ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #41
Boda boda pia wanavuta sana bangi, wanakula mirungi na wanakunywa pombe Kali. Ni fujo huko barabaraniulevi pia, hawafati taa za barabarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boda boda pia wanavuta sana bangi, wanakula mirungi na wanakunywa pombe Kali. Ni fujo huko barabaraniulevi pia, hawafati taa za barabarani
3. Zorro's daughter ✔shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa pombe wakati tunaona bar Nyingi walevi wanakuwa wamepaki magari wakiwa bar wanakunywa na wakitoka wanaenda kuendesha magari huku Polisi wakiangalia tu kisubiri ajali itokee wapige pesa ndefu.
4. Kutokufuata Sheria za barabara, huu ni ugonjwa wa Madereva wengi wa Tanzania hasa wakati wa ku overtake ,tunatake risk sana, ajali nyingi zinatokana na kuovertake sehemu isiyoruhusiwa.
Turudi kwenye mada kuu, ajali nyingi za siku hizi ni kwamba roli linahama upande wake linaenda upande wa pili halafu chuma zinagongana uso kwa uso, na ni nyingi sana ajali za namna hii kwaKuwa malori ni mengi mno nchi hii wameua reli, sasa sijui reli ije tu ili waondoe haya malori kwa road.
Sasa kwanini serikali isijenge ukuta katikati ya barabara Ili Lori likitaka kuhamia upande wa pili lishindwe hivyo kuepusha Ajali.
.wanaweza wakaweka ukuta hata mita moja, ukuta mgumu na mrefu, kwakuwa ajali zimezidi sana na wewe unaesoma muda wowote utapata ajali ya kugongana uso kwa uso na roli
Hizo gharama za huo ukuta ni gharama za kuchimba barabara ingine mbali kabisashida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa pombe wakati tunaona bar Nyingi walevi wanakuwa wamepaki magari wakiwa bar wanakunywa na wakitoka wanaenda kuendesha magari huku Polisi wakiangalia tu kisubiri ajali itokee wapige pesa ndefu.
4. Kutokufuata Sheria za barabara, huu ni ugonjwa wa Madereva wengi wa Tanzania hasa wakati wa ku overtake ,tunatake risk sana, ajali nyingi zinatokana na kuovertake sehemu isiyoruhusiwa.
Turudi kwenye mada kuu, ajali nyingi za siku hizi ni kwamba roli linahama upande wake linaenda upande wa pili halafu chuma zinagongana uso kwa uso, na ni nyingi sana ajali za namna hii kwaKuwa malori ni mengi mno nchi hii wameua reli, sasa sijui reli ije tu ili waondoe haya malori kwa road.
Sasa kwanini serikali isijenge ukuta katikati ya barabara Ili Lori likitaka kuhamia upande wa pili lishindwe hivyo kuepusha Ajali.
.wanaweza wakaweka ukuta hata mita moja, ukuta mgumu na mrefu, kwakuwa ajali zimezidi sana na wewe unaesoma muda wowote utapata ajali ya kugongana uso kwa uso na roli
Hivi umewahi kusoma hata Page moja ya Road Traffic Act?[Sheria ya usalama Barabarani?shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa pombe wakati tunaona bar Nyingi walevi wanakuwa wamepaki magari wakiwa bar wanakunywa na wakitoka wanaenda kuendesha magari huku Polisi wakiangalia tu kisubiri ajali itokee wapige pesa ndefu.
4. Kutokufuata Sheria za barabara, huu ni ugonjwa wa Madereva wengi wa Tanzania hasa wakati wa ku overtake ,tunatake risk sana, ajali nyingi zinatokana na kuovertake sehemu isiyoruhusiwa.
Turudi kwenye mada kuu, ajali nyingi za siku hizi ni kwamba roli linahama upande wake linaenda upande wa pili halafu chuma zinagongana uso kwa uso, na ni nyingi sana ajali za namna hii kwaKuwa malori ni mengi mno nchi hii wameua reli, sasa sijui reli ije tu ili waondoe haya malori kwa road.
Sasa kwanini serikali isijenge ukuta katikati ya barabara Ili Lori likitaka kuhamia upande wa pili lishindwe hivyo kuepusha Ajali.
.wanaweza wakaweka ukuta hata mita moja, ukuta mgumu na mrefu, kwakuwa ajali zimezidi sana na wewe unaesoma muda wowote utapata ajali ya kugongana uso kwa uso na roli
A.k.A kichwa habari!Aisee.
Kichwa cha familia hiki.
Lori zetu tuzipeleke wapiSuluhisho,ni mizigo kubebwa na njia ya reli,malori yasibebe mizigo kutoka bandarini na viwandani.
