GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Watakuwa hawatoi kutoka Moyoni bali wanatoa ama kwa Maagizo ya Waganga wa Kienyeji au wanatoa ili wapate Sifa.kuna watu nawajua wanatoa sana na maisha magumu ileile kibei mbaya
Haimaniishi hawapati japo huenda hawapati kikubwa kama tunavodhania baraka imeambatana na vitu vingi sio pesa pekeyakekuna watu nawajua wanatoa sana na maisha magumu ileile kibei mbaya
Nimeipenda hiiAkili nyingine za ajabu sana. Heading imeuliza swali. Nikategemea mleta mada angeleta majibu au angesubiri jibu, kumbe anatoa ushauri.
Nakuamini kwa hili kwa 100% Mkuu kwani Wiki iliyopita nikiwa katika Kambi Moja Kubwa ya Kijeshi hapa Uganda nilionana na Watoto kadhaa wakitoka Shuleni Mchana huku wakiwa Wamechoka kwa Umbali na nikawapa Hela wakanunue ama Maji au Soda na Walinishukuru mno huku baadhi yao wakipiga Magoti ya Kushukuru cha Kushangaza baada ya Siku moja ( Kesho yake ) nikapokea Simu kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Uganda Mbuya ya Dada wa Finance akisema kuwa kaagizwa na Mkuu Mmoja anitumie Pesa Shilingi Laki Tano za Uganda ( 500,000UGX ) kama za Matumizi yangu na hii ni Nje ya Mshahara wangu na Posho yangu. Na nimepenga hii Hela kuwapa tena wale Watoto nikirejea tena huko Jumatatu ijayo.Ukimpa mtoto peremende, hakikisha mtoto huyo anamshukuru Mungu- Andrew Nyerere🤔
Mimi Huwa nabeba zawadi Kwa ajili ya watoto, na Huwa inanilipa sana kufungua MILANGO ya baraka.
Na uwe na uhakika kuwa ukiwapa tena watoto zawadi na msaada Kwa Upendo,Nakuamini kwa hili kwa 100% Mkuu kwani Wiki iliyopita nikiwa katika Kambi Moja Kubwa ya Kijeshi hapa Uganda nilionana na Watoto kadhaa wakitoka Shuleni Mchana huku wakiwa Wamechoka kwa Umbali na nikawapa Hela wakanunue ama Maji au Soda na Walinishukuru mno huku baadhi yao wakipiga Magoti ya Kushukuru cha Kushangaza baada ya Siku moja ( Kesho yake ) nikapokea Simu kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Uganda Mbuya ya Dada wa Finance akisema kuwa kaagizwa na Mkuu Mmoja anitumie Pesa Shilingi Laki Tano za Uganda ( 500,000UGX ) kama za Matumizi yangu na hii ni Nje ya Mshahara wangu na Posho yangu. Na nimepenga hii Hela kuwapa tena wale Watoto nikirejea tena huko Jumatatu ijayo.
nilikua nasherehesha jukwaa.Haimaniishi hawapati japo huenda hawapati kikubwa kama tunavodhania baraka imeambatana na vitu vingi sio pesa pekeyake
Kuheshimiwa ni baraka
Kupendwa ni baraka
Kuaminiwa ni baraka pia
Angalia usije pewa kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto, maana watu wengi waliopendwa na watoto waliishia na hizo kesi, mfano mzuri ni Michael Jackson!!Mimi sijui nina nini kwanini Napendwa sana na Watoto na hata pale nikikutana tu na Watoto ambao huwa wanakataa ama Kubebwa na Watu au kuwa nao Karibu Mimi nikiwabeba hawasumbui kwa Kukataa na ndiyo Kwanza hucheka na hata kama alikuwa Analia akiwa nami hunyamaza.
Na ndiyo kutwa huwa nasema hapa kuna Wengine Kiasili tuna Karama ya Mungu inayofanya Wapumbavu watuchukie.
📌📌📌📌📌Watoto sio wanafiki. Wakikupenda utajua na Wakikuchukia utajua.
Ni kweli lkn nachoamini wengi wanaotoa ni sababu ya huruma na wanavoguswa na hao wanaowasaidianilikua nasherehesha jukwaa.
by the way unapaswa kutoa kwa lengo la kuwahurumia wengine na kuona wakitabasamu. mambo ya kutoa sijui milango yako ifunguke sijui upokee baraka ni hoaxes.
Duh aisee ilikikuwa kiasi gani alooh2013.....
huo mwaka niliwahi kusafiri katika mkoa wa Arusha kwa ajili ya kutafuta fursa za kibiashara
wakati safari inaendelea nikiwa ndani ya mkoa wa Arusha huku mvua kubwa ikinyesha na milio ya radi ikipiga kwa kasi, wakati huo ni saa 9 usiku wa manane
kutokana na spidi ya gari kuwa 80 KpH aina ya Prado land cruiser TX mwangaza wa taa niliweza kumwona bibi akiwa na asili ya kimaasai, nilisimama na kumpa lifti bila kujali chochote, yule bibi alikubali na nikamfikisha Hadi anapo elekea ni porini Sana karibia na mbuga ya wanyama wakati huo saa 11:30 alfajiri yule bibi nimemfikisha kwake.
awali pindi tupo kwenye gari nilipata nafasi ya kuzungumza nae lakini hakutaka kueleza usiku ule na mvua zote zile alitokea wapi...? Haikuwa jukumu langu kulazimisha kuelewa yote hayo bali kumhakikishia usalama wake kwa wakati ule.
baada ya kumfikisha kwake alisihi nisubiri kwa muda kadhaa kisa aliingia katika boma lake na kuniletea mfuko mdogo ila una mawe wenye uzito ndani yake akaniambia hiyo ni zawadi yako majukumu wangu ubarikiwe kwa ukarimu wako nenda salama majukumu wangu.
nikaondoka zangu lakini kichwani Nina mawazo tele kwenye mfumo Kuna nini mbona Kuna uzito Sana kuangalia ni dhahabu alinipa. Kutoa ni moyo ndugu zangu Tena kwa ukunjufu.
Watu wazima hasa kwa Dar, sasahivi mitego mingi, nimeipenda hii idea ya watoto unakuwa huna doubts zozote, ila sio wale watoto wanaozunguka na watu wazima.Sio watoto tu mkuu,
Hata ukisaidia watu wazima wasiojiweza hua inaleta amani ya nafsi,
Hata ukimuelekeza mtu njia tu na akaelewa,hua inaleta amani fulani ndani ya nafsi,
Kusaidia watu ni njia mojawapo ya kua na amani ndani ya nafsi yako.