Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

mathematics.png
 
kuishiwa kwa hoja kwa Atheists na kubaki na jibu la sijui kwa maswali yanayoulizwa huku wakidai wanajua kwa uhakika Hakuna Mungu inathibitisha kuwa wana kisia au wana hisi au wana Amini Hakuna Mungu. Lakini si kwamba wanajua kwa uhakika
Neno "mungu" ni tata sana. Lina maana tofauti kulingana na tamaduni mbali mbali hata uzoefu binafsi wa watu pia.

Mungu yaweza kuwa muumbaji tu wa ulimwengu.

Lakini vile vile mungu yaweza kuwa ni cheo cha mamlaka flani inayoabudiwa kwa taratibu za kidini, ikiaminiwa kuingilia ama kushawishi maisha ya watu mf; Allah na Yahweh.

Yeyote kati ya hizo mbili au mchanganyiko wake, yaweza kuwa maana ya neno "mungu".
 
Lakini nilisha tafsiri mara kadhaa nakuanisha nikisema Mungu namaanisa, Supernatural power ambae ni chanzo cha kila kitu

Theist kwa ujumla ni watu wanaoamini Kwa Mungu au miungu au nguvu fulani iliyo juu ya zote kama chanzo cha ulimwengu

kwaiyo nachomaanisha mimi ni hiki: kuna nguvu, supernatural power ambayo ndio chanzo cha kila kitu. kama ukiita kwa jina lingine ila maana ninayomaanisha ni hiyo
 
Ni kweli, yapo mengi sana ya kustaajabisha kuhusu ulimwengu...

Pengine kuna kitu flani kimesababisha hayo.

Je, kitu hicho ni Mungu? Sijui. Siwezi kuthibitisha.

Kitu hicho kina utashi, mawazo na hisia(sifa za kibinadamu tunazopenda kukipa)? Sijui. Siwezi kuthibitisha.

Kilisababisha ulimwengu kwa makusudi au kwa bahati mbaya? Kina lengo gani? Sijui. Sasa najuaje?

Kinajali kuhusu binadamu na kutaka mahusiano nasi? HAPANA. Hakioneshi juhudi zozote za kufanya mawasiliano wala kujali kwa lolote.

Na maisha yangu yanaenda vizuri tu bila kuwaza mambo nisiyoweza kuyajua.
 
Lakini nilisha tafsiri mara kadhaa nakuanisha nikisema Mungu namaanisa, Supernatural power ambae ni chanzo cha kila kitu

Theist kwa ujumla ni watu wanaoamini Kwa Mungu au miungu au nguvu fulani iliyo juu ya zote kama chanzo cha ulimwengu

kwaiyo nachomaanisha mimi ni hiki: kuna nguvu, supernatural power ambayo ndio chanzo cha kila kitu. kama ukiita kwa jina lingine ila maana ninayomaanisha ni hiyo
Hizi label za "theist" na "atheist" zinachanganya sana kwa mtazamo wangu.

Kwenye hii misimamo, kuna vitu viwili;
1. Epistemology(unachokijua)
2. Ontology(unachokiamini)

Epistemology ziko mbili;
1. Gnosticism(una uhakika 100%)
2. Agnosticism(huna uhakika)

Ontology ni pana kidogo, ila kwa hapa tuelewe hizi mbili;
1. Theist(Mungu yupo)
2. Atheist(Mungu hayupo)

Unaweza ukakosa uhakika wa Mungu kuwepo lakini ukamuamini(Agnostic Theist).
Kimsingi kuamini ni kuwa na uhakika na mambo yasiyo bayana licha ya mashaka yanayokuwepo.

Kwahiyo ndugu imani yako haithibitishi kwamba "supernatural power" ipo ama haipo. Elewa hili.

Wengine hatutaki kuamini tu. Potelea pote. Tumeshaona kuamini/kutokuamini hakumbadilishii mtu chochote.
 
Hata ukiwa Atheist unaamini. Hiyo ni imani kwasababu hauna uhakika kua Mungu hayupo

"Belief In Absence"
Wapo wenye uhakika(Gnostic Atheists).

Mimi ni Ignostic; Naamini hakuna maana moja ya neno "mungu" inayokubalika na kila mtu hivyo huu mjadala hausaidii.

Bora utumie "religious" na "non-religious" maneno haya yanaeleweka zaidi.
 
View attachment 3573637
SCIENCE, MATHS sio kitu kipya,
Sayansi ipo kwenye asili ya vitu (jinsi kila kitu kilivyo na jinsi kinavyofanya kazi),
Sayansi, Maths ni harakati za mwanadamu ili kuelewa ulimwengu upoje na unafanya kazi kwa kanuni zipi.

