Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

P h a r a o h Niko hapa nasibiria majibu yako mkuu.
‎mkuu point zako ni halisi kabisa ndiyo wanasayansi waliunda hesabu kulingana na patterns walizoziona sahihi.
‎pia ni swa, kuna confirmation bias hatari katika mjadala wowote nakubaliana na hilo ni onyo zuri.
‎lakini pointi hizo hazifiki tatizo la msingi na hapa ndipo tutakapoingia.
‎
‎Umesema ninaonyesha theories zilizofanikiwa tu na hilo ni haki.
‎lakini angalia hoja yangu kwa makini sionkwamba hesabu zote zinafanya kazi hoja yangu ni tofauti kabisa:
‎
‎namaanisha hivi mkuu Ibn Unuq
‎
‎Kwa nini akili ya binadamu inaweza kuunda hesabu yoyote inayofanana na muundo wa ulimwengu hata mara moja?
‎
‎Hata kama theories nyingi zimetupwa bado kuna theories zilizofanikiwa. Na swali ni hilo kwa nini zipo kabisa?
‎mfano rahisi chukulia napiga risasi gizani mara elfu na moja inapiga shabaha palepale swali si kwa nini nyingine zilipotea.
‎
‎Swali ni kwa nini moja ilifika kama sikuwa na dira yoyote ?
‎
‎Akili ya binadamu ina dira fulani inayoifanya igundua patterns za ulimwengu dira hiyo inatoka wapi?"
‎
‎pa kuhusu equetions kurekebishwa angalia kinachoendelea pale zinapoboreshwa:
‎
‎Newton aligundua gravity Einstein aliboresha lakini Einstein hakusema Newton alikosea kabisa alisema Newton alikuwa sahihi kwa kiwango fulani na yeye akaenda mbali zaidi.
‎Hii inamaanisha akili ya binadamu inazidi kukaribia ukweli wa ulimwengu polepole lakini inakaribia na ina dira inayoiwezesha.
‎
‎Kuzidi kukaribia ukweli kunamaanisha ukweli huo upo unangoja kugundulika.
‎ukweli unaongoja kugundulika uliwekwa na nani?
‎
‎oia kuhusu unataka nikwambie Mungu ni nini basi acha nikwambie maana nimesharudia mara kwa mara siongei kuhusu Mungu wa dini fulani wala siongei mtu anayekaa mawinguni ana ndevu hapana.
‎
‎kama ulivyosema hujui pia na kweli akili ya binadamu haina uwezo wa kujua gitu vingi mfano binadamu hawezi kuelewa 4th dimension lakini anaona parten na anajua ipo
‎mimi naona pattern inayonielekeza, na pattern hiyo inaelekeza kwenye Akili Kubwa kuliko yote.
‎Sijui kila kitu kuhusu akili hiyo lakini naona alama zake kila mahali Kitu hicho chenye uwezo wa kuweka kanuni, mpangilio, na akili nacho ni Supernatural Intelligence akili Kubwa.
‎Sisi wengine tunaita Mungu. Unaweza kukiita jina lolote lakini swali ni kama kipo sio jina lake.
‎
‎
‎
 
Wewe ni mzigo mzito sana. Unajiona mjuaji lakini hujui kitu. Zaidi ya kukalili huna la kwako.

Hilo swali unaliona la kipimbi lakini limebeba mambo mengi sana.

Kwa kifupi ni kwamba hakuna unachotumia unaweza kukiunda. Maana yake umekikuta na kimeundwa na binadamu kama wewe. Hata huyo Mungu, ameumbwa na binadamu kisha akawekwa kwenye kumbukumbu zako kama herufi na namba zilivyoumbwa.

