Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

Kama yule mgoni yule, nampa pole atakaye jichanganya. Awe na uhakika hawezi kudumu naye, awe na uhakika ana emotional damage, hauji anachokitaka.
 
Kwenye suala la kuamisisha ngono mwenye nguvu zaidi ni mwanamke. Tukisema tulaumu wanaume wakati huo wanawake wanafanya yao uko tiktok na telegram tutakua tunatwanga maji kwenye kinu.

Advantage ya mwanaume ipo kwenye physique na hapo zimetungwa sheria nyingi sana za kumdhibiti mwanaume. Advantage ya mwanamke ipo kwenye ngono bahati mbaya sana hatuna sheria ya kumdhibiti mwanamke kama ipo basi sio kali kama ilivyo kwa mwanaume.

Wa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu mwanaume tayari ameshadhibitiwa kwenye advantage yake lakini mwanamke anaitumia advantage yake vibaya
ninachosema hapa ni uwajibikaji wa pamoja basi. unabikiri na kuacha, unazalisha na kutelekeza kisha unasema asiye bikra na aliyezalisha asiolewe!, hii ndo roho mbaya ninayosema.
 
Naomba nijue kwa kina hizo advantages mbili physique kwa mwanaume na ngono kwa mwanamke tafadhali.
 
Katika huo uwajibikaji wa pamoja ndipo kuna sheria na miongozo. Bahati mbaya sana inaonekana ni kama mwanaume ndie anadhibitiwa wakati mwanamke anaachwa afanye anachokitaka.

Mfano suala la kupata uhakika wa kwamba mtoto wa mwanamke ni wako. Kuanzia ustawi wa jamii, mahakamani mpaka kupima DNA taratibu zote zimewekwa kumpa upendeleo mwanamke. Taratibu na miongozo tuliojiwekea ni sawa na kusema mamlaka zimewapa wanawake ruhusa ya kuwabambikizia watoto wanaume. Katika mazingira kama hayo mwanaume hata akikataa mtoto au mimba hauwezi kukulupuka kumlaumu.

Tutengeneze kwanza fair playing ground ambayo itawezesha kila upande kuwajibishwa ndio tuangalie uwajibikaji
 
Kihasili mwanaume ana nguvu za mwili zaidi ya mwanamke kwaiyo pale anapotaka matakwa yake yatimizwe anaweza kutumia nguvu zake kulazimisha mfano suala la kujamiana mwanamke akikataa mwanaume anaweza kutumia nguvu kumbaka au kumfanyia vitendo vya kingono bila ridhaa ya uyo mwanamke. Hapo ndio maana tunaona kuna sheria nyingi za kumbana mwanaume mfano kumshika mwanamke hata bega tu bila ridhaa yake au kumpiga kofi izo ni kesi lakini mwanamke akimfanyia mwanaume vitendo kama hivyo hakuna kesi.

Advabtage ya mwanamke ipo kwenye kuamasisha ngono. Kupitia ngono mwanamke anaweza kumlaghai mwanaume ili aweze kupata alichokitaka, sasa hapa hatuna sheria ya kudhibiti hii advantage ya mwanamke ndio maana tunaona wanatembea barabarani nusu uchi na kupost video za utupu mtandaoni bila kuchukuliwa hatua.

Ndio maana nasema kwenye suala la consequencies zote zinazotokana na ngono mfano mimba zisizotarajiwa wa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu yeye ndie gatekeeper wa sex na fertility
 
Katika huo uwajibikaji wa pamoja ndipo kuna sheria na miongozo. Bahati mbaya sana inaonekana ni kama mwanaume ndie anadhibitiwa wakati mwanamke anaachwa afanye anachokitaka.

Mfano suala la kupata uhakika wa kwamba mtoto wa mwanamke ni wako. Kuanzia ustawi wa jamii, mahakamani mpaka kupima DNA taratibu zote zimewekwa kumpa upendeleo mwanamke. Taratibu na miongozo tuliojiwekea ni sawa na kusema mamlaka zimewapa wanawake ruhusa ya kuwabambikizia watoto wanaume. Katika mazingira kama hayo mwanaume hata akikataa mtoto au mimba hauwezi kukulupuka kumlaumu.

Tutengeneze kwanza fair playing ground ambayo itawezesha kila upande kuwajibishwa ndio tuangalie uwajibikaji
ndugu bado hujanielewa, hoja yangu ipo hapa, unabikiri mabinti 20, unawazalisha wengine 6 siku ukiamuwa kuoa unatafuta binti bikra unamuweka ndani alafu unasimama pale na kusema wale 20 ulowabikiri na 6 ulowazalisha hawastahili kuolewa. kwako hilo limekaaje?
 
Kihasili mwanaume ana nguvu za mwili zaidi ya mwanamke kwaiyo pale anapotaka matakwa yake yatimizwe anaweza kutumia nguvu zake kulazimisha mfano suala la kujamiana mwanamke akikataa mwanaume anaweza kutumia nguvu kumbaka au kumfanyia vitendo vya kingono bila ridhaa ya uyo mwanamke. Hapo ndio maana tunaona kuna sheria nyingi za kumbana mwanaume mfano kumshika mwanamke hata bega tu bila ridhaa yake au kumpiga kofi izo ni kesi lakini mwanamke akimfanyia mwanaume vitendo kama hivyo hakuna kesi.

