Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Ka-google "Bacha Bazi "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anisaidie nife bila kufanya hiyo dhambi.we sio mtumiaji ulizia machimbo ukasuuze nafsi
Bado atatokea mtu apinge hichi ulichoandika hapa ila ukweli ndio huo,watalii wengi wanaoenda zanzibar huwa wanawapenda sana wanawake wa kizanzibar
Sio kweli,waarabu waliokuwepo Tabora,ni mara kumi ya waliokuwepo Zanzibar,mbona Tabora hakuna mashoga,Tabora kuna sehemu inaitwa Muscat,kwa walivyokuwq wengi,lakini hakuna mashoga,hata jina Tabora ni neno la kiarabu,maana yake ni kituo,stend(taboor) ,waarabu walikuwepo Kigoma,Shinyanga,Mpanda,Iringa,Rwanda,Burundi,Uganda,Sudan,Somalia,mbona hakuna mashoga.Hiyo Tanga waarabu hawakuishi Tanga mjini,waliishi mashambani,kama Korogwe,Mheza,Pangani,Hale,waarabu walikuwa zaidi kando ya miji,Na Zanzibar waarabu hawakuishi Unguja,waliishi Pemba(hakuna ushoga,walioshi Unguja,huko ni wazungu watawala, .Watalii wazungu ndio wanaoneza ushoga,kwenye fukwe za bahari.Maeneo yote kulikokuwa na waarabu wengi, ushoga umeshamiri sana, Zanzibar, Mombasa, Tanga.
Nilishangaa nilipoenda Zanzibar, kijana muongozaji watalii, ananiambia kuwa watalii wazungu wakifika Zanzibar wanataka ku-enjoy sana, na wao wanahakikisha wateja wao wanapata chochote wanachotaka. Nikamwuliza kupata ufafanuzi, ndipo akasema kuwa wengine wakifika tu wanataka wanataka mabinti. Nikamwuliza kuwa wanafanikiwa kuwapata ukizingatia Zanzibar ina watu wachache, na practically ni kama nchi ya kiislam. Akasema wanawake wapo wengi sana, umri wowote utakaotaka. Hawapo mabarabarani kwa sababu wanaogopa, ila malaya ni wengi sana. Akasema ukitaka waafrika tiii, wapo. Ukitaka mashombe wa kiarabu, wapo wengi sana, japo wengine wanataka wazungu tu kwa hofu kuwa waafrika watawatangaza.
Hahaha......Niwie radhi Mkuu, nilijaribu kumwonesha research gap ili akafanyie utafiti na hayo maeneo piavipi tena we mzee
Kwa kweli MjukuuBora usiwaone🤣
Sehemu walizoishi waraabu Tabora,,Shinyanga,Kigoma,Iringa,Mpanda,Karema,Uganda,Rwanda,Somalia,Sudan,Korogwe,Mheza,Pangani,Hale,mbona kote hakuna mashoga.Tabora kuna sehemu inaitwa Muscat,kwa waarabu walivyokuwa wengi,hakuna ushoga.Jinq Tabora ni la kiarabu(Taboor,kituo)hakuna ushoga.Ushoga unaunezwa na watalii wazungu,kwenye fukwe za bahari.Mila za kiarabu ni miila za mambo mabaya mabaya tu na ni watu wakorofi na wakatili sana ,Waliojawa na roho za kishetani ndio maana wanaongozwa kwa sheria kali sana .
Kwa waarabu ukiondoa sheria kali wale watu watafanya uhalifu mkubwa kwa sababu hawana Roho mtakatifu wa Mungu ndani yao.
Lakini pia wanazuiwa makusudi kwa kutishwa na kuuawa ili wasipate Injili ya Kristo
Tanga nyumba shoga nyumba mgangaZanzibar nyumba kumi, tano hazikosi mtoto wali nazi
Inamaanisha mkuu umesogea umri kiasi hicho?Kwa kweli Mjukuu
Naweza nikapata mfadhaiko Babu yenu nikafa, maana enzi zetu Mwaka 47 hakukuwa na hayo mambo
Yeah tulikaita ofisini kwa mahojiano ndo kakanza tirirkaAlikuwa anakuambia wewe hayo ya kuwashwawashwa?
Na Marekani inatawaliwa na Moroco?? Wao ni wawazi huku bongo ni usiri mwingi.Athari za utawala wa kiarabu.
