Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanawake wanaumwa,na wanaume tunakufa!! hospitalini,wanawake kibao,,,makaburini wanaume kibao!!Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
😆Ukienda kanisani ni hivyo hivyo,kwa waganga pia wanawake ndio wengi
Kwa ufupi hawakubali kufa kizembe
Au tuseme ni uoga wao tu
kufa mapema c unawazidi umriAsilimia kubwa ya sisi wanaume tuna tabia ya kupuuza maradhi tofauti na kina mama ambao wao kila maumivu huchukulia ni kitu serious.
Mimi binafsi mpaka kwenda hospitali ni iwe nimeshikika hasa.
Pengine ndio maana huwa hata kwenye ndoa tunakufa mapema kabla ya wake zetu.
Poakufa mapema c unawazidi umri