Wanaume ni wagumu by nature, ni risk takers than women, and they tend not to seek medical help until it is complicated (wagumu)Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Wamama ndiyo wanawapeleka hospitality watoto wao ndiyo maana wanaoneka wapo wengi ni mara chache sana kukuta Baba kampeleka mtoto wake HospitalKuna mambo mengi kaka yanayochangia wanawake kwenda hospitali ndio maana kuna wodi ya wazazi wanawake lakini hakuna wodi ya wazazi wanaume.
Kuna magonjwa ya mfumo wa kizazi kwa wanawake hii hata kwa wanaume pia ipo ila wanaume huwa hatupendi kujikubali kwamba mfumo wote wa kizazi haufanyi kazi au hadi umshawishi akubali kwamba yeye hana nguvu za kiume itachukua miaka 10 ndio aende hospitali plus gharama mtu akiwaza alivyotoka jasho kuipata laki 1 halafu aipeleke hospitali kirahisi kwa magonjwa ya kuambiwa tu na mdomo inakuwa ngumu ila wanawake wao pesa zao zinapatikana kiurahisi kwa kupewa tu
Inaweza kuwa hivyo. Wanaume mara nyingi hatupendi ibada mungu atusaidie sana utatukuta kwa wingi kwenye mabanda ya mpira, kwenye vyumba vya kubeti, uwanjani , kwenye matamasha ya wasanii n.k.Kwa hiyo watakuwa wengi mbinguni eti?
Wakina Mama ndiyo wanaongoza kwenda kuwatembelea wagonjwa hospitali na kuwapelekea chakula kwahiyo lazima waonekane wapi wengiMleta mada ameingia wodi ya akina mama na wanaojifungua sijui anatazamia atapata atawapata wanaume humo?
Hahaha, huu uchunguzi wako nimeukubali...kina mama kila sehemu wao wapo wengi, sio kupiga kura, na vinginevyo..wao ni rahisi kupokea jambo na kuanza nalo kupambana nalo..sisi wengine tuna ugumu sanaa..ndio maana tunakufa sana mkuuNipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Wanawake ni waoga kuugua yaani kifogo tuu anakimbilia hospital tofauti na mwanaume.Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Ngoja niongezee. Kwenye suala la UZAZI tu peke yake mwanamke anaweza kupata kansa ya shingo ya uzazi, uvimbe katika ovaries (sometimes hata kansa ya ovaries), fibroids, kansa ya matiti (breast cancer), kifafa cha mimba, upungufu wa damu wakati wa ujauzito, hata kama hana ujauzito kutoka damu bila mpangilio , kutoshika ujauzito n.k. Wakati mwanaume kwenye uzazi labda apate Tezi dume tu!!!!Watu wanaotoa hoja tunaumwa ila tunajikaza kiume haina ukweli.
Sababu za kweli hizi hapa
1. Wanawake wanapokea magonjwa kirahisi kuliko wanaume . Mfano mwanamke ni rahisi kupata HIV kuliko mwanaume kulingana na maumbile yao
2. Ulaji wao , wanawake wanakula hovyo kuliko wanaume hasa junk food
3. Uzazi na Malezi mwanamke anahusika zaidi ya 95%
4. Magonjwa kama fangasi , magonjwa ya ngozi, kansa ya matiti, kansa ya kizazi yanashambulia zaidi wanawake
5. Wanawake waishi zaidi kuliko wanaume yani ukifanya sensa ya kuhesabu watu wenye zaidi ya miaka 60+ utakuta kundi kubwa la wanawake kuliko wanaume na umri huo ndio magonjwa ya uzeeni .
NB
Ukienda hosptiali kubwa waambie wakuoneshe idara ya Urolojia utakuta wanaume wamejaa
Kiasi wanawake wanasumbuliwa na maradhi mengi kwa nature ya miili yao, ukozingatia ndio wenye jukumu kubwa la uzazi na niwetu wenye shughuli nyingi za hapa na pale.Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Uwoga wa wanawake unafanya wafike hospitalini mara kwa mara na matatizo yao kigundulika na kutibiwa mapema. Uwoga wa kobe, unasababisha aishi miaka mingi hadi zaidi ya 100. Ujasiri wa wanaume unasababisha kinyume chake, ni kama Simba wa porini, miaka 15 tu anarudisha namba kwa muumba.Ukienda kanisani ni hivyo hivyo,kwa waganga pia wanawake ndio wengi
Kwa ufupi hawakubali kufa kizembe
Au tuseme ni uoga wao tu
Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Hii ni kweli, Mens always huwa tunakuwa nunda, hadi mambo yachache ndio tuzinduke[emoji23][emoji23][emoji23]Tunaumwa lkn tunajikaza kiume
Kwa idadi wanawake ni wengi kuliko wanaumeNipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
YeahHii ni kweli, Mens always huwa tunakuwa nunda, hadi mambo yachache ndio tuzinduke[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapitia machungu mengi sanaNipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Na ukienda mochwari wanaokufa Wengi ni WANAUME NA wanaozaliwa Wengi ni WanawakeNipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba