Kwanini upinzani una nguvu sana Mbeya na Songwe tangu miaka ya 1990 hadi sasa?

Yule naibu waziri wa elimu wa zamani jina nadhani Ni Mulugo au Ugoro si Ni mtu wa huko?
Mulugo si wa CCM?
Kama wanabambikiwa wabunge Kama Mulugo wataacha kuichukia CCM?
Mlugo ni mchawi kikuda
 
Mbeya na Songwe zimejaza wamalawi na wazambia ambao wanatumiwa na nchi zao kuleta upinzani mkubwa katika ardhi ya Tanzania kupitia vyama mbali mbali vya upinzani kwa masilahi ya nchi zao. Kumbuka malawi na tanzania tuna ugomvi baridi wa muda mrefu kuhusu mpaka wa ziwa nyasa, kwahiyo wamepenyeza watu wa kuleta choko choko kupitia vyama vya upinzan ili serikali itapokuwa busy kudili nao kwa sababu za kiusalama (kama wapinzan wa serikali na CCM yake) wao wautumie mwanya huo kuendelea kujisogeza ndan ya mipaka yetu. Pia zambia inasemekana ku raisi alietawa kule ambae asili yake ni tanzania kwahiyo wanajaribu kutafuta njia ya kulipiza kisasi kwa kupandikiza watu katika vyama mbali mbali vya kisiasa ili na wao siku moja waje watoe raisi au waziri mkuu kupitia vyama hivyo.
Wewe jamaa huna ufahamu...kukosa ufahamu sio tusi bali ni kujifunza..hyo propaganda mfu kabsaaa....!!
 
Mbeya na Songwe zimejaza wamalawi na wazambia ambao wanatumiwa na nchi zao kuleta upinzani mkubwa katika ardhi ya Tanzania kupitia vyama mbali mbali vya upinzani kwa masilahi ya nchi zao. Kumbuka malawi na tanzania tuna ugomvi baridi wa muda mrefu kuhusu mpaka wa ziwa nyasa, kwahiyo wamepenyeza watu wa kuleta choko choko kupitia vyama vya upinzan ili serikali itapokuwa busy kudili nao kwa sababu za kiusalama (kama wapinzan wa serikali na CCM yake) wao wautumie mwanya huo kuendelea kujisogeza ndan ya mipaka yetu. Pia zambia inasemekana ku raisi alietawa kule ambae asili yake ni tanzania kwahiyo wanajaribu kutafuta njia ya kulipiza kisasi kwa kupandikiza watu katika vyama mbali mbali vya kisiasa ili na wao siku moja waje watoe raisi au waziri mkuu kupitia vyama hivyo.
...Mbona Pazito hapa....Pachunguliwe
 
Back
Top Bottom