Kabisa mkuu labda tunaweza tukapata madini mengine ya ziadaNiko hapa...
Na vipi kwa binadamu yeye aliumbwa na mungu baada ya mda gani. Tiririka mkuuAisee yani unataka kufananisha mawe na binadamu yanaweza kuwa sawa umri.
Tunaposema umri wa dunia tunatafuta mwamba ambao utakuwa na umri mrefu kuliko mwamba wowote.
Mwamba huu ulipatikana kanada na ndio umetoa uthibitisho tokea mwanzo wa dunia kuwa ndio wenye umri wa dunia.
Kwa nini uwe mwamba uo?.
Sababu ya kusema mwamba una umri wa dunia kuna kitu kinaitwa ukusanyaji wa data kijiolojia katika ulinganishi wa carborn 14 kama walivyo chagua ndio ikapatika umri wa mwamba uo.
Upande wa mwanadamu uwezi kulinganisha mwanadamu na umri wa dunia sababu wakati dunia inaelekea kuwa kwenye maisha kulikuwa hakuna mazingira ya daraja pa viumbe ambavyo ni sisi sote vingeweza kustahimili mazingira yale ya mwanzoni.
Someni sana nchi za watu achana na kukalia michezo ya simba na yanga
Mijadala hii ukitaka kuchanganya mambo ya mungu utavuruga.Na vipi kwa binadamu yeye aliumbwa na mungu baada ya mda gani. Tiririka mkuu
Kwenye hili kidogo linanitatiza kwasababu kwenye biblia hakuna maelezo mengi yanayohusu dunia zaidi ya kuelezea uumbaji katika kitabu cha mwanzoEvolution
Soma kitabu cha enoki ndio kinaeleza mengi na kwa nini kilitolewa kwenye biblia.Kwenye hili kidogo linanitatiza kwasababu kwenye biblia hakuna maelezo mengi yanayohusu dunia zaidi ya kuelezea uumbaji katika kitabu cha mwanzo
Sayansi haina facts wanakuaminisha wanachotaka kuamini ,sayansi inabadilika kulingana na muda ...Tafiti bado zinaendelea kufanyika na sisi bado tunaendelea kufuatilia kwa sababu sayansi inakuja na fact pamoja na evidénce ukilinganisha na dini ambayo mara nyingi inaonekana na wéngi kuwa ni vitu vya kufikirika
Hapa umetumia dhana ya kisayansiKwa mujibu wa wanasayansi
Halafu ukatumia dhana ya uumbajiHatujui Mungu alikaa mda gani
Ukamalizia kwa bibleBwana Mungu akamfanya mtu kwa mafumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi haï.(mwanzo2:5-7).
Na vipi dini kwenye hili limekaaje maana dini ni maandiko tu ila sayansi ni ushahidiSayansi haina facts wanakuaminisha wanachotaka kuamini ,sayansi inabadilika kulingana na muda ...
Nimejaribu kulinganisha tu kupata uhalisia maana bible first human ni adam na sayansi ni ZINJATHROPUSTatizo lako linaanzia hapa
Hapa umetumia dhana ya kisayansi
Halafu ukatumia dhana ya uumbaji
Ukamalizia kwa bible
Hapo umeongelea kitu kimoja lkn kwa nadharia mbili tofauti halafu unataka jibu lifanane never ever.
Sayansi inautazama ulimwengu(universe) na utokeaji wake tofauti na nadharia za uumbaji na kwenye nadharia ya uumbaji pia ina tofauti ndogo ndogo baina ya imani moja na nyingine
Hakuna ushahidi ,sayansi imebase kwenye kuteteq jambo hilo : Sawa ukisema wale wa dunia duara na flat wote wana hoja ...Sayansi inakufanya uweze kuteteq kile kitu kwa kuwaaminisha watu ,huo ndiyo msingi mkubwa wa sayansi ..Na vipi dini kwenye hili limekaaje maana dini ni maandiko tu ila sayansi ni ushahidi