Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

Kwa akili zake, anajua tutajadili Umeme tusahau Bandari. Ajabu kabisa
 
Daah watu wa magufuli mna hasira sana
Comment hii ya kijinga sana,so wewe unaona TANESCO inafanya vizuri kiasi kwamba Samia hahitaji kuwajibishwa kwa ujinga unaoendelea TANESCO na mtu akidai kuwajibishwa Samia ni pro Magufuli!!!!Yaani mambo ya Msingi mnayageuza kuwa Kama ya Yanga na Simba!You couldn't be more stupid.
 
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalemani ametulia paleee anazoom, tulisema lile jinga litaiua tanesco mkashupaza shingo na bibi yenu kazi kulembua macho. Haya kuleni matunda ya utetezi wenu.
 
Wenzako wanakuka maisha we endelea kulalamika. Kwani unadhani we ndio unajua umuhimu wa umeme kuliko hao Tanesco?
 
Wanunue tu kama unapatikana.......hivi ukinunua umeme inabidi uanze kutandaza nguzo tena?
 
Rais wa Tz huwa siku zote hakosei ila hukwamishwa na watendaji/wasaidizi wake.
 
Leo maeneo ya Buza huku na Yombo kwa ujumla hakuna umeme na jana asubuhi haukuwepo ukarudi usiku, hili la umeme linatia hasira sana ..
Kuna Mikoa ilianza mgao wa umeme siku nyingi...ila tupo tunagugumia tu...aisee!
Waulize Manyara,Arusha na Singida.
 
Kwanini daraja la Kigongo-Busisi linalokaribia kumalizika lisimuondoe Samia madarakani?.

Kwanini hospitali zinazojengwa na kumalizika muda huu zisimuondoe ikulu?.

Kwanini daraja la Wami na lile la Pangani ambayo yameshamalizika yasimuondoe madarakani?.

Hii negativity ni sehemu ya matatizo yetu, tabia ya kuhamisha magoli na kutafuta hoja za lawama bila ya kukumbuka kuwa katika kila udhaifu mmoja wa awamu ya sita kuna mambo mema kumi yaliyoweza kutekelezwa.
 
Wenzako wanakuka maisha we endelea kulalamika. Kwani unadhani we ndio unajua umuhimu wa umeme kuliko hao Tanesco?
This is another very stupid comment.Yaani nashindwa kuwaelewa Watanzania,hivi mmekuaje?Evil,stupid and more.So in your stupidity and your crookedness you believe kula ni sawa,very evil indeed.
 
Umeme kutokuwepo kwa saa 1 ni hasara kubwa sasa imagine nchi hii sasa umeme haupatikani kuanzia masaa 12 na kuendelea na ni jambo la kawaida tena sio siku moja hali hiyo ni ya kuendelea.
Ccm mbere kwa mbere
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…