Unachokijua kuhusu upumbavu wako wa mungu ni tone la maji baharini. Acha kusumbua watu
wewe inabidi uende kwenye kitengo cha afya ya akili ukae kwa miezi 6
 
‎mkuu point zako ni halisi kabisa ndiyo wanasayansi waliunda hesabu kulingana na patterns walizoziona sahihi.
‎pia ni swa, kuna confirmation bias hatari katika mjadala wowote nakubaliana na hilo ni onyo zuri.
‎lakini pointi hizo hazifiki tatizo la msingi na hapa ndipo tutakapoingia.
‎
‎Umesema ninaonyesha theories zilizofanikiwa tu na hilo ni haki.
‎lakini angalia hoja yangu kwa makini sionkwamba hesabu zote zinafanya kazi hoja yangu ni tofauti kabisa:
‎
‎namaanisha hivi mkuu Ibn Unuq
‎
‎Kwa nini akili ya binadamu inaweza kuunda hesabu yoyote inayofanana na muundo wa ulimwengu hata mara moja?
‎
‎Hata kama theories nyingi zimetupwa bado kuna theories zilizofanikiwa. Na swali ni hilo kwa nini zipo kabisa?
‎mfano rahisi chukulia napiga risasi gizani mara elfu na moja inapiga shabaha palepale swali si kwa nini nyingine zilipotea.
‎
‎Swali ni kwa nini moja ilifika kama sikuwa na dira yoyote ?
‎
‎Akili ya binadamu ina dira fulani inayoifanya igundua patterns za ulimwengu dira hiyo inatoka wapi?"
‎
‎pa kuhusu equetions kurekebishwa angalia kinachoendelea pale zinapoboreshwa:
‎
‎Newton aligundua gravity Einstein aliboresha lakini Einstein hakusema Newton alikosea kabisa alisema Newton alikuwa sahihi kwa kiwango fulani na yeye akaenda mbali zaidi.
‎Hii inamaanisha akili ya binadamu inazidi kukaribia ukweli wa ulimwengu polepole lakini inakaribia na ina dira inayoiwezesha.
‎
‎Kuzidi kukaribia ukweli kunamaanisha ukweli huo upo unangoja kugundulika.
‎ukweli unaongoja kugundulika uliwekwa na nani?
‎
‎oia kuhusu unataka nikwambie Mungu ni nini basi acha nikwambie maana nimesharudia mara kwa mara siongei kuhusu Mungu wa dini fulani wala siongei mtu anayekaa mawinguni ana ndevu hapana.
‎
‎kama ulivyosema hujui pia na kweli akili ya binadamu haina uwezo wa kujua gitu vingi mfano binadamu hawezi kuelewa 4th dimension lakini anaona parten na anajua ipo
‎mimi naona pattern inayonielekeza, na pattern hiyo inaelekeza kwenye Akili Kubwa kuliko yote.
‎Sijui kila kitu kuhusu akili hiyo lakini naona alama zake kila mahali Kitu hicho chenye uwezo wa kuweka kanuni, mpangilio, na akili nacho ni Supernatural Intelligence akili Kubwa.
‎Sisi wengine tunaita Mungu. Unaweza kukiita jina lolote lakini swali ni kama kipo sio jina lake.
‎
‎
‎
Neocortex Expansion: Over millions of years, the human brain grew significantly, with the prefrontal cortex becoming five times larger and more complex than in other primates. This expansion supports advanced abstract thought, planning, and language.
 
