Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

Don’t act like a victim over problems you created yourself.

Unaongea kuhusu hiyo connection as if ni proven fact wakati hakuna hata proof yeyote.
There’s no proof kwamba maths, theories or scientific discoveries zina connection na some unseen force or hidden intelligence.

Humans observe patterns kwenye universe, then they create explanations and symbolic systems to describe what they see,
Sasa hiyo haimaanishi kwamba waliogundua maths and theories wamepata ultimate truth of existence.

Science and theories keep changing all the time, which already proves kwamba human knowledge ni limited.
Na ukweli ni kwamba jinsi maths na theories zinavyofanya kazi doesn’t automatically prove kuna cosmic intelligence nyuma yake, maths and theories inaweza kuwa ni language humans created to organize their observations tu.

So kama mleta mada anasema hiyo connection kati ya mtu na unseen being ipo, basi kazi ya kuthibitisha hiyo claim ni yake, usinipe mimi mzigo wa kuthibitisha kwamba haipo.

Na kama wewe unamuunga mkono, basi msaidie kuthibitisha badala ya kuizungumza kama ni established truth wakati bado ni imagination na assumptions tu.

Can you actually prove it, or yo’re just decorating guesses with confidence and calling it truth?
Tukiachana na uchafu wote wa kuprove, kudive deep into science and language. And pattern recognition, emb jaribu kucheki hii perspective.
All of that boils down to something more than ourselves. Wewe una consciousness je consciousness ni Nini? Yaani it's like you are trying to crack the code that made who you are(unataka kujitafuna mwenyewe).

Unataka ni proove why am talking, seeing, imagining, speculating..! Mbona it's something simple to know I can't. I didn't even create my own existence.

Hapo hakuna equation au mathematical language inayoweza kuelezeka, ila it's something we "know" exists because we already did it.
 
Pia hapo kwenye concept ya kuwa hizo ni imagination you're wrong! It's not imagining it's knowing... Knowing is simply knowing. Wewe ndo unakuja na imaginative beliefs which are all logic.
 
Tukiachana na uchafu wote wa kuprove, kudive deep into science and language. And pattern recognition, emb jaribu kucheki hii perspective.
All of that boils down to something more than ourselves. Wewe una consciousness je consciousness ni Nini? Yaani it's like you are trying to crack the code that made who you are(unataka kujitafuna mwenyewe).

Unataka ni proove why am talking, seeing, imagining, speculating..! Mbona it's something simple to know I can't. I didn't even create my own existence.

Hapo hakuna equation au mathematical language inayoweza kuelezeka, ila it's something we "know" exists because we already did it.
You're mixing kati ya kufeel something is real with actually proving what it is.

Yes, consciousness exists, nobody is denying that, Tunajua, Tunaona, Tunafikiria, Tunaimagine, Tunaexperience existence.
Lakini kujua kwamba consciousness exists siyo same thing kama kujua source yake ni nini.

"We know” is not proof by itself, Watu wengi throughout history walikuwa wana know vitu vingi ambavyo later vilikuja kuonekana ni wrong.
So human feelings and certainty are not automatically truth.

Na kusema logic ni imagination while knowing is just knowing still doesn’t answer the main point.
Hivi unawezaje kudistinguish between ukweli na uhakika na imani inayoshawishi?

Mimi sijakataa, consciousness ipo.
Ninachokataa ni ile leap ya kutoka kwenye kukubali kuwa consciousness exists kwenda therefore kuna hidden connection fulani.
Hapo ndipo nasema feelings and assumptions zinaanza kuveshwa nguo za truth.
 
Lakini kujua kwamba consciousness exists siyo same thing kama kujua source yake ni nini.
Just like ambayo sisi hatuwezi kuona spectrum Fulani, ndivyo hatuwezi kujua source ya consciousness because that's our essence.

So there we have it, since it exists. Ni more saying that there's no link... The link is consciousness and without it. Man couldn't have the ability.

If energy can't be created nor destroyed, what's the source of energy?
 
sijaelewa upo upande gani ?
Kwanini unataka lazima achague upande kama kila upande anaona upo sahihi kwa hoja fulani na haupo sahihi kwa nyingine?
Huoni mtu akichagua upande anakuwa 'biased' anapojenga hoja, kufikiri na kutafuta UKWELI?
 
Just like ambayo sisi hatuwezi kuona spectrum Fulani, ndivyo hatuwezi kujua source ya consciousness because that's our essence.

So there we have it, since it exists. Ni more saying that there's no link... The link is consciousness and without it. Man couldn't have the ability.

If energy can't be created nor destroyed, what's the source of energy?
I don't know.
If you know, explain.
 
I don't know.
If you know, explain.
You know it's like trying to explain why you understand something. Huwa tunatambua kuwa tunajua, why?

So, it's like an infinite spectrum hakina mwanzo hakina mwisho. Ila kina duality, so linapokuja swala kama Hilo logic and science comes to an end.

Ila ego na binadamu ni mbishi, Buddha's and Hinduism wana penda ku retreave that state through meditation and other practices. That's when you understand There's God and you're one with God.
 
Stop using poetic language cause I'm not good with poems.

How do you distinguish between a spiritual experience and a brain generated experience?
 
Akili ya binadamu ipo vizuri sana kwenye kunotice patterns na hiyo ndio ineachangia pakubwa kuwepo tulipo
 
Back
Top Bottom