Honestly, hili limeshakuwa tatizo kubwa na baya kuliko..
And very unfortunately, kuwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yote iko kimya ni kama vile hawafanyi lolote kabisa pretending that things are okay while aren't..
Na sijui nani kamwambia kuwa tatizo la umeme linatatuliwa kwa kabadili sura za viongozi wanaosimamia sekta hii ya nishati ya mafuta na ya umeme. This is very pathetic...
Na hii inaleta maswali sana yasiyo na majibu kuwa, kwa takribani miaka 6 au 7 hivi wakati wa u - Rais wa John P. Magufuli, tatizo la umeme ni kama lilishaondoka Kwa zaidi ya 95%...
Lakini ndani ya miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan, tatizo limerudi Kwa kasi ya kutisha na Kwa ubaya zaidi kuliko nyakati ambazo tumewahi kuwa na shida ya umeme huko nyuma..!!