‎mkuu point zako ni halisi kabisa ndiyo wanasayansi waliunda hesabu kulingana na patterns walizoziona sahihi.
‎pia ni swa, kuna confirmation bias hatari katika mjadala wowote nakubaliana na hilo ni onyo zuri.
‎lakini pointi hizo hazifiki tatizo la msingi na hapa ndipo tutakapoingia.
‎
‎Umesema ninaonyesha theories zilizofanikiwa tu na hilo ni haki.
‎lakini angalia hoja yangu kwa makini sionkwamba hesabu zote zinafanya kazi hoja yangu ni tofauti kabisa:
‎
‎namaanisha hivi mkuu Ibn Unuq
‎
‎Kwa nini akili ya binadamu inaweza kuunda hesabu yoyote inayofanana na muundo wa ulimwengu hata mara moja?
‎
‎Hata kama theories nyingi zimetupwa bado kuna theories zilizofanikiwa. Na swali ni hilo kwa nini zipo kabisa?
‎mfano rahisi chukulia napiga risasi gizani mara elfu na moja inapiga shabaha palepale swali si kwa nini nyingine zilipotea.
‎
‎Swali ni kwa nini moja ilifika kama sikuwa na dira yoyote ?
‎
‎Akili ya binadamu ina dira fulani inayoifanya igundua patterns za ulimwengu dira hiyo inatoka wapi?"
‎
‎pa kuhusu equetions kurekebishwa angalia kinachoendelea pale zinapoboreshwa:
‎
‎Newton aligundua gravity Einstein aliboresha lakini Einstein hakusema Newton alikosea kabisa alisema Newton alikuwa sahihi kwa kiwango fulani na yeye akaenda mbali zaidi.
‎Hii inamaanisha akili ya binadamu inazidi kukaribia ukweli wa ulimwengu polepole lakini inakaribia na ina dira inayoiwezesha.
‎
‎Kuzidi kukaribia ukweli kunamaanisha ukweli huo upo unangoja kugundulika.
‎ukweli unaongoja kugundulika uliwekwa na nani?
‎
‎oia kuhusu unataka nikwambie Mungu ni nini basi acha nikwambie maana nimesharudia mara kwa mara siongei kuhusu Mungu wa dini fulani wala siongei mtu anayekaa mawinguni ana ndevu hapana.
‎
‎kama ulivyosema hujui pia na kweli akili ya binadamu haina uwezo wa kujua gitu vingi mfano binadamu hawezi kuelewa 4th dimension lakini anaona parten na anajua ipo
‎mimi naona pattern inayonielekeza, na pattern hiyo inaelekeza kwenye Akili Kubwa kuliko yote.
‎Sijui kila kitu kuhusu akili hiyo lakini naona alama zake kila mahali Kitu hicho chenye uwezo wa kuweka kanuni, mpangilio, na akili nacho ni Supernatural Intelligence akili Kubwa.
‎Sisi wengine tunaita Mungu. Unaweza kukiita jina lolote lakini swali ni kama kipo sio jina lake.
‎
‎
‎
Kuhusu mfano wako wa risasi gizani, nitauacha tu, sioni umuhimu wa kufanya Rejection of the relevance of the analogy.

Theories za kisayansi hutoka kwenye structured methodology na siyo random speculation, hivyo siyo sahihi kulinganisha scientific discovery na unstructured speculation.

Unapodai kwamba patterns za ulimwengu ziko stable sababu zimekuwa set by intelligence huoni kama umeongeza tatizo jipya litalokucost data and explainations?
Maana nitaanza kukuhoji hiyo intelligence ilitoka wapi na inafanya kazi kwa mechanism gani?
Na kwa nini tuitumie kama explanation ya mwisho ya kilakitu?

Unaposema lazima kuna designer wa hizo intelligent patterns, bado kuna maelezo mengi ya msingi unatakiwa kuyatoa ikiwemo huyo designer ni nani?
Na yeye alidesigniwa na nani?

Ukiconclude kirahisi tu kwamba kuna designer wa intelligence unajaribu kutafuta fit between mind and world kama alivyojaribu kufanya bwana mkubwa Plato au Emmanuel Kant.

Hivi mkuu,
Unaposema kuna designer wa intelligence unamaanisha una proof of facts au ni metaphysical assumption yako tu ya kutafuta maana zisizo na maana?
 
