Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
inawahusu wote karibuni kwa mtazamo tofauti tofautiSisi wengine haituhusu?
evolution sio jibu kabisa kwasababu akili inge evolve kujilinda, kutafuta chakula etcJibu rahisi ni evolution, binadamu wameanza kuelewa hesabu za Ulimwengu 1700s, huku nyuma miaka 10,000 BC walikuwa cavemen tu
Huwezi kuipangia evolution process iishie wapi kama vile ambavyo hukuipangia ianzie wapi, pia binadamu sio lengo, pinnacle, end result au center ya evelution, binadamu sio hata center ya universe, ni mojawapo tu kati ya mabilioni ya viumbe waliokuwa shaped na evolution.evolution sio jibu kabisa kwasababu akili inge evolve kujilinda, kutafuta chakula etc
kwanini akili inaelewa quantum physics, inaelewa black holes galaxies, ime evolve vipi kuelewa kwa undani vitu kama hivi
Evolution inaweza kueleza kwa nini akili yetu inajua kuepuka simba, kutafuta chakula, kujenga makazi mambo ya maisha ya kila siku.Huwezi kuipangia evolution process iishie wapi kama vile ambavyo hukuipangia ianzie wapi, pia binadamu sio lengo, pinnacle, end result au center ya evelution, binadamu sio hata center ya universe, ni mojawapo tu kati ya mabilioni ya viumbe waliokuwa shaped na evolution
sijaelewa upo upande gani ?Mbona hata kwenye vitabu vya mungu anaelezea kuhusu ulimwengu unavyoweza kutoa majibu kuhusu hesabu au ulitaka kitabu cha m.mungu kikufundishe logarithm ndio uamini Soma huu mstari kwenye moja ya kitabu cha m.mungu
" Na tumefanya usiku na mchana kuwa ishara mbili za uwezo wetu tukautoa mwanga usiku ukawa kiza na mchana tukauweka mwanga ili kwenye huo mchana mtafute riziki fadhila itokayo kwa mungu wenu na mpate kujua idadi ya miaka na hesabu" Israel Aya 12
Hata huyo al battali pengine uelewa wa hesabu za siku kwenye mwaka kwa kufata kanuni hizo hizo
Sipo upande wa atheist nipo upande wa wanaomuamini mungu ndio ana super natural power ambayo kwa uwezo mdogo wa atheist kufikiri wanafikiria ni hesabu tu basisijaelewa upo upande gani ?
ok basi mimi sina shida na wewe au swali kwa upande wakoSipo upande wa atheist nipo upande wa wanaomuamini mungu
Evolution inaweza kueleza kwa nini akili yetu inajua kuepuka simba, kutafuta chakula, kujenga makazi mambo ya maisha ya kila siku.
Lakini evolution haielezi kwa nini akili yetu inaweza kuelewa quantum mechanics ulimwengu mdogo sana ambao hatuuoni, hatuugusi, hauna uhusiano wowote na kuishi au kufa.
haielezi kwa nini tunaweza kuelewa black holes umbali wa miaka bilioni ya mwanga ambao hauna uhusiano wowote na survival yetu.
haielezi kwa nini hesabu za abstract zilizoundwa kwa mchezo wa kiakili tu zinafanana na muundo wa ulimwengu ambao evolution haikutuandalia kuuelewa.
Evolution ilitengeneza akili ya kuishi si akili ya kuelewa cosmos. Lakini akili hiyo hiyo inaweza kuelewa cosmos. Kwa nini?
Uta evolve vipi kwa kitu ambacho hauna uhusiani nacho hata kidogo, wantama na binadamu tuna evolve kutokana na mazingira yanayotuzinguka tu Yoda
Hakuna jambo kubwa sana unalo jadili hapa mkuu, hii ni hoja dhaifu sana katika kuthibitisha uwepo wa mungu ndio maana hata ni nadra sana kutumika na theists kwenye mijadala. Binadamu kuelewa physics na astrophysics ni kama alivyoelewa mambo mengine yote tu, hakuna kitu cha kipekee sana kuthibitisha hiyo ni ishara ya uumbaji.okay ngoja tuanzie nyuma kidogo, ili uelewe nilichokua nikikwambia. Conciousness imetoka wapi na ubongo umewezaje kuwa compatible na mazingira kiasi cha kuweza ku evolve kutokana na mazingira.
pendekezo: tumia maneno yako badala ya screenshot za gemini ai kwasababu nina uhakika haina mtiririko mzima wa mada zimeanzia wapi.
ningeomba utafute fact zako huko kisha uje uniambie hapa kwa maneno yako badala ya kuja na screenshot uliyoibeba na kuja kuibandika
pia kwenye post yangu nimetoa mifano kadhaa, yote ukiangalia ina muelekeo mmoja: mtu alifanya calculation zake kichwani na kwenye karatasi, bila yeye kujua zitatumika wapi lakini baadae zinatumika kwenye ulimwengu wa uhalisia, kurusha roketi, satellite na kadhalika
naomba usome kwaa hatua kwasababu nataka kukujibu kwa kina na kwa upole kabisa labda kuna kitu uta toka nachoHakuna jambo kubwa sana unalo jadili hapa mkuu, hii ni hoja dhaifu sana katika kuthibitisha uwepo wa mungu ndio maana hata ni nadra sana kutumika na theists kwenye mijadala. Binadamu kuelewa physics na astrophysics ni kama alivyoelewa mambo mengine yote tu, hakuna kitu cha kipekee sana kuthibitisha hiyo ni ishara ya uumbaji.
