Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Tunamsingizia tu ila ni wakati sasa Tanesco wawe serious na uzalishaji wa umeme wa gesi ukilinganisha sisi na misri sisi vituo vyote vya gesi vya kuzalisha umeme vyote ni chini ya megawatt 500 wakati ukienda misri wao wanaplant zaidi ya 5 kila moja ina magas turbine makubwa ya kuzalisha megawatt 4800 sasa ni wakati wa kuwa na vituo vya gas kama hivyo maana hata hio nyerere dam itazalisha megawatt 2000 wakati kumbe tunaweza kuwa na gas plant za kuzalisha mara mbili ya hio na uzuri gasi tunayo hivi vituo vya gasi vya kuzalisha mw 5 au 100 au 80 kwa kweli vinahaitaji kuhuishwa na ikiwezekana kuwe sera ya uwekezaji wa uzalishaji ianzie megawatt 1000 kwenda mbele kwa kuwa access ni 42% sasa ikiwa inaongezeka kila mwaka basi na production yetu lazima iwe kubwa lazima tuwe na mitambo ya kuzalisha surplus hata ya 500 hadi 1000 ikiwa haihitajiki tunazima tunapunguza uzalishaji ikihitajika tunawasha tunaongeza uzalishaji.
 
Eti maeneo mengi!!..unaongelea nchi gani labda??..juzi nikiwa Moro kutwa nzima no umeme..leo nilipo Moshono Arusha, walikata jana siku nzima..wakarudisha 12jioni, kufika 1:30 wakakata tena, ndio hadi saa hizi..yaani tunalala gizani kama mende..halafu unakuja na NGONJERA zako hapo..Idiot
Patakaa Sawa tu, Leo siku ya tatu mfululizo mkoa wa geita na shinyanga hatujakatiwa umeme kiufupi Kwa siku chache hizi za biteko hapo wizara ya nishati mabadiliko tumeanza kuyaona ni makubwa!!
 
Serikali ya awamu ya sita,ili imalize tatizo la umeme Tanzania,inapaswa kufanya maamuzi magumu ya kuwekeza kwenye -umeme wa Makaa ya Mawe ya Liganga na mchuchuma, umeme huu utumike viwandani,
-kukamikisha Mradi wa umeme wa Gesi asilia Mtwara/Madimba.Kuna wazungu walikuwa wanatafuta Gesi asilia baharini Mtwara, kuna taarifa kuwa utafiti ulitelekezwa awamu 5 na wale wawekezaji wameondoka kurudi kwao Merekani.
-Kukamilisha umeme wa maji wa Bwawa la Mwalimu Nyerere Rufiji pamoja na vyanzo vingine vya umeme.
 
Tujipunguzie mambo yakuwaza na kuweka kichwani iv kwel kwa akili yako mtoa mada ndo umewaza na kufikilia ivyo kwa Tanzania ipi na kwa wananchi wap wa kumtoa kiongozi kisa umeme wakat 75. % ya watanzania hawana umeme japo wanautegemea

Ujue ifike hatua tukue kiakili na kifikla Tz sio marekan wala sio south africa wala sio kenya
 
Hongera zako ewe mwenye akili unayelalamikia umeme badala ununue jenerator
Mpuuzi kweli,sasa viongozi wa nini,si tungejihudumia tu wenyewe kusingekuwa na serikali basi.Vichwa vingine vigonjwa kweli kweli.Generator ni kwa ajili ya dharura tu na sehemu ambazo miundombinu ya umeme hakuna,Acheni ujinga.Kwa hiyo unahalalisha biashara zao za kichizi za majenerata si ndio,yaani Watanzania mazumbukoko haswa......
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
She doesn't deserve to be there, check out below voting progress as of today 26 Sept 2023
1695717256439.png
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Sasa yeye umeme ataupata wapi, tumia akili kabla hujabwabwaja

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada futa huu uzi maana unatupa mashaka na uelewa wako
 
Yote haya mawili; ya bandari na umeme, kayataka mwenyewe kwa kuangalia mambo ya kujuana. Na mambo ya kujuana ndio yatayomponza sana kwenye uchaguzi wa 2025. Uchaguzi utakuwa mgumu sana kwake.
 
Honestly, hili limeshakuwa tatizo kubwa na baya kuliko..

And very unfortunately, kuwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yote iko kimya ni kama vile hawafanyi lolote kabisa pretending that things are okay while aren't..

Na sijui nani kamwambia kuwa tatizo la umeme linatatuliwa kwa kabadili sura za viongozi wanaosimamia sekta hii ya nishati ya mafuta na ya umeme. This is very pathetic...

Na hii inaleta maswali sana yasiyo na majibu kuwa, kwa takribani miaka 6 au 7 hivi wakati wa u - Rais wa John P. Magufuli, tatizo la umeme ni kama lilishaondoka Kwa zaidi ya 95%...

Lakini ndani ya miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan, tatizo limerudi Kwa kasi ya kutisha na Kwa ubaya zaidi kuliko nyakati ambazo tumewahi kuwa na shida ya umeme huko nyuma..!!

Wasithubutu kumsema Magu tena kwenye majukwaa yao. Mpaka sasa nadhani wameshajielewa kuwa hawamfikii yule bwana hata robo kwa utendaji kazi na hasa uzalendo wake.
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Tatizo la Tanzania ni ule mwenge wa uhuru umwtuweka.kuwa kama.mazombi fulani hivi
 
Yote haya mawili; ya bandari na umeme, kayataka mwenyewe kwa kuangalia mambo ya kujuana. Na mambo ya kujuana ndio yatayomponza sana kwenye uchaguzi wa 2025. Uchaguzi utakuwa mgumu sana kwake.
Tujiandae kuiweka CCM pembeni 2025

Tusiangalie wanamleta nani. CCM imehama kutoka kwenye misingi ya uanzishwaji wake.

Ni kuwapumzisha wajitafute kwanza ili nchi ipumue
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Watanzania hatujafikia ujasili huo maana katiba bado inatulinda
 
Back
Top Bottom