‎ kusema designer ataongeza maswali si jibu zuri sana. all inall jibu lako mbadala ni nini?
‎Ulimwengu wenye kanuni ulitoka wapi?
‎kanuni hizo zilitoka wapi?
‎akili inayozigundua ilitoka wapi?
‎kila jibu unaloweza kutoa nalo linaongeza maswali mapya yale yale.
‎Kwa hiyo tatizo unalonipa unalo wewe pia. tofauti ni moja tu mimi ninakubali tatizo hilo na kusema hapa ndiyo mipaka ya akili ya binadamu. tatizo hilo hilo unalo bila kulitambua. ulipata mfano binadamu hawezi kuelewa 4th dimension
‎
‎akili ya binadamu ina limits zake za kuelewa mambo kama tu za wanyama zilivyo, za wanyama tunazitambua kwasababu limits zao zipo chini yetu, huwezi ukamuelezea mbwa hesabu za kugawanya au magazijuto, ipo nje ya uwezo 2ake
‎
‎pia kuwataja Plato na Kant kama mfano wa watu waliojaribu kutafuta fit between mind and world bila mafanikio Plato na Kant walikuwa miongoni mwa akili bora zaidi katika historia ya binadamu. Walisoma walifikiria wakajadili na wakafika mahali ambapo akili inaelekeza kwenye kitu zaidi ya ulimwengu wa kimwili.
‎Kama watu hao wenye akili kubwa zaidi katika historia ya dunia baada ya kufikiria kwa kina wakafika hitimisho hilo je hitimisho hilo linastahili kudharauliwa kwa sentensi moja?
‎Au linastahili kujadiliwa kwa uzito sawa na walivyolifikia? hapo mkuu unawadigosha hao Miamba na unawakosea heshima
‎
‎kuhusu structured methodology ya sayansi inatofautiana na speculation.
‎nakubaliana kabisa na ndonmaana natumia ushahidi wa wanasayansi wenyewe Wigner, Hawking, Penrose watu wa structured methodology ambao baada ya kufuata methodology hiyo wakajikuta mbele ya swali ambalo methodology yao haikuweza kulijibu.
‎swali lao lilikuwa moja lile lile
‎Kwa nini kuna kitu badala ya hakuna kitu kabisa?
‎Methodology yako nzuri ina jibu gani kwa swali hilo?
 
Neno "mungu" ni tata sana. Lina maana tofauti kulingana na tamaduni mbali mbali hata uzoefu binafsi wa watu pia.

Mungu yaweza kuwa muumbaji tu wa ulimwengu.

Lakini vile vile mungu yaweza kuwa ni cheo cha mamlaka flani inayoabudiwa kwa taratibu za kidini, ikiaminiwa kuingilia ama kushawishi maisha ya watu mf; Allah na Yahweh.

Yeyote kati ya hizo mbili au mchanganyiko wake, yaweza kuwa maana ya neno "mungu".
Tamaduni ni nini?

Kwa sababu kuna tamaduni nyingi, mbalimbali. Jamii zingine zimeacha tamaduni fulani; wengine wanaendelea nazo.

Uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu unaleta utamaduni mzuri na kinyume chake ni sahihi.

Kwa hiyo utamaduni ni jambo linalotusaidia kujua watu wanapoita neno "Mungu" maana yake ni nini?

Ni nini kinarejelewa tunapoita neno Mungu?
 
Tamaduni ni tamaduni tu. Uzuri au ubaya upo kwenye mtazamo wako.
 
