Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

Mohammed gani alikua waafrika magharibi!?..lini!?
 
Hao wapagani ulikuwa na haki gani ya kuwarazimisha ukristo wenu.
walipingwa kwa matendo yao na sio kwa upagan wao , mbona hujibu juu ya hezbollah , taliban , alshabab , is central africa hawa wamechinja mtwara hapo , al ansar , adf , boko haram , janja weed etc hawa pia jihadism yao ni sahihi kuchinja watu?
 
Thibitisha hili kwa uislam
 
Madhehebu yote ya ukrisito ni zao la Ukatoliki.
akili zako kama mbuz , kisa kafanya shaban lawama apewe mudi kisa zaman shaban alikuwa anaitwa mudi
 
walipingwa kwa matendo yao na sio kwa upagan wao , mbona hujibu juu ya hezbollah , taliban , alshabab , is central africa hawa wamechinja mtwara hapo , al ansar , adf , boko haram , janja weed etc hawa pia jihadism yao ni sahihi kuchinja watu?
Taliban na jeshi la marekani Wana tofauti gani!?..Tena Bora Taliban wanapigania taifa lao,marekani kazi kuua watu wa taifa jingine,na bush alitangaza ni crusade/Vita vya msalaba
 
Ngoja niwalete Your Friendly Narcissist na Marco Polo na Maghayo huenda wana majibu.

Nawaleta kwenu kwa udhamini mkubwa wa hii verse..View attachment 2779970
Kilichoandikwa hapo ni sawa kabisa, ni maelekezo kutoka kwa Mungu kwa mfalme wa kwanza wa Israel "Sauli".
Ukikata kuelewa vizur soma Sura nzima, kusoma mstari mmoja hautaelewa kitu, hujui waamaleki walimfanyia nn Mungu na waliwafanyia nn waisraeli hadi Mungu akaamuru hio hukumu juu yao.
Soma sura nzima ndo utapata the full picture.

Ukimaliza kusoma, njoo tudiscuss kwann Mungu mwenye upendo aliamuru watu wauliwe tena hadi watoto.

Mm ni mtu ambaye siogopi maswali kuhusu imani yangu, sio kama wakristo wengine ambao wameridhika.

Mm bado natafuta kujua ukweli, kama una maswali ww lete mzee.
 
uliza kwanza ni watu wa wap , ilikuwa ulaya huko huko wala si Afrika ila leo hii uslam umesababisha maafa dunian kote , kasoro latin amerika ndo kidogo hakuna ushetan wa uislam maana kule walidhibiti huu ushetan
Hao wakatoliki walichinja watu wengi ukilinganisha na alshabab ni kama alshabab wanatania.
 
Hao walio chinja watu hawakuwa Wakristo hakuna popote Ukristo unalazimishwa ilikuwa ama uwe Islam au Mkatoliki
Hebu waulize wakatoliki wenzako hili, maana wewe inaonekana lilikupita kushoto.

Mlichinja watu wengi sana hiki wanachofanya Al shabab ni kitu iidogo sana ukilinganisha na mliyofanya nyinyi tena zama hizo.
 
Lakini hakuondoi ukweli kuwa wakristo wa sasa duniani kote ni zao la kanisa katoliki.

Bila utawala wa waroma kushika upanga kuieneza huo unao uita Ukatoliki nadhani ww hapo huo ukrisito wako wa kweli usinge kufikia.
Dini siyo kitu cha kukaa na kujisifia, tunajisifia imani zetu na matendo yetu mema,

Ukristo ulianza kabla ya huo ukatoliki, so unataka kusemaje?
 
Natamani kila mtu aelewe hiki ulichoandika hapa.
 
acha uongo mwendawazimu wewe.
 
Mzee pitia pitia uone symbol, names, numeralas zilitumikaje utakuja kuona kuwa hata hao waroma wamekwangua mahali hiyo idea ya kanisa even msalaba.
Since i studied Numerology and Symbology (Symbolism) ,Nakubaliana na wewe kwa 100% sema This was not the Mada ya leo
 
bila hao dunia isingekuwa sehemu salama ya kuishi.Mumshukuru sana Papal.
Ni kweli na saivi wanakaribia kuunga mkono ushoga siku inakuja ndoa za mashoga tutazishuhudia zikifungwa makanisani. kama huo ndiyo usalama wa dunia ni sawa.
 
Maybe nahisi bado hujaelwa Point yangu Nilichosema na ninachokisema Siku zote Madhehebu yote yamediverge from Rome na hakuna hata moja ambalo halina mizizi kwenye catholic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…