Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

Ukimpa mtoto peremende, hakikisha mtoto huyo anamshukuru Mungu- Andrew Nyerere🤔

Mimi Huwa nabeba zawadi Kwa ajili ya watoto, na Huwa inanilipa sana kufungua MILANGO ya baraka.
Nakuamini kwa hili kwa 100% Mkuu kwani Wiki iliyopita nikiwa katika Kambi Moja Kubwa ya Kijeshi hapa Uganda nilionana na Watoto kadhaa wakitoka Shuleni Mchana huku wakiwa Wamechoka kwa Umbali na nikawapa Hela wakanunue ama Maji au Soda na Walinishukuru mno huku baadhi yao wakipiga Magoti ya Kushukuru cha Kushangaza baada ya Siku moja ( Kesho yake ) nikapokea Simu kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Uganda Mbuya ya Dada wa Finance akisema kuwa kaagizwa na Mkuu Mmoja anitumie Pesa Shilingi Laki Tano za Uganda ( 500,000UGX ) kama za Matumizi yangu na hii ni Nje ya Mshahara wangu na Posho yangu. Na nimepenga hii Hela kuwapa tena wale Watoto nikirejea tena huko Jumatatu ijayo.
 
Na uwe na uhakika kuwa ukiwapa tena watoto zawadi na msaada Kwa Upendo,

Hutakosa pesa tena na tena ya kupeleka furaha na Tabasamu Kwa watoto.

Hapo kinachofanyika, Mungu atapitishia kwako pesa akijua zitaenda Kwa watoto.

Baadae, uwe na mawazoya kufungua shule ya kuhudumia yenye hostel za kutunza watoto wasio na uwezo na yatima uone kama Mungu hatakupa pesa hizo haraka.!!
 
Haimaniishi hawapati japo huenda hawapati kikubwa kama tunavodhania baraka imeambatana na vitu vingi sio pesa pekeyake
Kuheshimiwa ni baraka
Kupendwa ni baraka
Kuaminiwa ni baraka pia
nilikua nasherehesha jukwaa.
by the way unapaswa kutoa kwa lengo la kuwahurumia wengine na kuona wakitabasamu. mambo ya kutoa sijui milango yako ifunguke sijui upokee baraka ni hoaxes.
 
Angalia usije pewa kesi ya ubakaji/ Ulawiti na hivyo vizawadi vyako
 
Mimi sijui nina nini kwanini Napendwa sana na Watoto na hata pale nikikutana tu na Watoto ambao huwa wanakataa ama Kubebwa na Watu au kuwa nao Karibu Mimi nikiwabeba hawasumbui kwa Kukataa na ndiyo Kwanza hucheka na hata kama alikuwa Analia akiwa nami hunyamaza.

Na ndiyo kutwa huwa nasema hapa kuna Wengine Kiasili tuna Karama ya Mungu inayofanya Wapumbavu watuchukie.
Angalia usije pewa kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto, maana watu wengi waliopendwa na watoto waliishia na hizo kesi, mfano mzuri ni Michael Jackson!!
 
nilikua nasherehesha jukwaa.
by the way unapaswa kutoa kwa lengo la kuwahurumia wengine na kuona wakitabasamu. mambo ya kutoa sijui milango yako ifunguke sijui upokee baraka ni hoaxes.
Ni kweli lkn nachoamini wengi wanaotoa ni sababu ya huruma na wanavoguswa na hao wanaowasaidia
 
2013.....

huo mwaka niliwahi kusafiri katika mkoa wa Arusha kwa ajili ya kutafuta fursa za kibiashara

wakati safari inaendelea nikiwa ndani ya mkoa wa Arusha huku mvua kubwa ikinyesha na milio ya radi ikipiga kwa kasi, wakati huo ni saa 9 usiku wa manane

kutokana na spidi ya gari kuwa 80 KpH aina ya Prado land cruiser TX mwangaza wa taa niliweza kumwona bibi akiwa na asili ya kimaasai, nilisimama na kumpa lifti bila kujali chochote, yule bibi alikubali na nikamfikisha Hadi anapo elekea ni porini Sana karibia na mbuga ya wanyama wakati huo saa 11:30 alfajiri yule bibi nimemfikisha kwake.

awali pindi tupo kwenye gari nilipata nafasi ya kuzungumza nae lakini hakutaka kueleza usiku ule na mvua zote zile alitokea wapi...? Haikuwa jukumu langu kulazimisha kuelewa yote hayo bali kumhakikishia usalama wake kwa wakati ule.

baada ya kumfikisha kwake alisihi nisubiri kwa muda kadhaa kisa aliingia katika boma lake na kuniletea mfuko mdogo ila una mawe wenye uzito ndani yake akaniambia hiyo ni zawadi yako majukumu wangu ubarikiwe kwa ukarimu wako nenda salama majukumu wangu.

nikaondoka zangu lakini kichwani Nina mawazo tele kwenye mfumo Kuna nini mbona Kuna uzito Sana kuangalia ni dhahabu alinipa. Kutoa ni moyo ndugu zangu Tena kwa ukunjufu.
 