‎ kusema designer ataongeza maswali si jibu zuri sana. all inall jibu lako mbadala ni nini?
‎Ulimwengu wenye kanuni ulitoka wapi?
‎kanuni hizo zilitoka wapi?
‎akili inayozigundua ilitoka wapi?
‎kila jibu unaloweza kutoa nalo linaongeza maswali mapya yale yale.
‎Kwa hiyo tatizo unalonipa unalo wewe pia. tofauti ni moja tu mimi ninakubali tatizo hilo na kusema hapa ndiyo mipaka ya akili ya binadamu. tatizo hilo hilo unalo bila kulitambua. ulipata mfano binadamu hawezi kuelewa 4th dimension
‎
‎akili ya binadamu ina limits zake za kuelewa mambo kama tu za wanyama zilivyo, za wanyama tunazitambua kwasababu limits zao zipo chini yetu, huwezi ukamuelezea mbwa hesabu za kugawanya au magazijuto, ipo nje ya uwezo 2ake
‎
‎pia kuwataja Plato na Kant kama mfano wa watu waliojaribu kutafuta fit between mind and world bila mafanikio Plato na Kant walikuwa miongoni mwa akili bora zaidi katika historia ya binadamu. Walisoma walifikiria wakajadili na wakafika mahali ambapo akili inaelekeza kwenye kitu zaidi ya ulimwengu wa kimwili.
‎Kama watu hao wenye akili kubwa zaidi katika historia ya dunia baada ya kufikiria kwa kina wakafika hitimisho hilo je hitimisho hilo linastahili kudharauliwa kwa sentensi moja?
‎Au linastahili kujadiliwa kwa uzito sawa na walivyolifikia? hapo mkuu unawadigosha hao Miamba na unawakosea heshima
‎
‎kuhusu structured methodology ya sayansi inatofautiana na speculation.
‎nakubaliana kabisa na ndonmaana natumia ushahidi wa wanasayansi wenyewe Wigner, Hawking, Penrose watu wa structured methodology ambao baada ya kufuata methodology hiyo wakajikuta mbele ya swali ambalo methodology yao haikuweza kulijibu.
‎swali lao lilikuwa moja lile lile
‎Kwa nini kuna kitu badala ya hakuna kitu kabisa?
‎Methodology yako nzuri ina jibu gani kwa swali hilo?
asante sana chai ya rangi umejibu exactly kama vile ulikua akilini kwangu. Ibn Unuq njoo kwenye ujibu hapa tafadhali
 
Tamaduni ni nini?

Kwa sababu kuna tamaduni nyingi, mbalimbali. Jamii zingine zimeacha tamaduni fulani; wengine wanaendelea nazo.

Uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu unaleta utamaduni mzuri na kinyume chake ni sahihi.

Kwa hiyo utamaduni ni jambo linalotusaidia kujua watu wanapoita neno "Mungu" maana yake ni nini?

Ni nini kinarejelewa tunapoita neno Mungu?
asante Shilings umeenda mle mle nashukuru sana
 
‎ kusema designer ataongeza maswali si jibu zuri sana. all inall jibu lako mbadala ni nini?
‎Ulimwengu wenye kanuni ulitoka wapi?
‎kanuni hizo zilitoka wapi?
‎akili inayozigundua ilitoka wapi?
‎kila jibu unaloweza kutoa nalo linaongeza maswali mapya yale yale.
‎Kwa hiyo tatizo unalonipa unalo wewe pia. tofauti ni moja tu mimi ninakubali tatizo hilo na kusema hapa ndiyo mipaka ya akili ya binadamu. tatizo hilo hilo unalo bila kulitambua. ulipata mfano binadamu hawezi kuelewa 4th dimension
‎
‎akili ya binadamu ina limits zake za kuelewa mambo kama tu za wanyama zilivyo, za wanyama tunazitambua kwasababu limits zao zipo chini yetu, huwezi ukamuelezea mbwa hesabu za kugawanya au magazijuto, ipo nje ya uwezo 2ake
‎
‎pia kuwataja Plato na Kant kama mfano wa watu waliojaribu kutafuta fit between mind and world bila mafanikio Plato na Kant walikuwa miongoni mwa akili bora zaidi katika historia ya binadamu. Walisoma walifikiria wakajadili na wakafika mahali ambapo akili inaelekeza kwenye kitu zaidi ya ulimwengu wa kimwili.
‎Kama watu hao wenye akili kubwa zaidi katika historia ya dunia baada ya kufikiria kwa kina wakafika hitimisho hilo je hitimisho hilo linastahili kudharauliwa kwa sentensi moja?
‎Au linastahili kujadiliwa kwa uzito sawa na walivyolifikia? hapo mkuu unawadigosha hao Miamba na unawakosea heshima
‎
‎kuhusu structured methodology ya sayansi inatofautiana na speculation.
‎nakubaliana kabisa na ndonmaana natumia ushahidi wa wanasayansi wenyewe Wigner, Hawking, Penrose watu wa structured methodology ambao baada ya kufuata methodology hiyo wakajikuta mbele ya swali ambalo methodology yao haikuweza kulijibu.
‎swali lao lilikuwa moja lile lile
‎Kwa nini kuna kitu badala ya hakuna kitu kabisa?
‎Methodology yako nzuri ina jibu gani kwa swali hilo?
Tatizo lako ni kwamba unauficha ujinga wako uliokubuhu chini ya kivuli cha ujuaji mwingi.
Unafikiri kwanini mwenzio amekaa kimya, hujui kama bado anafikiria kitu cha kujibu?