Advabtage ya mwanamke ipo kwenye kuamasisha ngono. Kupitia ngono mwanamke anaweza kumlaghai mwanaume ili aweze kupata alichokitaka, sasa hapa hatuna sheria ya kudhibiti hii advantage ya mwanamke ndio maana tunaona wanatembea barabarani nusu uchi na kupost video za utupu mtandaoni bila kuchukuliwa hatua.

Ndio maana nasema kwenye suala la consequencies zote zinazotokana na ngono mfano mimba zisizotarajiwa wa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu yeye ndie gatekeeper
 
Bara kipi zaidi? ukioa bikra naye kuna siku anatamani kuonja mpini mpya.
Je kipi bora;
A. Umkute bikra uje kuchapiwa afu anogewe au
B. Uoe aliyefunguliwa seal aje kutulizana
Bora bikra kwa usalama wa kizazi chako, kuliko kuchukua mwanamke mwenye high body count kuna athari nyingi sana
Mwanamke mwenye high body count pia anakua ana ambatana na DNA za wanaume tofauti tofauti kwavile zile sperm anazo mwagiwa na wanaume tofauti tofauti zinaenda ku adhiri hormones zake, matokeo yake unakuja kuoa mwanamke wa namna hii unapata uzao ambao una tabia tofauti kabisa na wewe
 
Nani hapa JF ameshawahi kukutana na bikra lady?
Nani hapa JF ameoa bikra lady anaishi naye mpaka sasa?

JF ina members zaidi ya 1m...watakaoqualify hivi vigezo hawazidi 10

Msichokijua ni kuwa ndoa ni process ya maisha. Ladies Wengi wanabadilika when it comes to marriage. Wachache Ndo wanaleta shida
 
Ukisema wachache ndo wanaleta shida unakosea mkuu, maana huku kitaa ndo nyingi ni mchakamchaka ukilinganisha na zilizotulia na kuwa na na amani ni chache mno za kutafuta
 
Ndoa kuwa na mchakamchaka inategemea na expectations za kila mmoja. Lengo la ndoa ni kujenga familia na kuishi kwa furaha na upendo.
Hayo mengine ni ya ziada. Sasa mnaingia kwenye ndoa dada anataka kila siku ale kuku wa KFC na kwenda baharini lazima mvurugike.

Context ya hoja yangu ni hayo maswali mawili ya juu, nani wamekutana na bikra kaoa bikra na mpaka leo yupo nae...
 
Bikra inasaidia ndugu tusiukwepe ukweli,kama mwanamke ameweza kujitunza mpaka miaka 25 akaingia kwenye ndoa huyu hawezi shindwa iheshimu ndoa yake, japo kuna special case kwenye hili
 
Sikatai kuwa mwanamke bikra is much better, but Kwa mazingira yetu haya ya kimaskini ni ngumu kukutana na hao bikra, mazingira yenyewe tuliyonayo yanatutoa mchezoni mapema kabisa. Kwenye lindi la umaskini uliopo ngono pekee ndiyo inampa mtu furaha na amani ya moyo, nje ya hapo ni stress tu.

Nchi za wenzetu mfano hapo India, kwanza kuna Sheria hamna 2nd marriage, yaani mwanaume hawezi kuoa mdada aliyeachika. Pili mwanaume wa kihindi haolewi na dada ambaye sio bikra, labda huyo dada awe celebrity mwenye mihela yake.

Lakini licha ya ubikira wao India ndiyo nchi inayoongoza kwa ndoa nyingi kuachana na mawidow wamejaa kila kona
 
Tuendelee kujifunza kaka hatujamaliza 😎
 
Kiukweli hili swala lina ukweli sana kwa asilimia 90%.... karibuni kuna demu mmoja niliingia nae kwenye mahusiano kuna siku nikaamua kukagua fb yake nikakuta comment ya mshkaji mmoja nimesoma nae nikajaribu kupeleleza nikajua alishakuwa demu wake na kamla sana,sasa nikaamua kumuuliza yule demu kuhusu yule msela mwanzo akakataa ila baadae akaniambia alikuwa mpenzi wake ila amempotezea,Nikamdanganya kuwa mbona mshkaji anadai munawasiliana akadai ni kweli ila yeye ndie ananipigia ananisalimia ila mimi simtaki tena...kuna siku nikamuuliza mshkaji demu wako yule wa wakati ule yupo wapi jamaa akafunguka kuwa demu yupo UDSM ila mshkaji akastuka akaniuliza mbona unaniuliza kuhusu yule demu nikamwambia hapana ndugu....Mshkaji hakukubali akapiga Simu kwa yule demu kuhoji kama ananijua sasa angalia huyu demu alivyo wa ajabu akakana kunijua..baadae demu kanipigia kuniambia mshkaji anahisi tuna mahusiano ameniuliza kama nakujua mimi nimekataa nikamuuliza kwanini akadai naogopa atatuletea Fujo kwasababu naamini ananipenda bado,Nikamuuliza mshkaji ana wanawake wawili wa ndoa anakupendaje demu hakuwa na majibu
utakufa vibaya wewe
 
ndugu bado hujanielewa, hoja yangu ipo hapa, unabikiri mabinti 20, unawazalisha wengine 6 siku ukiamuwa kuoa unatafuta binti bikra unamuweka ndani alafu unasimama pale na kusema wale 20 ulowabikiri na 6 ulowazalisha hawastahili kuolewa. kwako hilo limekaaje?
Jnaongea mambo ambayo hayana uhalisia. Hakuna mwanaume wa kubikiri mabinti 20
 
Back
Top Bottom