Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

Hiyo habari umeipata wapi? Kama kwenye biblia nakuuliza tena unajua dini ngapi haziamini hicho kitabu, hicho kitabu ni kwa ajili ya Abraham religions tofauti na hapo hakuna kitu
Ok sawa mkuu na vp kwa dini nyingine ambazo hawaamini bible wao wanasemaje kuhusu uumbaji
 
Hatuwezi kujua tusivyo vijua. Lakini tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.

Hakuna anayejua dunia ilianza vipi.

Zilizopo ni nadharia tu zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Kwa nini hujiulizi na Mungu alitokeaje?

Kwa nini unauliza tu binadamu alitokeaje?

Je huyo Mungu na yeye alitokeaje?

Hatima ya maisha yetu ni kifo na hilo kila mtu anajua.
Mungu anayeongelea hawa ni muweza ni master wa binadamu , hana mwanzo wala mwisho , halali wala hachoki ..Hana sifa za binadamu kabisa .

Hatma ya maisha ya binadamu ipo kabla ya kifo , kifo ni mwisho wa binadamu ..Maisha ya duniani hajui chochote anaenda hata kama leo anaenda kupata ajali hajui anapanda tu gari yanaenda kumkuta... Binadamu anakuwaj jeuri wakati hajui litatokea nn dk 1 mbeleni
 
Unathibitishaje Mungu huyo yupo kweli na si hadithi za vitabuni za kusadikika?
Hatma ya maisha ya binadamu ipo kabla ya kifo , kifo ni mwisho wa binadamu ..Maisha ya duniani hajui chochote anaenda hata kama leo anaenda kupata ajali hajui anapanda tu gari yanaenda kumkuta... Binadamu anakuwaj jeuri wakati hajui litatokea nn dk 1 mbeleni
Ajali huweza kutokea saa yeyote ile na hilo kila mtu anajua.

Kufa kila mtu anajua kwamba atakufa muda wowote ule.

Kwa hiyo sikweli kwamba hatujui litakalo tokea mbele.

Tunajua kwamba kifo au ajali vinaweza kutokea anytime.
 
Umenielewa lakini? Sayansi ni endelevu inakuwa hai kutokana na muda husika ,hata simu hazikuanzia hapa ; kulikuwa na za batani na hazina mambo mengi ,kulikuwa na simu ambayo hauwezi kuweka mfukoni ila sasa wako mbali sana so hapa simu ya zamani hauwezi kutumia kwa ulimwengu wa sasa .

Unachoamini kwa sasa ukienda kununua simu : iwe touch ,kamera nzuri ,internet , muonekano labda nyembamba sana na makokoro mengine.
Viumbe vya kwanza kuishi duniani kabla ya binadamu vilianza kuwepo mamilioni hadi mabilioni ya miaka iliyopita.

1.Viumbe wa Seli Moja (Microorganisms) – Zaidi ya miaka bilioni 3.5 iliyopita​

  • Bakteria na Archaea: Hawa ndio viumbe wa kwanza kabisa waliotokea. Wanaishi katika mazingira magumu sana (kama kwenye volkano, bahari ya chumvi kali, nk).
  • Cyanobacteria: Aina ya bakteria waliokuwa wa kwanza kufanya photosynthesis, wakaanza kutoa oksijeni katika angahewa (karibu miaka bilioni 2.5 iliyopita).
    algae.gif

2.Viumbe vya Majini Vya Seli Nyingi – Zaidi ya miaka milioni 600 iliyopita

  • Wakati huu viumbe kama sponji za baharini, meduza, na aina za kwanza za minyoo waliibuka.
  • Wengi wao walikuwa hawana mifupa wala uti wa mgongo.

3. Viumbe wenye Miili Migumu (Cambrian Explosion) – Takriban miaka milioni 540 iliyopita​

  • Kipindi cha Cambrian kilishuhudia mlipuko wa aina nyingi mpya za viumbe.
  • Waliibuka viumbe kama trilobites, moluska, na arthropoda (jamii ya kaa na wadudu).
  • Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa viumbe kuwa na macho, miguu, na mifumo tata ya mwili.

4. Samaki wa Kwanza – Miaka milioni 500–400 iliyopita​

  • Samaki wa kwanza walikuwa na uti wa mgongo (vertebrates).
  • Baadhi walikuwa na taya, wengine hawakuwa nayo.