Simply, SAYANSI - ni systematic study of nature (asili), Watu hujifunza na kuchunguza asili ya vitu, na kujiuliza (reasoning, critical thinking, cognition, n.k) kwa majaribio ya kitaalamu kwa nini hiki kipo hivi na sio vile,
Je nikiweka hivi au vile kitakuwaje? so as to understand the natural principles (kanuni za asili) ambazo zinafanya vitu viwe jinsi vilivyo.

TEKNOLOJIA - matumizi ya maarifa ya sayansi ili kurahisisha kazi, kutatua changamoto za kibiashara, kilimo, kiusafiri, kielimu, kiujenzi, kijeshi, kimatibabu, kimawasiliano, ki-uhandisi, n.k.

MATHS.
ili kuelewa hizi Kanuni za ulimwengu, ndo mwanadamu akaja na Mathematics (numbers) ili iwe rahisi kuelezea kanuni (principles) za vitu mbalimbali jinsi vilivyo in nature, na jinsi ulimwengu (universe) ulivyo.

Therefore, Ulimwengu haufati kanuni za binadamu, bali binadamu ndiye anayefata kanuni za ulimwengu.

Sabb, kanuni za ulimwengu zipo tu kiasili, MATHS ni mbinu ya vipimo (measurements) au lugha ya kisayansi iliyosanifiwa na mwanadamu ili kurahisisha kuelewa kanuni mbalimbali zinaendesha ulimwengu, life, things (matter).

Hivyo, MATHS na Science ni mbinu tu ili kusaidia watu waelewe nature of things na principles which govern life, things (matter) and universe.
kinacholeta swali si kwamba science na math ni kitu kipya, na si kwamba lazima ulimwengu ndo ufate akili za binadanu swali ni kwanini vina uhusiano mkubwa

narudia kunukuu baadhi ya wanasayasi:

Ni ajabu isiyoeleweka kwa nini hesabu zilizoundwa bila kujali ulimwengu wa kimwili zinafanya kazi vizuri sana kueleza ulimwengu huo. Hakuna

Stephen hawking: What is it that breathes fire into the equations and makes a universe for them to describe?"

kwaiyo swali sio kua hesabu ipo au ulimwengu upo kuanzia lini swali ni uhusiano uliopo, kwanini hesabu ambayo ni mchezo wa namba ndani ya akili ya binadamu unaunda parten zinazoelezea kwa usahihi ulimwengu wa kimwili. tena kwa usahihi mkubwa sana na kila mara

kama vitu hivi viwili vili evolve kivyake je imewezekanaje kuwa na uhusiano huu ?

( nilichofanya hapa ni kuelezea tu swali maana ulijibu kitu kingine kabisa, hivyo swali ndo hilo kama umelielewa, karibu kwa mtazamo wako )
 
Rejea tena post yangu, probably unaweza kupata majibu. isome kwa utulivu mwanzo mwisho.

Sijajibu kitu kingine, nmejibu hicho hicho ulichouliza ila nime-navigate kukuonesha connection ya MATHS, SCIENCES na TECHNOLOGY kwa makusudi ili kukupa jibu reasonable, ili uone MATHS ni nini kwa uhalisia wake katika asili na kanuni za ulimwengu.
 
Kobaz Al battani huyo, Haya sasa tukisema wagalatia kila kitu mlikopi mnaleta ubishi na kushoboka na vikalenda vya mashoga ya kirumi
 
Rejea tena post yangu, probably unaweza kupata majibu. isome kwa utulivu mwanzo mwisho.

Sijajibu kitu kingine, nmejibu hicho hicho ulichouliza ila nime-navigate kukuonesha connection ya MATHS, SCIENCES na TECHNOLOGY kwa makusudi ili kukupa jibu reasonable, ili uone MATHS ni nini kwa uhalisia wake katika asili na kanuni za ulimwengu.
hiyo connection wewe unaichukulia kawaida au for granted kwabababu tayari ipo ndo maana unajibu hivo

‎Connection hiyo inatoka wapi kama akili na ulimwengu vilitokea kwa bahati tena kwa muda tofauti ?
‎
 
narudia, "ulimwengu haufati kanuni za mwanadamu, mwanadamu ndiye anayefata kanuni za ulimwengu"

Ukielewa maana ya "Science" ni nini, huu mjadala utakuwa umeisha.
Sayansi ina branches nyingi,
Maths ni science.

Sayansi ni jitihada za mwanadamu kuchunguza na kuelewa kanuni za ulimwengu (nature) na jinsi ulimwengu (universe) unavyofanya kazi.

Rejea tu ile post, inayo majibu
 
unaongea ujinga hata hujui mada inasemaje

swala si nani anafuata kanuni ya nani swala ni hiyo
Connection inatoka wapi kama akili na ulimwengu vilitokea kwa bahati tena kwa muda tofauti ?
 
