Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Ni kwasababu Wana chakula cha kutosha. Ni watu wasiokuwa na njaa Kama wa mikoa ya Dodoma na Singida,hawategemei kuishi kwa fadhila za wanasiasa. Wanajiamini, moja ya sifa ya mtu amekula chakula vizuri toka utoto hata uwezo wake wa kufikiria unakuwa ni mkubwa. Angalia mikoa yote yenye chakula cha kutosha Kuna upinzani mkubwa, maana watu akili zao Zinachaji.Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki.
Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo?
Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita kwa mbinde sana
Hii ndio jibu sahihiHawana njaa
Mikoa hii haijatendewa haki.mfano makao makuu ya mkoa wa songwe(vwawa)hakuna maji ya bomba mpaka leo.pia watu wa Nyanda za juu kusini ni wapigania haki.hata migomo ya vyuo na sekondari huwa ni viongozi.Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki.
Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo?
Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita kwa mbinde sana
Na kunyimwa maendeleo bado sio fukaraMikoa hii haijatendewa haki.mfano makao makuu ya mkoa wa songwe(vwawa)hakuna maji ya bomba mpaka leo.pia watu wa Nyanda za juu kusini ni wapigania haki.hata migomo ya vyuo na sekondari huwa ni viongozi.
Ndio maana sasa sekta ya elimu inachezewa ili elimu isiwe na maana TenaSehemu yoyote ambayo watu wake wameelimika hawaitaki CCM hata kwa dak 1.
Kwa sababu watu wa kule wengi wanavuta bangiKwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki.
Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo?
Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita kwa mbinde sana
Hii unatokana na ubaguzi wa kimaendeleo unaofanywa na serikali,watu wa mikoa hiyo hawapelekewi miradi mikubwa na serikali hivo huhisi hawapemdwi na serikali!!pia Ni wasomi,hivyo wana uwezo mkubwa Sana wa kuchanganua Mambo.
Na upinzani sio Chadema tu. Mikoa ya Lindi na Mtwara inayodharauliwa na baadhi ya wadau humu, imekuwa na wabunge wa CUF kwa miaka ya kutosha.
Wapi ambako bangi haivutwi?Kwa sababu watu wa kule wengi wanavuta bangi
Wapi ambako bangi haivutwi?
Kule kumezidi watu wanakula bangi kama mboga.
Do you mean Rango?Betina atakuwa na hali ngumu 2025,bora arudi kwao Rungwe akagombee...
Nyie huko Mbeya bado sana mlisema mna Rais wenu Sugu. hahaha nyumbu bhana tabu sana. Mji wenyewe kama Kahama tu.Ile Barbara nzuri iliyotoka Iringa imeishia Igawa. Mbeya mjini kuna Barbara kuu moja nyembamba, nayo hii isingekuwa kuelekea mpakani Malawi na Zambia tusingekuwa nayo. Mbeya kwa asiri RAIA wake ni wachapa kazi, nafikiri isingekuwa ni mazao ya kilimo ndo kabisa tungesahaulika.
Thibitisha
Sasa mbona umeshindwa kuthibitisha tuhuma zako?Kama hujui hilo wewe siyo mtanzania