Pia hayo mawazo yako ni kwa sababu unawazia katika matrilioni ya galaxies na sayari uhai na viumbe wenye akili wako katika sayari moja tu ya duniani, hujawahi kuwazi labda kumewahi kuwepo au zipo civilizations katika sayari nyingine zenye viumbe wenye sayansi na teknolojia hata mara elfu moja zaidi yetu.
Ukilazimisha sana kwamba ubongo wa binadamu na uelewa wake kuhusu physics sio nasibu bali ni uumbaji wa makusudi utarudishwa kule kule tu kutakiwa ueleze na uthibitishe ni nani aliyemuumba huyo aliyeumba ubongo wa binadamu unaohusiana na sheria za ulimwengu na god of gaps fallacy.
Conscious ni mjadala mwingine kabisa.
ninaacha shughuli zangu za mihangaiko kwa saa 48 ili kufuatilia uzi huu secretarybirdhuu uzi Atheists wanaupita kimya kama vile wanatoa salamu za mwisho,
ni masaa 5 sasa najadiliana na mtu mmoja ambae ni atheist, tofauti na nyuzi zilizotangulia ambazo kwa kawaida Atheists huzishambulia kwa kasi.
kwa Sisi tunaoamnini uwepo wa Mungu ( Theists )
hii ni alama ya usindi
kuishiwa kwa hoja kwa Atheists na kubaki na jibu la sijui kwa maswali yanayoulizwa huku wakidai wanajua kwa uhakika Hakuna Mungu inathibitisha kuwa wana kisia au wana hisi au wana Amini Hakuna Mungu. Lakini si kwamba wanajua kwa uhakika
wakizidi kukaa kimya ndani ya masaa 48 nitakua na uhakika kua hawana cha kujibu na nitaendelea na episode zinazo fuata hadi pale nitakapo baki mwenyewe kujiongelesha
Usiniite mdogo wakonaomba usome kwaa hatua kwasababu nataka kukujibu kwa kina na kwa upole kabisa labda kuna kitu uta toka nacho
umesema hoja ni dhaifu lakini sijaona ukiijibu.
kusema ni nadra kutumika si kujibu. mimi nimeitumia kwasababu najua huwezi kujibu
Niambie kwa usahihi kwa nini hesabu zilizoundwa akilini zinafanya kazi ulimwengu wa kimwili? Hiyo ndiyo swali. lipe jibu si tathmini yako ya ubora wa swali.
Umesema labda kuna civilizations nyingine zenye akili kubwa zaidi.
ni sawa ( labda ) lakini mdogowangu Yoda hilo halishughulikii swali langu hata kidogo.
Swali langu si je binadamu ni wa kipekee? Swali langu ni hili: ngoja ni highlight
Kwa nini kiumbe chochote binadamu, alien, au kingine kinachoundwa na atomu za ulimwengu huu kinaweza kuunda hesabu akilini mwake ambazo zinafanana na muundo wa ulimwengu huo?
Hata kama aliens wako wao pia watatumia hesabu hizo hizo. Wigner alizungumza kuhusu hesabu yenyewe si binadamu peke yake nikatoanmfano wa NASA walisema lugha watakayo tumia kuongea na Alisens ni hesabu kwasababu haijalishi mahali popote ulimwengu 1 + 1 = 2.
Aliens wakizigundua hesabu hizo swali bado lipo palepale: kwanini bado zinafanya kazi ?
God of Gaps inasema hivi Yoda
"sijui kitu fulani kwa hiyo jibu ni Mungu."
Hoja yangu inasema hivi mdogowangu
"naona pattern ya wazi na maelezo ya kimantiki ni kuna akili kubwa nyuma yake."
Hizi ni hoja tofauti kabisa. kwaiyo kama unahisi ni God of gaps nenda kajifunze upya Gid of gaps ni nini
Mwisho kabisa nisisitize hii umesema hoja yangu ni dhaifu sawa. Sasa nionyeshe udhaifu wake kwa kujibu maswali matatu rahisi tu, ( nitazibhiglit ili uzione vizuri
Moja kwa nini hesabu za akili zinafanya kazi ulimwenguni wa kimwili?
Mbili kwa nini kuna uzoefu wa ndani consciousness badala ya giza tu?
Tatu kama majibu yako ni sijui kwa maswali haya mawili kwa nini sijui ni jibu bora zaidi kuliko jibu langu ?
Maswali haya hayajajibiwa na sayansi hadi leo si kwa sababu ya ujinga wangu hata Wigner, Hawking, na Chalmers walikubali hawajui
ndo maana post yangu ya kwanza ya kuanzisha mada nilitoa mifano hai na nikawekana maswalinyao kwaiyo Yoda unaweza ukawajibia kwasababu sahivi wenyewe hawapo tena duniani