5. Amphibia na Reptilia – Miaka milioni 370–300 iliyopita​

  • Viumbe vya kwanza kutoka majini hadi nchi kavu (kama amphibians).
  • Kisha wakafuatwa na reptilia kama mababu wa mamba na mijusi.

6. Dinosauri – Miaka milioni 230–65 iliyopita​

  • Walitawala dunia kwa muda mrefu kabla ya kuangamia kutokana na tukio la kimondo (asteroid).
  • Wana uhusiano wa karibu na ndege wa kisasa.

7. Wanyama wa Mifupa ya Mgongo Kama Mamalia – Miaka milioni 200 iliyopita​

  • Baada ya kupotea kwa dinosaurs, mamalia wakaanza kutawala.
  • Primates (wanyama wa jamii ya sokwe) walitokea miaka milioni 60–50 iliyopita.

8. Binadamu wa Awali (Hominins) – Takriban miaka milioni 6 iliyopita​

  • Binadamu wa kisasa (Homo sapiens) waliibuka miaka takriban 300,000 iliyopita.
 
Viumbe vya kwanza kuishi duniani kabla ya binadamu vilianza kuwepo mamilioni hadi mabilioni ya miaka iliyopita.

1.Viumbe wa Seli Moja (Microorganisms) – Zaidi ya miaka bilioni 3.5 iliyopita​

  • Bakteria na Archaea: Hawa ndio viumbe wa kwanza kabisa waliotokea. Wanaishi katika mazingira magumu sana (kama kwenye volkano, bahari ya chumvi kali, nk).
  • Cyanobacteria: Aina ya bakteria waliokuwa wa kwanza kufanya photosynthesis, wakaanza kutoa oksijeni katika angahewa (karibu miaka bilioni 2.5 iliyopita).View attachment 3356731

Hao wanyama waliotoweka duniani kwanini mungu hajawarudisha tena duniani mkuu au hakuwa interested nao
 
NISHAKWAMBIA ACHA KUCHANGANYA MAMBO NA MUNGU .

Kwa nini dinosaur walitoweka?​

Dinosaur walitawala dunia kwa zaidi ya miaka milioni 160, lakini walitoweka ghafla takriban miaka milioni 66 iliyopita. Sababu kuu zinazojulikana ni:
Mgongano wa Asteroid (Chicxulub Crater): Sayansi inaunga mkono wazo kwamba asteroid kubwa iligonga Yucatán, Mexico, na kuleta mabadiliko makubwa ya hali ya hewa. Mgongano huu ulisababisha "nusu ya giza" duniani, kupungua kwa jua, na mabadiliko ya haraka ya mazingira, ambayo yaliua dinosaur wengi.
Chicxulub_crater.jpg

Milipuko ya Volkeno (Deccan Traps): Milipuko mikubwa ya volkano nchini India ilitoa gesi za sumu na majivu angani, ambayo yaliathiri hali ya hewa kwa muda mrefu. Hata hivyo, tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa milipuko hii haikuwa na athari kubwa ya moja kwa moja kwa kutoweka kwa dinosaur, ingawa ilichangia mabadiliko ya mazingira.
hq720.jpg

Mabadiliko ya Tabianchi na Uhamaji wa Bara (Continental Drift): Mabadiliko polepole ya mkao wa mabara yaliathiri mifumo ya hewa na viumbe hai. Hali hii ilileta mabadiliko katika mazingira, ambayo baadhi ya dinosaur walishindwa kustahimili.
continental-drift.jpg

Wanadamu walitokeaje?​

Baada ya kutoweka kwa dinosaur, nafasi kubwa ilijitokeza kwa viumbe wengine kuishi na kuendelea. Hii ilifungua njia kwa mamalia kuongezeka kwa kasi na kubadilika kuwa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wanadamu.
1_2.jpg

Wanadamu wanatokana na kundi la mamalia linaloitwa primate. Kwa mamilioni ya miaka, primate walibadilika na kuwa na sifa zinazowafanya kuwa na akili kubwa, uwezo wa kutengeneza zana, na tabia za kijamii. Hii ilisababisha kuibuka kwa hominini, familia inayojumuisha binadamu wa kisasa na spishi za kale kama Australopithecus na Homo habilis.
 
Viumbe vya kwanza kuishi duniani kabla ya binadamu vilianza kuwepo mamilioni hadi mabilioni ya miaka iliyopita.