Waarabu hawakuishi unguja,waliishi Pemba,hakuna ushoga.Waliishi Tabora,Kigoma,shinyanga,Nzega,Kahama,Iringa,Kibaha,Bagamoyo,Korogwe,Mheza,Pangani,Hale,Rwanda,Burundi,Uganda,Somalia,SudanMila za kiarabu ni miila za mambo mabaya mabaya tu na ni watu wakorofi na wakatili sana ,Waliojawa na roho za kishetani ndio maana wanaongozwa kwa sheria kali sana .
Kwa waarabu ukiondoa sheria kali wale watu watafanya uhalifu mkubwa kwa sababu hawana Roho mtakatifu wa Mungu ndani yao.
Lakini pia wanazuiwa makusudi kwa kutishwa na kuuawa ili wasipate Injili ya Kristo
Tumia akili hata za kitoto.Waarabu waliishi Tabora,Shinyanga,,Iringa,Kigoma,Pemba,Korogwe,Hale,Mheza,Rwanda,Burundi,UISLAM ni utamaduni wa waarabu. Hivyo waislam wamekopi tamaduni nyingi sana kutoka kwa waarabu, ikiwemo ufiraji/ufirwaji.
Sio kweli.Uislamu uko Tabora,Korogwe,Hale,Mheza,Pangani,Shinyanga,Kigoma,Pemba,mbona hakuna mashoga.Wqzungu watalii ndio wanaoneza ushoga kutoka kwao.Ndio ukaona nchi zao,ushoga ni mwingi sana,na hakuna sheria inayopinga ushoga.Sio zanzibar tu sema kwanini ushoga umeshamiri miko ya pwani ambako ndiko kuna uislam mwingi? Maana kumpata shoga mara ujikamue kweli kweli
Sio kweli.Kakudanganya,ukadanganyika.Kakuona unadanganyika ki urahisi.Maeneo yote kulikokuwa na waarabu wengi, ushoga umeshamiri sana, Zanzibar, Mombasa, Tanga.
Nilishangaa nilipoenda Zanzibar, kijana muongozaji watalii, ananiambia kuwa watalii wazungu wakifika Zanzibar wanataka ku-enjoy sana, na wao wanahakikisha wateja wao wanapata chochote wanachotaka. Nikamwuliza kupata ufafanuzi, ndipo akasema kuwa wengine wakifika tu wanataka wanataka mabinti. Nikamwuliza kuwa wanafanikiwa kuwapata ukizingatia Zanzibar ina watu wachache, na practically ni kama nchi ya kiislam. Akasema wanawake wapo wengi sana, umri wowote utakaotaka. Hawapo mabarabarani kwa sababu wanaogopa, ila malaya ni wengi sana. Akasema ukitaka waafrika tiii, wapo. Ukitaka mashombe wa kiarabu, wapo wengi sana, japo wengine wanataka wazungu tu kwa hofu kuwa waafrika watawatangaza.
Labda kwakua ongea yao na wao kuonekana kama legelege ndio kunawafanya watu wawahisi vibaya.Nimekwenda Zanzibar mara nyingi lakini sijabahatika kukutana na hao mashoga
Nimetembea na hapo Forodhani nyakati za Usiku lakini sijabahatika kuwaona hao mashoga
Labda kama wanafanya huo ushoga wao Kwa kificho
Lakini pia kama una nafasi lete ripoti ya hali ya ushoga Kwa Mikoa ya DSM na Arusha pia.
NB; tuwalinde watoto wetu
Nashukuru Mungu nilipofika si habari, nimekula kula chumvi kidogoInamaanisha mkuu umesogea umri kiasi hicho?
Huko kote mashoga wapo. Acha kudanganya watu hapa.Siyo mara tu Kanda ya ziwa Mwanza kwa wasukuma!! Kagera kwa wahaya!! Tabora kwa Wanyamwezi Kanda ziwa yote kuna watu wa kazi siyo ndezi ndezi za Pwani
Kwa kweli hali inatishaLabda kwakua ongea yao na wao kuonekana kama legelege ndio kunawafanya watu wawahisi vibaya.
Ila chuga na dar ni kiboko kwa hizo mbanga, chuga haisemwi kisa ule usela mavi wao.
Mnajidanganya sanaa nyie.Hata hapa bara maeneo yenye waislam wengi ushoga umeshamiri. Mfano ni nadra sana kukuta ushogo mwingi mbeya au mwanza. Nenda Tanga sasa.