Ndo maana kuna jamaa kila baada ya muda huwafurahisha watoto, pia kuna siku nilimkuta muhindi sijui mwarabu yule alilipa bili ya maji ya kunywa kwenye zile wanazouza stendi maji safi kwa wanafunzi wote watakao taka maji basi unawakuta wengi mno.
 
2013.....

huo mwaka niliwahi kusafiri katika mkoa wa Arusha kwa ajili ya kutafuta fursa za kibiashara

wakati safari inaendelea nikiwa ndani ya mkoa wa Arusha huku mvua kubwa ikinyesha na milio ya radi ikipiga kwa kasi, wakati huo ni saa 9 usiku wa manane

kutokana na spidi ya gari kuwa 80 KpH aina ya Prado land cruiser TX mwangaza wa taa niliweza kumwona bibi akiwa na asili ya kimaasai, nilisimama na kumpa lifti bila kujali chochote, yule bibi alikubali na nikamfikisha Hadi anapo elekea ni porini Sana karibia na mbuga ya wanyama wakati huo saa 11:30 alfajiri yule bibi nimemfikisha kwake.

awali pindi tupo kwenye gari nilipata nafasi ya kuzungumza nae lakini hakutaka kueleza usiku ule na mvua zote zile alitokea wapi...? Haikuwa jukumu langu kulazimisha kuelewa yote hayo bali kumhakikishia usalama wake kwa wakati ule.

baada ya kumfikisha kwake alisihi nisubiri kwa muda kadhaa kisa aliingia katika boma lake na kuniletea mfuko mdogo ila una mawe wenye uzito ndani yake akaniambia hiyo ni zawadi yako majukumu wangu ubarikiwe kwa ukarimu wako nenda salama majukumu wangu.

nikaondoka zangu lakini kichwani Nina mawazo tele kwenye mfumo Kuna nini mbona Kuna uzito Sana kuangalia ni dhahabu alinipa. Kutoa ni moyo ndugu zangu Tena kwa ukunjufu.
Duh aisee ilikikuwa kiasi gani alooh
 
Sio watoto tu mkuu,
Hata ukisaidia watu wazima wasiojiweza hua inaleta amani ya nafsi,
Hata ukimuelekeza mtu njia tu na akaelewa,hua inaleta amani fulani ndani ya nafsi,
Kusaidia watu ni njia mojawapo ya kua na amani ndani ya nafsi yako.
Watu wazima hasa kwa Dar, sasahivi mitego mingi, nimeipenda hii idea ya watoto unakuwa huna doubts zozote, ila sio wale watoto wanaozunguka na watu wazima.
 
Kuna jamaa mzungu alitoa story yake alikuwa amekata tamaa kabisa ya life depression ililikuwa imezidi kipimo, alikutana na mtu akamsaidia basi tokea hapo akaanza kusaidia random people huku anapost ktk kurasa wake siku zikaenda now kupitia gofund me ameweza saidia watu wengi nae maisha yake yamebadilika mno @mdmotivator instagram
 
Mzee wa simba upo vyema ni kweli kwa 101% kutoa kuna manufaa na baraka nyingi mno katika kutoa.

Juzi tu tar 2 mwezi huu wa sita natoka masjid kuna dogo akaniomba Mia tano na nilikuwa nayo mfukoni ila nikamwambia dogo unazingua .ila baadae nifuate pale kazini ntakupa. Chakushangaza hakutokea.

Baadae nikakutana nae nikamwambia mbona hujaja? Akaniambia nilikuwa na kazi
Basi nikampa jero akasema asante brother akaondoka.
Basi ile siku sijui hata ilikuwaje pah 50,000 tsh hii hapa bila hata jasho.
Nikajisemea au yule mtoto alitumwa kunijaribu ili nipate hela siku ya Leo.!!

Basi ikawa hivyo ndugu zangu.
 
Daaaaah ila Kuna watu ni wachumi sana mpaka hata wao wenyewe kula ni mchakato yupo tayari hata adondoke kwa njaa au ugonjwa lakini mfukoni anakibunda, na ndio wamefanikiwa sana kwa kusave, vipi Hawa watu au hii haiwahusu.??
 
Back
Top Bottom