Hivi unajua kama umeuliza maswali badala ya kujibu hoja?
Namimi nikisema nianze kutumia mbinu yako ya kuuliza maswali juu ya maswali huoni kama hatuwezi kufikia muafaka, tutabakia tunazunguka tu kwenye hiyo Complex questions logical fallacy.

Nakuwa bored sana unaponiuliza maswali ya kuhusu chanzo cha ulimwengu wakati nilishasema Sijui chanzo cha ulimwengu, huoni kama unanitwisha mzigo ambao sio wangu?
Huoni kama mimi niko kwenye position ya honest epistemic humility?
Na huoni kama kukubali kwangu kwamba sijui, hakukufanyi utoe conclusion ya designer wako kuwa yupo bila kujibu maswali yangu.

Kushindwa kuelewa msimamo wangu kumefanya ujenge hoja zako zote kupitia False ditochomy logical fallacy.

Sasa as long as umeshaelewa position yangu iko wapi kama nilivyofafanua hapo juu, nafikiri tutaenda sawa, turudi kwenya mjadala sasa.

Swali langu kwako, je, unakubaliana na hoja inayodai kwamba ulimwengu una designer?
 
asante sana chai ya rangi umejibu exactly kama vile ulikua akilini kwangu. Ibn Unuq njoo kwenye ujibu hapa tafadhali
Hakuna alichojibu hapo.
Zaidi ameleta kelele za maswali juu ya maswali, soma post niliyomjibu hapo juu utaelewa.

Nachokiona unatumia majibu yake kama excuse ya kushindwa kujibu maswali yangu.

Acha kudrift kwenye hoja zako mwenyewe.
 
Hakuna alichojibu hapo.
Zaidi umetumia majibu yake kama excuse ya kushindwa kujibu maswali yangu.
naomba urudie kuainisha maswalinyako kwa ufupi kisha uniambie wewe ni Theist au Atheist ?

Kwa ufupi na kwa maneno machache

kama mtu amejibu kilekile sina cha kurudia. Ningesema nini zaidi ya hapo ?
 
Mimi siyo Theist wala siyo Atheist,
Mimi ni Agnostic.
Na hili nimeshalizungumza mapema hivyo acha kupretend like huoni ninachokiandika.

Na kama alichokijibu ndicho nawewe ulitaka kujibu hivyohivyo bhasi soma post no.73, nimewajibu wote.

Anyway tukiachana na hizo kwepa kwepa zako za hoja, swali langu linasema hivi:
Unapodai kwamba kuna designer wa intelligence una proof zozote kuthibitisha hilo?
Au ni metaphysical assumption yako tu ya kutafuta maana zisizo na maana?
 
wewe inabidi uende kwenye kitengo cha afya ya akili ukae kwa miezi 6
Hujielewi na hujui kitu.

Ukishasema ipo nguvu iliyoumba na kusema mungu ndiye muumba, basi unakua umekiri wewe ni kiazi.

Hebu jiulize, kama sote tungeamini hivyo ni nani angeendelea kufanya utafiti? Nadhani, dunia ingekua haina watatiti na maendeleo ya teknolojia yasingekuwepo maana akili zetu sote zingeishia kuabudu na kupiga magoti kwa kitu ambacho hakipo.

