Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Tukubali tuu hatujui, tunapita tuu hapa na hatujui tumetoka wapi au tunaelekea wapi
1959 ndo NGORONGORO imeanzishwa. Usichanganye madaSio 1935 ni 1959. Rekebisho.
Thibitisha Mungu yupo.Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia).
Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la binadamu wa kale Australopithecus boisei (ZINJATHROPUS) ambaye inasadikika kuwa ndo binadamu wa kwanza kuishi hapa duniani takribani miaka million 3.5 iliyopita. Ukiangalia kwa harakaharaka hapo ni tofauti ya miaka mingi sana.
Hatujui Mungu alikaa mda gani kumuumba binadamu wa kwanza alipomaliza kuiumba dunia ila biblia inatueleza kuwa, siku ile Mungu alipoziumba mbingu na nchi hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipukabado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi.
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mafumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi haï.(mwanzo2:5-7). Haijulikani Adam aliumbwa baada ya mda gani toka kuumbwa kwa ulimwengu ila tu tunajua kuwa Adam aliishi miaka mia tisa na thelathini.
Je, kati ya adam na zinjathropus ni nani binadamu halisi wa kwanza kuishi hapa duniani,Labda tutapata jibu sahihi siku likigundulika fuvu la adam
Binadamu sio kiumbe wa kwanza kuishi duniani, hata Dini zinasema hivyo. Adam alikuja baada ya viumbe vya zamani kuangamizwa.Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia).
Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la binadamu wa kale Australopithecus boisei (ZINJATHROPUS) ambaye inasadikika kuwa ndo binadamu wa kwanza kuishi hapa duniani takribani miaka million 3.5 iliyopita. Ukiangalia kwa harakaharaka hapo ni tofauti ya miaka mingi sana.
Hatujui Mungu alikaa mda gani kumuumba binadamu wa kwanza alipomaliza kuiumba dunia ila biblia inatueleza kuwa, siku ile Mungu alipoziumba mbingu na nchi hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipukabado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi.
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mafumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi haï.(mwanzo2:5-7). Haijulikani Adam aliumbwa baada ya mda gani toka kuumbwa kwa ulimwengu ila tu tunajua kuwa Adam aliishi miaka mia tisa na thelathini.
Je, kati ya adam na zinjathropus ni nani binadamu halisi wa kwanza kuishi hapa duniani,Labda tutapata jibu sahihi siku likigundulika fuvu la adam
Nazungumzia binadamu mkuu au kuna aliyekuwepo kabla ya adam unayemjua weweBinadamu sio kiumbe wa kwanza kuishi duniani, hata Dini zinasema hivyo. Adam alikuja baada ya viumbe vya zamani kuangamizwa.
Nikuthibitishieje kitu ambacho hakionekani ushaambiwa mungu ni nafsiThibitisha Mungu yupo.
Kuthibitisha hakuna ubusiano na kuonekana.Nikuthibitishieje kitu ambacho hakionekani ushaambiwa mungu ni nafsi
Sema nini kiongozi umetupiga kamba kidogo, Carbon 14 ( half life 5730)haiwezi kutumika kwenye mwamba mkongwe kiasi hicho …Basics in archaeology AY 100 wanasema ni Uranium 238 au potassium’ 40Aisee yani unataka kufananisha mawe na binadamu yanaweza kuwa sawa umri.
Tunaposema umri wa dunia tunatafuta mwamba ambao utakuwa na umri mrefu kuliko mwamba wowote.
Mwamba huu ulipatikana kanada na ndio umetoa uthibitisho tokea mwanzo wa dunia kuwa ndio wenye umri wa dunia.
Kwa nini uwe mwamba uo?.
Sababu ya kusema mwamba una umri wa dunia kuna kitu kinaitwa ukusanyaji wa data kijiolojia katika ulinganishi wa carborn 14 kama walivyo chagua ndio ikapatika umri wa mwamba uo.
Upande wa mwanadamu uwezi kulinganisha mwanadamu na umri wa dunia sababu wakati dunia inaelekea kuwa kwenye maisha kulikuwa hakuna mazingira ya daraja pa viumbe ambavyo ni sisi sote vingeweza kustahimili mazingira yale ya mwanzoni.
Someni sana nchi za watu achana na kukalia michezo ya simba na yanga
Wewe umesema zinja ni karibuni na dunia ilikuwepo zamani, Adam ndio binadamu wa kwanza. Ila Dunia ilikuwepo kabla yake.Nazungumzia binadamu mkuu au kuna aliyekuwepo kabla ya adam unayemjua wewe
Wewe usijifanye chizi swali hilo unatakiwa ukawaulize wachungaji , halipo kisayansi usichanganye ma-failiVp bustani ya edeni kwa sasa iko wapi
Unajua kwanini hayakuoza? Alafu kumuita binadamu wa kwanza haimaanishi kwamba alikua wa mwenyewe ni utafsiri ndio na walimu wa bovu ndio maana watu wanashindwa kuelewa hizo conceptsHuyo Dr.Leakey na mkewe waongo tu, kwani binadamu wa kwanza hakuwa anaoza?
Yani Miaka yooote hiyo fuvu liwe linamsubiri yeye aje alivumbue?
Nimeuliza kwasababu ndo yalikuwa makazi ya kwanza ya adam baada ya kuumbwa kabla hajafukuzwa baada ya kula tundaWewe usijifanye chizi swali hilo unatakiwa ukawaulize wachungaji , halipo kisayansi usichanganye ma-faili
Kwahyo mkuu we unaamini chimbuko la binadamu ni wapi edeni au olduvaiUnajua kwanini hayakuoza? Alafu kumuita binadamu wa kwanza haimaanishi kwamba alikua wa mwenyewe ni utafsiri ndio na walimu wa bovu ndio maana watu wanashindwa kuelewa hizo concepts
Hapo sio swala la kiimani ni facts, creation theories za dini mbalimbali zinakosa ushahidi kwa hiyo mimi nakubaliana na evolution based on scientific evidencesKwahyo mkuu we unaamini chimbuko la binadamu ni wapi edeni au olduvai
Hiyo habari umeipata wapi? Kama kwenye biblia nakuuliza tena unajua dini ngapi haziamini hicho kitabu, hicho kitabu ni kwa ajili ya Abraham religions tofauti na hapo hakuna kituNimeuliza kwasababu ndo yalikuwa makazi ya kwanza ya adam baada ya kuumbwa kabla hajafukuzwa baada ya kula tunda
Binadamu alitokeaje , ukijibu hapa basi nakuonesha Mungu .Kuthibitisha hakuna ubusiano na kuonekana.
Kuna vitu vinaonekana, lakini havipo.
Kuna vitu havionekani, lakini vipo.
Kuonekana ni irrelevant katika kuthibitisha kitu kipo au hakipo.
Thibitisha Mungu yupo.