Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

Kataa ndoa wanazidi kushambulia lango kwa Kasi sana huku wakiwa mbele kwa goli 3 kwa 1 dakika ya 80 ya mchezo
 
Siku nikiamua kuoa 18-20 mwisho sivuki zaidi ya hapo au wazee wa miaka 25 na kuendelea wataolewa na wazee wenzao
 
Siku nikiamua kuoa 18-20 mwisho sivuki zaidi ya hapo au wazee wa miaka 25 na kuendelea wataolewa na wazee wenzao
interval nzuri ya umri wa mwanamke wa kuoa ni miaka 18-23. Wanawake wamedanganywa wanatakiwa kuolewa kuanzia 26 ili wapiganie ndoto zao. Halafu ukicheki iyo miaka takribani 8 wanayodai wanapigania ndoto zao hakuna cha maana wanachokifanya zaidi ya kudanga na kutafuta mume tajiri(mpango ambao 99% yao hawafanikiwi)

Ikiisha iyo miaka wanayosema wanapigania ndoto zao hakuna walichokifanikisha, mileage ya body count inasoma kilometers nyingi sana zaidi ya yote ana mtoto asiekua na baba, sasa miaka yote 8 aliyotumia kuishi reckless life si bora angeolewa tu
 
Back
Top Bottom