Habari wakuu ..Kwanza natumain ni wazima na munaendelea na Kaz za kuliletea taifa maendeleo chanya.
Kwa jinsi navyowajua ,mmekuwa washauli wazuri wa mambo mbali mbali hasa inapotekea Jambo linalomtatiza mtu na kimsingi ktk hili mbalikiwe.
Mimi katika hatua za ujana Niko kat kwa Kati siyo mzee ,mtoto, Wala kijana. Just middle.
Nina kamdada tunafanyaga vya michezo ya kikubwa na tulikutana kwa dhalura na mm nikaamin nidhalura kabisa kabisa ila pole pole nikaanza kumpenda ingawa sikuamin kama tutafika huku tuliko nilijua ni shoo ya siku moja tunaachana.
Katika mazoea haya tumeanza mpaka kulala pamoja siku mbili anaondoka kwao kutokana mie sikai pamoja kutokana na Kaz nayoifanya so inamubidi aondoke kwao pia hatujaongea mambo ya kukaa pamoja.
Jana na juz ucku amenilazimisha nimuwekee vya nyuma yaan kinyume na maumbile Sasa nikagoma coz nahis kinyaa na siyo maadili na yangu kidini pia. Leo ameniandikia sms baada ya kwenda yaan baada kutoka kwangu kuwa Kama siwez hivo bac ananiacha na mm sitaki kumpoteza kutokana na ananifanya nijisikie kuwa Niko Duniani ila hili moja ndio Lina nishinda kwake na siwez ,natumia njia gani ili nibaki kuwanae Bila kushiriki huo ushenzi anaoniambia.
Nitashukuru kwa ushauli.