoitwa ya Palestina inaweza kuwa claimed na Waarabu au Wayahudi. Kila mmoja ana sababu za msingi za kupaita nyumbani kwake, pale wanapogoma kukubaliana ndio machafuko yanatokea.Wanatumia mpaka Sasa huo mwavuli wa holocaust kuua Wapalestina kule Gaza na kupora ardhi Yao.
Yeyote anayeibuka kupinga hilo au kuikisoa Israel anaitwa mwenye chuki dhidi ya Uyahudi, ila huo mwavuli Kuna kipindi utatoboka tu maana Dunia imebadilika mno.
zitto junior
Shida Israel anataka sehemu yote.Ardhi inayoitwa ya Palestina inaweza kuwa claimed na Waarabu au Wayahudi. Kila mmoja ana sababu za msingi za kupaita nyumbani kwake, pale wanapogoma kukubaliana ndio machafuko yanatokea.
Binadamu wa kwanza alikua nyaniSikuzote mshindi ndio anaandika history.
Isingekua nyuki hwa washenzi ungekuta wamefika huku kwetu.