Kwanini usijengwe ukuta katikati ya barabara za mikoani kupunguza ajali?

Mimi nadhani watengeneze njia hata 6 tofauti kwa lane ya upande mmoja. Kuwe na njia Za malori, mabus na gari za abiria plus za magari madogo. Na kila moja iwe na uwezo wa kuovertake (ndo maana zinakua 6). Hivo jumla ziwe 12 6 kila upande. Hapo hakuna kuingiliana. Na camera barabarani ziwepo ukizingua gari inafungiwa kutembea.
 
Ukuta utasababisha foleni Kubwa kwenye Njia Moja(One way) na kutakuwa hakuna ku overtake. Suluhisho ni kujenga Njia mbili (Dual Carriage) Ili gari mbili ziwe zinapita upande mmoja na kupunguza head to head collision.
 
Inahitajika njia mbili dual
Na lazima mwigilu azitafute
Wabunge wamekaa wanakula tu na akili zimekaa pia
 
Sema kile ki mstari cha kutenganisha pande za barabara kiongezwe urefu kwenda juu.[emoji16][emoji23].

Ila kwa hayo mawazo hufiki mbinguni mkuu
 
Mkuu una umri gani?
 
Kumbuka kuwa Tz bado kuna sehemu barabara bado ni vumbi. Ref kidatu-ifakara ni mfano mdogo. Mkuu driver akipiga k-vant hata ziwe barabara 20 ataleta ajari tu.
 
Suluhisho,ni mizigo kubebwa na njia ya reli,malori yasibebe mizigo kutoka bandarini na viwandani.
 
Mizigo ibebwe kwa njia ya Reli,kutoka bandarini kwenda mikoani na nje ya nchi.Na kutoka viwandani kwenda mikoani na nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…