Kadri watu waanvyozidi kujiuliza ulimwengu ulitokea wapi, ndivyo waanvyozidi kuvumbua vitu vingi. Huenda hivi tunavyoviona na kudhani vinastaajabisha, kumbe ni asilimia chache ya vyote vilivyopo. Maana yangu ni kwamba, huenda vipi vingi ambavyo havigundulika
 
Mimi siyo Theist wala siyo Atheist,
Mimi ni Agnostic.
Na hili nimeshalizungumza mapema hivyo acha kupretend like huoni ninachokiandika.

Na kama alichokijibu ndicho nawewe ulitaka kujibu hivyohivyo bhasi soma post no.73, nimewajibu wote.

Anyway tukiachana na hizo kwepa kwepa zako za hoja, swali langu linasema hivi:
Unapodai kwamba kuna designer wa intelligence una proof zozote kuthibitisha hilo?
Au ni metaphysical assumption yako tu ya kutafuta maana zisizo na maana?
kwakua wewe sio Atheist hapa tutakesha bila muafaka. target yangu ni Atheist, maswali hayo hayo unaweza kuwauliza wao pia ili tushirikiane kujibubu uone lipi linaridhisha akili
 
Lengo la Agnostic ni kujifunza,
Ndiyo maana tunakubali kuwa hatujui, Agnostic hatuweki bias na kujifungia upande mmoja hiyo itasababisha kukosa knowledge ya upande mwingine.
kwahiyo usikwepe maswali kwa kisingizio cha kwamba mimi ni Agnostiki.

Unapokwepa maswali mimi nitajifunzaje?
Sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kuandika uzi kama unachagua watu wa kuwajibu?
Kama wewe unafahamu kuhusu Mungu bhasi lazima unielekeze na mimi nimjue ili ujinga wangu wa kutokumjua uondoke.
Sasa ondoa hiyo bias unayoitumia kama excuse ya kukwepa maswali yangu.

Ngoja niliweke swali langu very clear:
Unauthibitisho wowote wa kutetea kwamba designer wa intelligence yupo?
 
Lengo la agnostic ni kujifunza,
Ndiyo maana tunasema hatujui,
Nilishakuwa Theist na Nilishakuwa Atheist but now najiplace kwenye upande wa kutokujua, lengo kutokuweka bias ya kujifungia upande mmoja.

Sasa kwanini unakwepa kunijibu maswali kwa kisingizio cha kwamba mimi ni Agnostiki?
Je, nitajifunzaje?
Kama wewe unafahamu kuhusu Mungu bhasi lazima unielekeze na mimi nimjue ili ujinga wangu wa kutokujua uondoke.

Mimi kuwa agnostiki kuna agnostiki hakuna uhusiano woworlte na wewe kushindwa kujibu maswali yangu wala hakunizii kushiriki na kuuliza maswali kwenye mada yeyote.

Sasa ondoa hiyo statement ya kusema huu uzi ni kwa Theist na Atheist pekee kumbe unayoitumia kama excuse ya kujibu swali.

Bhasi ngoja niliweke swali langu very clear:

Unauthibitisho wowote wa kutetea kwamba designer wa intelligence yupo?
kuwa agnostic ni upande mzuri kabisa kwasababu huo upande hauna ujuaji na pia ni kukubali kwamba akili ya binadamu ina mipaka ya kuelewa,

kuhusu kuthibitisha ni ngumu kuthibitisha kwa kutumia sentensi mbili au hata aya nzima, swali ambalo wamejiuliza watu kwa maelfu ya miaka

Kwaiyo usitegemee nitakwambia sentensi au maneno fulani ambayo au nikupe picha nikwambie Mungu huyu hapa hakuna binadamu yeyote ataefanya hivyo

au nikuulize uthibitisho unaouhitaji uwe wa namna gani na uwe na vigezo gani. lakini nisisitize kwamba upo upande sahihi hapo ulipo
 
Back
Top Bottom