Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
na Dodoma paleCCM ina nguvu sehemu zenye uchumi mdogo kama Pwani, Lindi, Mtwara, na Tanga.
It is obvious: They are guys who are ethnically aware of their political rights and inflicted discrimination. Do not forget the other two areas - the Chaga and Haya lands. The rest are the "nduhu tabu (no problem)" areas.Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki...
Hadith njoo na utamu koleaMbeya na Songwe zimejaza wamalawi na wazambia ambao wanatumiwa na nchi zao kuleta upinzani mkubwa katika ardhi ya Tanzania kupitia vyama mbali mbali vya upinzani kwa masilahi ya nchi zao. Kumbuka malawi na tanzania tuna ugomvi baridi wa muda mrefu kuhusu mpaka wa ziwa nyasa, kwahiyo wamepenyeza watu wa kuleta choko choko kupitia vyama vya upinzan ili serikali itapokuwa busy kudili nao kwa sababu za kiusalama (kama wapinzan wa serikali na CCM yake) wao wautumie mwanya huo kuendelea kujisogeza ndan ya mipaka yetu. Pia zambia inasemekana ku raisi alietawa kule ambae asili yake ni tanzania kwahiyo wanajaribu kutafuta njia ya kulipiza kisasi kwa kupandikiza watu katika vyama mbali mbali vya kisiasa ili na wao siku moja waje watoe raisi au waziri mkuu kupitia vyama hivyo.
Kwa hiyo usalama wa taifa hawajui kazi yao.Mbeya na Songwe zimejaza wamalawi na wazambia ambao wanatumiwa na nchi zao kuleta upinzani mkubwa katika ardhi ya Tanzania kupitia vyama mbali mbali vya upinzani kwa masilahi ya nchi zao. Kumbuka malawi na tanzania tuna ugomvi baridi wa muda mrefu kuhusu mpaka wa ziwa nyasa, kwahiyo wamepenyeza watu wa kuleta choko choko kupitia vyama vya upinzan ili serikali itapokuwa busy kudili nao kwa sababu za kiusalama (kama wapinzan wa serikali na CCM yake) wao wautumie mwanya huo kuendelea kujisogeza ndan ya mipaka yetu. Pia zambia inasemekana ku raisi alietawa kule ambae asili yake ni tanzania kwahiyo wanajaribu kutafuta njia ya kulipiza kisasi kwa kupandikiza watu katika vyama mbali mbali vya kisiasa ili na wao siku moja waje watoe raisi au waziri mkuu kupitia vyama hivyo.
Betina amewekwa Mbeya mjini. Lengo la awari ni kupindisha katiba, ilibidi Sugu asiwepo Bungeni.Betina atakuwa na hali ngumu 2025,bora arudi kwao Rungwe akagombee...
Pambana na ban yakoKwa sababu ni majinga majinga huko
Good point be blessed.Asante.Hii unatokana na ubaguzi wa kimaendeleo unaofanywa na serikali,watu wa mikoa hiyo hawapelekewi miradi mikubwa na serikali hivo huhisi hawapemdwi na serikali!!pia Ni wasomi,hivyo wana uwezo mkubwa Sana wa kuchanganua Mambo.
Fara.Kwa sababu ni majinga majinga huko
wewe ni dudumizi kweli mawazo mfu kuwahi kutokea ndiyo hayo yako.Mbeya na Songwe zimejaza wamalawi na wazambia ambao wanatumiwa na nchi zao kuleta upinzani mkubwa katika ardhi ya Tanzania kupitia vyama mbali mbali vya upinzani kwa masilahi ya nchi zao. Kumbuka malawi na tanzania tuna ugomvi baridi wa muda mrefu kuhusu mpaka wa ziwa nyasa, kwahiyo wamepenyeza watu wa kuleta choko choko kupitia vyama vya upinzan ili serikali itapokuwa busy kudili nao kwa sababu za kiusalama (kama wapinzan wa serikali na CCM yake) wao wautumie mwanya huo kuendelea kujisogeza ndan ya mipaka yetu. Pia zambia inasemekana ku raisi alietawa kule ambae asili yake ni tanzania kwahiyo wanajaribu kutafuta njia ya kulipiza kisasi kwa kupandikiza watu katika vyama mbali mbali vya kisiasa ili na wao siku moja waje watoe raisi au waziri mkuu kupitia vyama hivyo.
Sehemu yoyote ambayo watu wake wameelimika hawaitaki CCM hata kwa dak 1.Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki.
Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo?
Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita kwa mbinde sana