Sawa mtu mwerevu..
Rejea tena ile reply ya ujinga, isome vizuri.
Ukishatumia reason na logic zako, utaconclude kipi kilianza kuexist (je ni akili ya mwanadamu au ulimwengu)
Ukishapata jibu hapo, utapata hiyo connection.

Anachofanya mwanadamu ni kuunderstand tu the universe.
Mwanadamu naye ni part ya universe. (binadam ni part ya universe ambayo yenyewe inaweza kuuliza why?, how? tofauti na parts zingine ambazo zenyewe probably haziulizi why? How?)

The universe yenyewe ipo calculated kwa mpangilio maalumu, hiyo tu ni hesabu (rejea na mwanadamu naye ni part ya universe).

Katika kujiuliza why? How? huko ndo hapo wakaja na lugha ili kuelewa huu ulimwengu unafanya vipi kazi.

Hence, Maths ni lugha tu aliyoibuni mwanadamu ili kuelezea kanuni za ulimwengu ambazo zipo tu, again na binadamu naye ni part ya universe.
(kazi ya lugha ni ili kuwasiliana na kuelewana, so Maths ni ili iwe rahisi wanadamu wawasiliane kuelewa kanuni za ulimwengu ambazo zipo tu)
 
Anachofanya mwanadamu ni kuunderstand tu the universe
unachukulia for granted. Ubongo umepata wapi uwezo wa ku understand universe

The universe yenyewe ipo calculated kwa mpangilio maalumu, hiyo tu ni hesabu
unachukulia for granted kwamba universe ipo calculated lakini hujiulizi how kilichotokea kwa bahati kiwe calculated hivyo
Katika kujiuliza why? How? huko ndo hapo wakaja na lugha ili kuelewa huu ulimwengu unafanya vipi kazi.

Hence, Maths ni lugha tu aliyoibuni mwanadamu ili kuelezea kanuni za ulimwengu ambazo zipo tu, again na binadamu naye ni part ya universe.
(kazi ya lugha ni ili kuwasiliana na kuelewana, so Maths ni ili iwe rahisi wanadamu wawasiliane kuelewa kanuni za ulimwengu ambazo zipo tu)
kila kitu unachukulia for granted kwasababu tayari unakiona kipo kwamba akafikiria how ndo akaja na math

computer inaelewa lugha ya computer kwasababu ili undwa ili ielewe
inakua je tumetokea kwa chance kisha tukajikuta tunagundua na kuielewa Math kama ubongo haukuundwa ili uelewe

mbona atom zingine hazielewi, lakini mpangilio sahihi kwenye ubongo unatuwezesha kuelewa

usihukulie kila kitu for granted kwasababu unaona tayari kinafanya kazi
 
unachukulia for granted. Ubongo umepata wapi uwezo wa ku understand universe

unachukulia for granted kwamba universe ipo calculated lakini hujiulizi how kilichotokea kwa bahati kiwe calculated hivyo
kila kitu unachukulia for granted kwasababu tayari unakiona kipo kwamba akafikiria how ndo akaja na math

computer inaelewa lugha ya computer kwasababu ili undwa ili ielewe
inakua je tumetokea kwa chance kisha tukajikuta tunagundua na kuielewa Math kama ubongo haukuundwa ili uelewe

mbona atom zingine hazielewi, lakini mpangilio sahihi kwenye ubongo unatuwezesha kuelewa

usihukulie kila kitu for granted kwasababu unaona tayari kinafanya kazi
Haya tupe jibu sasa. Na uanze na ku-define "bahati" ni nini?
Maana umelisisitiza hilo neno 'bahati' kama hapo nilipoku-quote na kubold
 
pharao mimi ni miongoni mwa watu nisiye amini ktk dini, siamini ktk dini kwa sababu dini zote ni gunduzi za binadamu. Lakini ktk kumshawishi binadamu azikubali ilibidi waseme zimetoka kwa Mungu
Kuhusu nyinyi mnaoamini Mungu hata nyinyi mna enterest zenu , wengine mnaongozwa na hofu ya kuchomwa moto ili hali wengine mnataka kwenda peponi/mbinguni
Binafsi sijui kama Mungu yupo, hayupo au alisha kufa yote hayo ni mawazo yangu. Lakini kama yupo au aliwahi kuwepo bado naamini vile vitabu si vyake
 
sijawai kutaja dini hata maramoja kwenye mijadala hii wajinga wanjinga ndo mnaingiza dini huku na mambo ya moto au umeona hii mada ina mlengo wa kidini

ila nashukuru kwasababu wewe umesema haujui Mungu yupo au hayupo
inerest yangu ni watu wanaosema kwa uhakika Mungu hayupo. upande wako sina shida na wewe kabisa
 
Back
Top Bottom