Inawezekana mkuu sema jamaa ameshindwa kuelezea ni ukuta wa aina gani huo!.Unachekesha sana aise
Jibu ni haiwezekani kujenga ukuta
Eleza sababu za kutowezekana, jamaa kaandika, sababu za ukuta wa kutenganisha barabara, alau wenye urefu wa mita tatu, kuepusha ajali za magari yanayotoka pande mbili kugongana.Unachekesha sana aise
Jibu ni haiwezekani kujenga ukuta
Hapa tatizo ni wewe.Aisee.
Kichwa cha familia hiki.
Huo uchumi utautoa wapi?Suluhu ni kujenga double road magari yaelekee upande mmoja kwa njia mbili ajali zitaoungua sana mana hakutakuwa na haja kupiga hesabu za ku overtake
Wewe uliesoma, ulitakiwa sasa kumuelimisha huyu, juu ya anachokiwaza, hakiwezekani ni upuuzi na sababu zake.Umeishia darasa la ngapi mkuu
Wazo lingekuwa kujenga lanes mbili kila upande uendao na urudio kama Ruby zingethibitiwa vizuri zisitoroshweShida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa pombe wakati tunaona bar Nyingi walevi wanakuwa wamepaki magari wakiwa bar wanakunywa na wakitoka wanaenda kuendesha magari huku Polisi wakiangalia tu kisubiri ajali itokee wapige pesa ndefu.
4. Kutokufuata Sheria za barabara, huu ni ugonjwa wa Madereva wengi wa Tanzania hasa wakati wa ku overtake ,tunatake risk sana, ajali nyingi zinatokana na kuovertake sehemu isiyoruhusiwa.
Turudi kwenye mada kuu, ajali nyingi za siku hizi ni kwamba roli linahama upande wake linaenda upande wa pili halafu chuma zinagongana uso kwa uso, na ni nyingi sana ajali za namna hii kwaKuwa malori ni mengi mno nchi hii wameua reli, sasa sijui reli ije tu ili waondoe haya malori kwa road.
Sasa kwanini serikali isijenge ukuta katikati ya barabara Ili Lori likitaka kuhamia upande wa pili lishindwe hivyo kuepusha Ajali.
Wanaweza wakaweka ukuta hata mita moja, ukuta mgumu na mrefu, kwakuwa ajali zimezidi sana na wewe unaesoma muda wowote utapata ajali ya kugongana uso kwa uso na roli.
Na wewe nawe ni kiazi kingine.Ajali haina kinga, unaeza kujengwa ukuta na ajali nd zikazidi vile vle pia ili kuw na ukuta ama kingo ,njia za kwnda n kurudi lazima ziongzeke upana wake ili incase gari ikiharbika iczuie gari zngne kupita.
Njia sahihi ya kupunga ajali hasa hizi za head on collision ni kupanua barabara ziwe za njia mbili kama nchi zilizoendelea zinavyofanya. Ukuta katikati ka barabara nyembamba kama hizi za kwetu ni kuongeza maafa! Kwa nini mnataka kufanya complication kwenye simple solution?Safi sana kwa kufikiri vyema mtoa mada. Usifadhaishwe na wapumbavu wanaoamini wanatunza familia kwa mawazao yao bora ilhali hawana uwezo wa kufikiri.
Naamini ulilenga kuwasilisha kitu kama Concrete Barriers, yes inawezakana concrete ni urefu 2 to 4 feat na inaweza kuzuiza magari kuintervene. Mamlaka zifanyie kazi wazo lako.
View attachment 2196430
Kama picha inavyoenesha ukianza kwenda hadi tamati au eneo rasmi la kuingia njia nyingine hii imesaidia sana mataifa mbalimbali kupunguza ajali.
Kabisa kabisa 😅😅😅Mleta mada inabidi ajiunge ccm kama bado hajajiunga.,siyo kwa akili hizi
Nipo chauma ubwabwaKabisa kabisa 😅😅😅
Na wewe nawe ni kiazi kingine.
Yes I agree, njia mbili na hata zaidi katikati katika mgawanyo bado ziwekwe Concrete Barriers.Njia sahihi ya kupunga ajali hasa hizi za head on collision ni kupanua barabara ziwe za njia mbili kama nchi zilizoendelea zinavyofanya. Ukuta katikati ka barabara nyembamba kama hizi za kwetu ni kuongeza maafa! Kwa nini mnataka kufanya complication kwenye simple solution?
Nadhani huna idea hizo njia mbili zinavyojengwa. Kawaida hizi za highway huwa zinaacha nafasi kubwa katikati. Ukishajenga hivyo huhitaji tena kuweka hizo kuta kwani ni upotevu wa fedha. Kuta zinawekwa sehemu zenye ulazima tu.Yes I agree, njia mbili na hata zaidi katikati katika mgawanyo bado ziwekwe Concrete Barriers.