Juzi pia kuna msanii aliuliza kama wewe, kwamba kwa nini CHADEMA hawajatoa rambirambi kwenye msiba wa mtangazaji wa Wasafi FM, Dida? Yaani watu hamuombolezi tena, mnachunguza hela za rambirambi na mahudhurio 😀Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere?
Wewe uko na mimi aisee.Huwa sielewi Nyerere aliifanyia nini kikubwa taifa hili!!!
Unao uhakika kuwa walialikwa, huo ni mradi wa CCM iweje amezikwa Butiama sala inafanyika Mwanza, mama Maria aliwaumbua mwaka jana.Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Wangeitwa Ikulu sasa; ungewaona na makombati yao jinsi wakibugia juisi na keki za Ikulu kama wanahama vile!!!!Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Hawataki unaaa
Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Hivi vitoto vya uvccm hata Historia havijui vinachojua ni uchawa tu na kupakwa mafuta...Edwin Mtei hakuwahi kuiba, wala kukimbia Tanzania.
..Waziri wa Fedha ni moja ya nafasi ambazo Edwin Mtei aliteuliwa baada ya kutoka Benki Kuu / BOT.
..Mtei alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Fedha, na baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Muwakilishi wa Afrika ktk Shirika la fedha duniani / IMF.
..baada ya mkataba wake na IMF kuisha Edwin Mtei aliteuliwa na Raisi Mwinyi kuongoza Tume ya mabadiliko ya sheria za kodi na ushuru hapa Tanzania.
Yes mkuuTupambane kuwatoa hawa wakoloni
Pamoja snYes mkuu
Hao makamanda wamekuwa wapuuzi wa kupindukia😎Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Ni aibu tupuHivi vitoto vya uvccm hata Historia havijui vinachojua ni uchawa tu na kupakwa mafuta.
Steve Mengele ni pandikizi alikuwrpo inatoshaaaaChadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Maccm ni mapumbavu sana.Hao makamanda wamekuwa wapuuzi wa kupindukia😎
Shauri yenu😎Maccm ni mapumbavu sana.
Chama Cha Mataahira CCM.Shauri yenu😎
Shauri yenu.Chama Cha Mataahira CCM.
Shauri yako wewe usiyejitambuaShauri yenu.
Duh.Kabisa, wapumbavu sana, hasa tangu Lemma aonane na Pdiddy Canada