Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Ile Barbara nzuri iliyotoka Iringa imeishia Igawa. Mbeya mjini kuna Barbara kuu moja nyembamba, nayo hii isingekuwa kuelekea mpakani Malawi na Zambia tusingekuwa nayo. Mbeya kwa asiri RAIA wake ni wachapa kazi, nafikiri isingekuwa ni mazao ya kilimo ndo kabisa tungesahaulika.