Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa nyama kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu

..Wachagga walioko Ccm, Cuf, Act, Nccr, Tlp, wao hawafanyi matambiko hayo?🤣
 
Kwa nini hizi kelele za kutokua na maono, zisiwepo kwa chauma au UDP?
nadhani ni muhimu zaid kuzungatia specific motion on the table gentleman, mengine yaandikiwe nyuzi mahusus na tuone namna ya kuchangia pia :pulpTRAVOLTA:
 
CHADEMA wanamchukia hayati baba wa taifa.... watanzania wameshaliona hili na watawafundisha CHADEMA kupitia sanduku la kura jinsi ya kuwaheshimu waasisi.
 
CHADEMA wanamchukia hayati baba wa taifa.... watanzania wameshaliona hili na watawafundisha CHADEMA kupitia sanduku la kura jinsi ya kuwaheshimu waasisi.
WA Tanzania watawanyoosha, nadhani chuki ilianza baada ya Edwin Mtei kuzuiwa asiibe fedha pale Benki Kuu, akaamua kukimbilia ughaibuni
 
Chadema mnaamini ushirikina sana, haha mkienda Kilimanjaro kuhesabiwa huwa mnachinja mbuzi usiku, mnatupa nyama kwenye kona za shamba, mbwa wakipita usiku wakazitafuna, mnasema wazee wamekula kwa hiyo tambiko limekubaliwa. Ushirikina mtupu
Akili za kinyng'au kabisa hizi .... CCM hakuna wachaga!? ..... Unaweza kudhani unawadhihaki Chadema kumbe umewatukana wachaga ambao na CCM wapo.... Ujinga ni ugonjwa tafuta tiba.
 
Waliitwa wakakataa?

Au ulitaka wajipeleke tu
 
Waende wakakae meza moja na watesi wao kwenye sherehe hizo?
Nime muona Porapesa Lipumbu akijichekesha chekesha na hakuna hata mtu alimtaja kama yupo.
 
WA Tanzania watawanyoosha, nadhani chuki ilianza baada ya Edwin Mtei kuzuiwa asiibe fedha pale Benki Kuu, akaamua kukimbilia ughaibuni

..Edwin Mtei hakuwahi kuiba, wala kukimbia Tanzania.

..Waziri wa Fedha ni moja ya nafasi ambazo Edwin Mtei aliteuliwa baada ya kutoka Benki Kuu / BOT.

..Mtei alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Fedha, na baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Muwakilishi wa Afrika ktk Shirika la fedha duniani / IMF.

..baada ya mkataba wake na IMF kuisha Edwin Mtei aliteuliwa na Raisi Mwinyi kuongoza Tume ya mabadiliko ya sheria za kodi na ushuru hapa Tanzania.
 
Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Mnaulizaga maswali ya kipumbavu sana! Unajua protocol za sherehe za kitaifa? Unafikri unajipeleka tu hata kama huna mwaliko?
 
Back
Top Bottom