Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

Thibitisha Mungu yupo.
 
Mwana Theolojia Mimi ngoja nikuambie kitu.
Vitabu vya Moses especially Mwanzo kimenukuu habari za miaka elfu 6 hivi iliyopita ila, hapo ndipo tunasema mwanadamu toleo la pili (wa kufanana na Mungu alipoanza ku exist) ila maisha ya mwanadamu na duniani yameanza miaka billions iliyopita.
Biblia imethibitisha sehemu nyingi. Ila kwa kuhesabu vizazi vya mfano wa MUNGU tunahesabu from Adam. Adamu aliishi miaka takribani 6000 tu iliyopita.
 
Binadamu sio kiumbe wa kwanza kuishi duniani, hata Dini zinasema hivyo. Adam alikuja baada ya viumbe vya zamani kuangamizwa.
 
Binadamu sio kiumbe wa kwanza kuishi duniani, hata Dini zinasema hivyo. Adam alikuja baada ya viumbe vya zamani kuangamizwa.
Nazungumzia binadamu mkuu au kuna aliyekuwepo kabla ya adam unayemjua wewe
 
Nikuthibitishieje kitu ambacho hakionekani ushaambiwa mungu ni nafsi
Kuthibitisha hakuna ubusiano na kuonekana.

Kuna vitu vinaonekana, lakini havipo.

Kuna vitu havionekani, lakini vipo.

Kuonekana ni irrelevant katika kuthibitisha kitu kipo au hakipo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Sema nini kiongozi umetupiga kamba kidogo, Carbon 14 ( half life 5730)haiwezi kutumika kwenye mwamba mkongwe kiasi hicho …Basics in archaeology AY 100 wanasema ni Uranium 238 au potassium’ 40
 
Nazungumzia binadamu mkuu au kuna aliyekuwepo kabla ya adam unayemjua wewe
Wewe umesema zinja ni karibuni na dunia ilikuwepo zamani, Adam ndio binadamu wa kwanza. Ila Dunia ilikuwepo kabla yake.
 
Huyo Dr.Leakey na mkewe waongo tu, kwani binadamu wa kwanza hakuwa anaoza?

Yani Miaka yooote hiyo fuvu liwe linamsubiri yeye aje alivumbue?
Unajua kwanini hayakuoza? Alafu kumuita binadamu wa kwanza haimaanishi kwamba alikua wa mwenyewe ni utafsiri ndio na walimu wa bovu ndio maana watu wanashindwa kuelewa hizo concepts
 
Wewe usijifanye chizi swali hilo unatakiwa ukawaulize wachungaji , halipo kisayansi usichanganye ma-faili
Nimeuliza kwasababu ndo yalikuwa makazi ya kwanza ya adam baada ya kuumbwa kabla hajafukuzwa baada ya kula tunda
 
Kama wewe si muislam na huamini Qur’an ni kitabu cha Allah basi hata watu wa zamani ukisimuliwa utaona maluelue.

I'm so proud to be a Muslim, al hamdu liLlah

Free palestine 🇵🇸
 
Unajua kwanini hayakuoza? Alafu kumuita binadamu wa kwanza haimaanishi kwamba alikua wa mwenyewe ni utafsiri ndio na walimu wa bovu ndio maana watu wanashindwa kuelewa hizo concepts
Kwahyo mkuu we unaamini chimbuko la binadamu ni wapi edeni au olduvai
 
Kwahyo mkuu we unaamini chimbuko la binadamu ni wapi edeni au olduvai
Hapo sio swala la kiimani ni facts, creation theories za dini mbalimbali zinakosa ushahidi kwa hiyo mimi nakubaliana na evolution based on scientific evidences
 
Nimeuliza kwasababu ndo yalikuwa makazi ya kwanza ya adam baada ya kuumbwa kabla hajafukuzwa baada ya kula tunda
Hiyo habari umeipata wapi? Kama kwenye biblia nakuuliza tena unajua dini ngapi haziamini hicho kitabu, hicho kitabu ni kwa ajili ya Abraham religions tofauti na hapo hakuna kitu
 
Kuthibitisha hakuna ubusiano na kuonekana.

Kuna vitu vinaonekana, lakini havipo.

Kuna vitu havionekani, lakini vipo.

Kuonekana ni irrelevant katika kuthibitisha kitu kipo au hakipo.

Thibitisha Mungu yupo.
Binadamu alitokeaje , ukijibu hapa basi nakuonesha Mungu .

Kwa nn binadamu hajui hatma ya maisha yake japo ana akili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…