Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Umejuaje na je nyie mmetuma?Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje na je nyie mmetuma?Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa nyama kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu
nadhani ni muhimu zaid kuzungatia specific motion on the table gentleman, mengine yaandikiwe nyuzi mahusus na tuone namna ya kuchangia piaKwa nini hizi kelele za kutokua na maono, zisiwepo kwa chauma au UDP?

Sawanadhani ni muhimu zaid kuzungatia specific motion on the table gentleman, mengine yaandikiwe nyuzi mahusus na tuone namna ya kuchangia pia![]()
Acheni uchonganishi wa kipuuzi hautowasaidia.Lini Nyerere aligombana na CHADEMA hadi wamchukie?CHADEMA wanamchukia hayati baba wa taifa.... watanzania wameshaliona hili na watawafundisha CHADEMA kupitia sanduku la kura jinsi ya kuwaheshimu waasisi.
na watanyoroshwa vizuri sana Nov.27CHADEMA wanamchukia hayati baba wa taifa.... watanzania wameshaliona hili na watawafundisha CHADEMA kupitia sanduku la kura jinsi ya kuwaheshimu waasisi.

WA Tanzania watawanyoosha, nadhani chuki ilianza baada ya Edwin Mtei kuzuiwa asiibe fedha pale Benki Kuu, akaamua kukimbilia ughaibuniCHADEMA wanamchukia hayati baba wa taifa.... watanzania wameshaliona hili na watawafundisha CHADEMA kupitia sanduku la kura jinsi ya kuwaheshimu waasisi.
Kwani hao waliohudhuria wanafuata misingi iliyoweka na JK Nyerere au wanaigiza?Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Akili za kinyng'au kabisa hizi .... CCM hakuna wachaga!? ..... Unaweza kudhani unawadhihaki Chadema kumbe umewatukana wachaga ambao na CCM wapo.... Ujinga ni ugonjwa tafuta tiba.Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa nyama kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu
Kwanini wasusie Nyerere Day?Acheni uchonganishi wa kipuuzi hautowasaidia.Lini Nyerere aligombana na CHADEMA hadi wamchukie?
Wangekuwepo wangeongeza nini kama ambavyo hawakuwepo wamepunguza nini?Kwanini wasusie Nyerere Day?
WA Tanzania watawanyoosha, nadhani chuki ilianza baada ya Edwin Mtei kuzuiwa asiibe fedha pale Benki Kuu, akaamua kukimbilia ughaibuni
Mnaulizaga maswali ya kipumbavu sana! Unajua protocol za sherehe za kitaifa? Unafikri unajipeleka tu hata kama huna mwaliko?Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.