Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu huu ni ushuhuda.
Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .
Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.
Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata.
Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa nikimshirikisha analiombea basi hilo jambo lazima litiki 100%.
Baada ya kutafakari nimegundua Baba ndo Mungu mwenyewe hivyo nimekuwa nikimpelekea mahitaji yangu ayaingize katika maombi na kweli kila kitu kimekuwa kinaenda swadakta.
Hii imenifanya kugundua umuhimu wa kuheshimu ancestors Kwa wale ambao baba zao wamefariki na kuheshimu baba zao.
Kwa sasa my Father is everything