1.Viumbe wa Seli Moja (Microorganisms) – Zaidi ya miaka bilioni 3.5 iliyopita​

  • Bakteria na Archaea: Hawa ndio viumbe wa kwanza kabisa waliotokea. Wanaishi katika mazingira magumu sana (kama kwenye volkano, bahari ya chumvi kali, nk).
  • Cyanobacteria: Aina ya bakteria waliokuwa wa kwanza kufanya photosynthesis, wakaanza kutoa oksijeni katika angahewa (karibu miaka bilioni 2.5 iliyopita).View attachment 3356731

2.Viumbe vya Majini Vya Seli Nyingi – Zaidi ya miaka milioni 600 iliyopita

  • Wakati huu viumbe kama sponji za baharini, meduza, na aina za kwanza za minyoo waliibuka.
  • Wengi wao walikuwa hawana mifupa wala uti wa mgongo.

3. Viumbe wenye Miili Migumu (Cambrian Explosion) – Takriban miaka milioni 540 iliyopita​

  • Kipindi cha Cambrian kilishuhudia mlipuko wa aina nyingi mpya za viumbe.
  • Waliibuka viumbe kama trilobites, moluska, na arthropoda (jamii ya kaa na wadudu).
  • Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa viumbe kuwa na macho, miguu, na mifumo tata ya mwili.

4. Samaki wa Kwanza – Miaka milioni 500–400 iliyopita​

  • Samaki wa kwanza walikuwa na uti wa mgongo (vertebrates).
  • Baadhi walikuwa na taya, wengine hawakuwa nayo.

5. Amphibia na Reptilia – Miaka milioni 370–300 iliyopita​

  • Viumbe vya kwanza kutoka majini hadi nchi kavu (kama amphibians).
  • Kisha wakafuatwa na reptilia kama mababu wa mamba na mijusi.

6. Dinosauri – Miaka milioni 230–65 iliyopita​

  • Walitawala dunia kwa muda mrefu kabla ya kuangamia kutokana na tukio la kimondo (asteroid).
  • Wana uhusiano wa karibu na ndege wa kisasa.

7. Wanyama wa Mifupa ya Mgongo Kama Mamalia – Miaka milioni 200 iliyopita​

  • Baada ya kupotea kwa dinosaurs, mamalia wakaanza kutawala.
  • Primates (wanyama wa jamii ya sokwe) walitokea miaka milioni 60–50 iliyopita.

8. Binadamu wa Awali (Hominins) – Takriban miaka milioni 6 iliyopita​

  • Binadamu wa kisasa (Homo sapiens) waliibuka miaka takriban 300,000 iliyopita.
Prove! Achana na porojo unapotea kijana wangu🤣
 
Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia).

Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la binadamu wa kale Australopithecus boisei (ZINJATHROPUS) ambaye inasadikika kuwa ndo binadamu wa kwanza kuishi hapa duniani takribani miaka million 3.5 iliyopita. Ukiangalia kwa harakaharaka hapo ni tofauti ya miaka mingi sana.

Hatujui Mungu alikaa mda gani kumuumba binadamu wa kwanza alipomaliza kuiumba dunia ila biblia inatueleza kuwa, siku ile Mungu alipoziumba mbingu na nchi hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipukabado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi.

Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mafumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi haï.(mwanzo2:5-7). Haijulikani Adam aliumbwa baada ya mda gani toka kuumbwa kwa ulimwengu ila tu tunajua kuwa Adam aliishi miaka mia tisa na thelathini.

Je, kati ya adam na zinjathropus ni nani binadamu halisi wa kwanza kuishi hapa duniani,Labda tutapata jibu sahihi siku likigundulika fuvu la adam
Kwa hakika hakuna binadamu wa kweli anayeitwa "Adam" au "Hawa", hawa ni kielelezo au kiwakilishi tu cha wanadamu wote. Kinachowakilishwa na Adam na Eva ni "dhana ya binadamu" na ndio hao wanaozungumzwa na sayansi kama Homo Habilisi, Homo erectus, Zinjantropus, Homo sapiens, etc.

Hawa binadamu hawakuumbwa kwa siku moja kama hadithi za Biblia zinavyosema, bali waliumbwa kwa karne nyingi kupiti mabadiliko ya taratibu (evolution).
 
Back
Top Bottom