Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini).
Sikutilia maanani sana sasa ilitokea siku moja nikateleza kwa bahati mbaya na kuanguka kama mjuavyo vyoo vya wanafunzi kama zizi tu mkojo wa kutosha hivyo niliangukia mkojo na kuanza kunuka.
Ndipo nilipo mpigia simu aje na maji na nguo nioge kabisa maana hali haikuwa si shwari tena hapo hapo alinisomea dua zao za lugha ya kiarabu hata sikujua japo kuna maneno ya kiswahili pia alikuwa anachanganya.
Aliendelea kunisistiza sana kuhusu uwepo majini huko chooni bado mimi sikuwa na shaka yoyote kuhusu hilo nikiamaini ni mafundisho potofu tu.
Huwa na jiuliza sana pamoja na mambo kwenda kisasa karne na karne kwanini vyoo vimebaki na procedure zilezile yaani unapoenda haja ndogo unajisaidia huku umeangalia mbele na ukienda haja kubwa uwe kilema au uliye kamilika lazima utageuka uliko toka na kuchuchumaa ukitazama uliko toka hii ni lazima.
Wakuu nauliza hizi kanuni zimekaaje?
Mshana Jr