Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere?
Juzi pia kuna msanii aliuliza kama wewe, kwamba kwa nini CHADEMA hawajatoa rambirambi kwenye msiba wa mtangazaji wa Wasafi FM, Dida? Yaani watu hamuombolezi tena, mnachunguza hela za rambirambi na mahudhurio 😀
 
Mtu wa kwaza kulirudisha nyuma hili taifa nyuma ni nyerere.Alitumia rasilimali nyingi za nchi kupambania uhuru wa nchi nyingine bila kujali taifa lake.
 
Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Unao uhakika kuwa walialikwa, huo ni mradi wa CCM iweje amezikwa Butiama sala inafanyika Mwanza, mama Maria aliwaumbua mwaka jana.
 
Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Wangeitwa Ikulu sasa; ungewaona na makombati yao jinsi wakibugia juisi na keki za Ikulu kama wanahama vile!!!!
 
Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.

Rais katumia dakika ngapi kumwongelea Nyerere?????
It is a matter of sense kimsingi ilikuwa ni shughuli ya CCM. Umeona vijana wa chama gani nje ya UVCVM kwa iliyoitwa sikukuu ya vijana kitaifa???????
 
..Edwin Mtei hakuwahi kuiba, wala kukimbia Tanzania.

..Waziri wa Fedha ni moja ya nafasi ambazo Edwin Mtei aliteuliwa baada ya kutoka Benki Kuu / BOT.

..Mtei alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Fedha, na baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Muwakilishi wa Afrika ktk Shirika la fedha duniani / IMF.

..baada ya mkataba wake na IMF kuisha Edwin Mtei aliteuliwa na Raisi Mwinyi kuongoza Tume ya mabadiliko ya sheria za kodi na ushuru hapa Tanzania.
Hivi vitoto vya uvccm hata Historia havijui vinachojua ni uchawa tu na kupakwa mafuta.
 
Back
Top Bottom