OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu mwanamke ana dharau sana KATIBA KUIITA KIJITABU BILA KUJUA HIKO KIJITABU NDIKO KIMEMUWEKA MADARAKANI KWA MSAADA WA KIKWETEOKW BOBAN SUNZU ....
Kwa hili nakuunga mkono 100%
Umeme+DP-WORLD + Abdul na Pesa za Polisi + katiba ni kijitabu....
Wengine mnaweza kuongezea....
Umeenda straight to the point na umeeleweka.Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Dharau kubwa. Mbele ya katiba, hata Bible na Quran hazijawekwa juu zimewekwa sambamba kumaanisha kuwa katiba ya jamuhuri inalindwa kuliko kitabu kingine chochote maana ndicho kitabu kimeshika inchi.Huyu mwanamke ana dharau sana KATIBA KUIITA KIJITABU BILA KUJUA HIKO KIJITABU NDIKO KIMEMUWEKA MADARAKANI KWA MSAADA WA KIKWETE
Mkuu mwanamke ni mwanamke tu haijawahi kuwa mtu wa kumuamini ni kiumbe cha hovyo sana ndio maaana Mungu katoa tahadhali kwenye kuishi nao viumbe hawaDharau kubwa. Mbele ya katiba, hata Bible na Quran hazijawekwa juu zimewekwa sambamba kumaanisha kuwa katiba ya jamuhuri inalindwa kuliko kitabu kingine chochote maana ndicho kitabu kimeshika inchi.
Yeye anaanza leta dharau.
Na wamekopa yrilions of money,Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Akishaondoka na hadhi ya Urais avuliwe kabisaTutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
She must go she must goTutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Honestly, hili limeshakuwa tatizo kubwa na baya kuliko..Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Tatizo la umeme ni utekelezaji wa ilani.Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.