Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

Bado atatokea mtu apinge hichi ulichoandika hapa ila ukweli ndio huo,watalii wengi wanaoenda zanzibar huwa wanawapenda sana wanawake wa kizanzibar

Mila za kiarabu ni miila za mambo mabaya mabaya tu na ni watu wakorofi na wakatili sana ,Waliojawa na roho za kishetani ndio maana wanaongozwa kwa sheria kali sana .

Kwa waarabu ukiondoa sheria kali wale watu watafanya uhalifu mkubwa kwa sababu hawana Roho mtakatifu wa Mungu ndani yao.
Lakini pia wanazuiwa makusudi kwa kutishwa na kuuawa ili wasipate Injili ya Kristo
 
Sio kweli,waarabu waliokuwepo Tabora,ni mara kumi ya waliokuwepo Zanzibar,mbona Tabora hakuna mashoga,Tabora kuna sehemu inaitwa Muscat,kwa walivyokuwq wengi,lakini hakuna mashoga,hata jina Tabora ni neno la kiarabu,maana yake ni kituo,stend(taboor) ,waarabu walikuwepo Kigoma,Shinyanga,Mpanda,Iringa,Rwanda,Burundi,Uganda,Sudan,Somalia,mbona hakuna mashoga.Hiyo Tanga waarabu hawakuishi Tanga mjini,waliishi mashambani,kama Korogwe,Mheza,Pangani,Hale,waarabu walikuwa zaidi kando ya miji,Na Zanzibar waarabu hawakuishi Unguja,waliishi Pemba(hakuna ushoga,walioshi Unguja,huko ni wazungu watawala, .Watalii wazungu ndio wanaoneza ushoga,kwenye fukwe za bahari.
 
Sehemu walizoishi waraabu Tabora,,Shinyanga,Kigoma,Iringa,Mpanda,Karema,Uganda,Rwanda,Somalia,Sudan,Korogwe,Mheza,Pangani,Hale,mbona kote hakuna mashoga.Tabora kuna sehemu inaitwa Muscat,kwa waarabu walivyokuwa wengi,hakuna ushoga.Jinq Tabora ni la kiarabu(Taboor,kituo)hakuna ushoga.Ushoga unaunezwa na watalii wazungu,kwenye fukwe za bahari.
 
Waarabu hawakuishi unguja,waliishi Pemba,hakuna ushoga.Waliishi Tabora,Kigoma,shinyanga,Nzega,Kahama,Iringa,Kibaha,Bagamoyo,Korogwe,Mheza,Pangani,Hale,Rwanda,Burundi,Uganda,Somalia,Sudan
UISLAM ni utamaduni wa waarabu. Hivyo waislam wamekopi tamaduni nyingi sana kutoka kwa waarabu, ikiwemo ufiraji/ufirwaji.
Tumia akili hata za kitoto.Waarabu waliishi Tabora,Shinyanga,,Iringa,Kigoma,Pemba,Korogwe,Hale,Mheza,Rwanda,Burundi,
Sio zanzibar tu sema kwanini ushoga umeshamiri miko ya pwani ambako ndiko kuna uislam mwingi? Maana kumpata shoga mara ujikamue kweli kweli
Sio kweli.Uislamu uko Tabora,Korogwe,Hale,Mheza,Pangani,Shinyanga,Kigoma,Pemba,mbona hakuna mashoga.Wqzungu watalii ndio wanaoneza ushoga kutoka kwao.Ndio ukaona nchi zao,ushoga ni mwingi sana,na hakuna sheria inayopinga ushoga.
 
Sio kweli.Kakudanganya,ukadanganyika.Kakuona unadanganyika ki urahisi.
 
Labda kwakua ongea yao na wao kuonekana kama legelege ndio kunawafanya watu wawahisi vibaya.

Ila chuga na dar ni kiboko kwa hizo mbanga, chuga haisemwi kisa ule usela mavi wao.
 
Inamaanisha mkuu umesogea umri kiasi hicho?
Nashukuru Mungu nilipofika si habari, nimekula kula chumvi kidogo

Kwahiyo mambo mengi tunayoyaona na kuyasoma humu Kwa kiasi kikubwa yanakuwa mageni Kwa sisi wenye umri huu wa Uzee

Miaka yetu ilikuwa Mwanaume mmoja anaoa wake hata watatu lakini Siku hizi Mwanaume anaona fahari kuchukua dudu yake na kumuingiza Mwanaume mwenzake

Kama sio kukosa akili ni nini huku?

Badala ya kuonesha urijali Kwa Kuoa, wao wanaona urijali ni kuwageza Wanaume wenzao Wanawake 🙌
 
Siyo mara tu Kanda ya ziwa Mwanza kwa wasukuma!! Kagera kwa wahaya!! Tabora kwa Wanyamwezi Kanda ziwa yote kuna watu wa kazi siyo ndezi ndezi za Pwani
Huko kote mashoga wapo. Acha kudanganya watu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…