Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Juzi pia kuna msanii aliuliza kama wewe, kwamba kwa nini CHADEMA hawajatoa rambirambi kwenye msiba wa mtangazaji wa Wasafi FM, Dida? Yaani watu hamuombolezi tena, mnachunguza hela za rambirambi na mahudhurio 😀Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere?