Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Tuweke unafiki pembeni tuongee ukweli, historia ya mwanamke ni kipengele cha kukizingatia sana, na ninachokoandika hapa ni moja ya sababu ya kwanini unatakiwa kuoa mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira

Twende kwenye points
1. Daima atakulinganisha na wanaume wengine.

Mwanamke ambae tayari ashakua na wanaume wengi amebeba kumbukumbu za huo uzoefu kwenye akili yake. Atakulinganisha na kila mwanaume ambaye alishakua nae- jinsi walivyomfanya ajisikie, vitu walivyomuhonga, show zao kitandani n.k. ni ulinganisho usiokua na mwisho. Haijalishi utamfanyia nini lazima atatafuta sababu ya kutoridhika. Hii mindset yake itadhohofisha sana msingi wa mahusiano yenu.

2. Hajui anataka nini
Kitendo cha kuwa na partners wengi kinaathiri direction ya vipaumbele vyake. Anakua hawezi kufanya maamuzi ya nini anataka kutoka kwa mwanaume au kwenye mahusiano. Her past partners have left conflicting imprints on her, leaving her emotionally scattered.

3. Hawezi kutosheka kingono.
Ashazoea kubadilisha radha na size tofauti tofauti za mashine, hii itamfanya iwe ngumu kwake ku-settle kwenye long-term relationship, she may even begins to blame you for not satisfying her unrealistic expectations.

4. Kuna uwezekano ashafanya abortions nyingi sana.

With high body count comes a higher likelihood of unplanned pregnancies and abortions. Hili suala alimuachii uharibifu katika mwili tu, vile vile inamtengenezea emotional baggage ambayo anakuja nayo kwako. Wanawake wengi wanaficha hii part ya maisha yao lakini hatia na aibu waliyobeba moyoni inaweza kuwa shubiri kwenye mahusiano yenu.

5. Bado ana connection na maex wake
Women with high body count often maintain connections with their exes- whether out of convenience or unresolved feelings. Hii kitu itasababisha drama zisizokua na maana kwenye mahusiano yenu, ni upumbavu ambao unachosha na ni hatari kwa afya.

6. Hatoweza kutengeneza bond na wewe
Mwamamke ambae ana historia ya kuwa na wanaume wengi maana yake ameshadhohofisha uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja katika kila nyanja. Kumbuka kila anapoachana na mwanaume mmoja, kihisia anaongeza ugumu wa kutengeneza bond na anayefuata

7. Anakuja kwako na emotional baggage
Anapoondoka kwenye kila mahusiano anaobeba moyoni vidonda, disappointments na traumas. So you will not just dealing with her, you will also deal with the emotional debris left by every man she's been with.

8. Ashazoea umapepe
Jasiri haachi asili. 20's yake yote ameitumia kuluka luka kutoka mahusiano haya kwenda mengine sio rahisi kuacha iyo tabia akiingia kwenye meaningful relationship.

9. Anafikiria muda wowote anaweza kupata mbadala wako
She's conditioned herself to believe that men are replaceable and that mindset doesn't change overnight. The moment things get tough her default reaction will be to leave and seek validation elsewhere. This belief gives her little incentive to work through problems or value the relationship.

My take
A woman's past doesn't just disapper-it shapes her character, mindset and behavior. A high body count is not just a number, it's a reflection of patterns and habits that are incompatible with the stability marriage requires.

Recommendation.

Vet women ruthless, ask hard questions and don't ignore red flags. Don't be a simp. Her past is a strong predator of your future with her. Dont gamble with your peace, resources, health and legacy.

I rest my case.
 
😅 yani mawazo yenu 😅, acheni uoga.
Hii imegonga kwenye mfupa...

Sijasoma details ila kila mstari wa kwanza wa bullet, ni madini matupu!

Body count; Yutong 1.5 at the age of 28, hana mtoto, hana ndoa, na si ajabu akakuapia hajawahi chomoa mimba.

Park at your own risk kwenye hiyo spot.
 
Kiukweli hili swala lina ukweli sana kwa asilimia 90%.... karibuni kuna demu mmoja niliingia nae kwenye mahusiano kuna siku nikaamua kukagua fb yake nikakuta comment ya mshkaji mmoja nimesoma nae nikajaribu kupeleleza nikajua alishakuwa demu wake na kamla sana,sasa nikaamua kumuuliza yule demu kuhusu yule msela mwanzo akakataa ila baadae akaniambia alikuwa mpenzi wake ila amempotezea,Nikamdanganya kuwa mbona mshkaji anadai munawasiliana akadai ni kweli ila yeye ndie ananipigia ananisalimia ila mimi simtaki tena...kuna siku nikamuuliza mshkaji demu wako yule wa wakati ule yupo wapi jamaa akafunguka kuwa demu yupo UDSM ila mshkaji akastuka akaniuliza mbona unaniuliza kuhusu yule demu nikamwambia hapana ndugu....Mshkaji hakukubali akapiga Simu kwa yule demu kuhoji kama ananijua sasa angalia huyu demu alivyo wa ajabu akakana kunijua..baadae demu kanipigia kuniambia mshkaji anahisi tuna mahusiano ameniuliza kama nakujua mimi nimekataa nikamuuliza kwanini akadai naogopa atatuletea Fujo kwasababu naamini ananipenda bado,Nikamuuliza mshkaji ana wanawake wawili wa ndoa anakupendaje demu hakuwa na majibu
 
Ilo suala la kuchomoa mimba huwa wanadanganya sana. Kila mwanamke huwa anakataa kufanya hicho kitu
 
Kumbukumbu za maex wake sio rahisi kufutika kabisa akilini.
 
Huyo mwanamke achomwe moto
 
well said man
hujaacha kitu
"kimbia wanamke mwenye past trauma " or u will be used as a shoulder to cry on hutaacha kuona rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…