Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwa nn Vilaza huwa wanajiamini sana!Google inapotumiwa bila uelewa inakuwa ni kituko. Ona huyu naye ka-google nakupa vipicha vyenye ukuta halafu anafanya conclusion hapo hapo. Nadhani hujaelewa mwanzisha mada kasema nini na wewe hujui unajaribu kutetea nini.
Hata huko Nje sio bara bara yote ni zile zenye ajali nyingi ndio wanaweka huo ukuta na unaona Tangazo lao kabisa hili eneo lenye ajali nyingi endesha kwa uangalifu maana wanakua na takwimu za ajali tofauti maeneo hayo kwa dereva lazima uzingatie...Jamaa kaongea kitu ambacho wengi wamekitafsiri kwa namna ya Low IQ watu wanadhani jamaa alimaanisha ukuta mrefu lakini sio... pia back to the point barabara zetu hasa za mkoani ni nyembamba sana magari yanapopishana yanaacha nafasi ndogo mnoo kiasi kwamba ile nafasi haitoshi hata kuweka separation blocks anachosema muandishi kinawezekana barabara zikiwa pana
Huyo jamaa kama hajawahi uona ukuta na katoa hilo wazo ana akili sana ukuta unawekwa yale maeneo yenye ajali nyingi maana zinapotokea ajali zinakua kwenye kumbukumbu macho mdiliko bara bara inaweza kuongezwa sio kwamba itakua hivyo hivyo miaka yote..Wanaobisha hawasemi kuwa kuna sehemu ambazo hazistahili kuwekwa ukuta. Umesoma mtoa mada? Yeye anataka kwa mfano barabara ya Arusha mpaka Dar ibaki hivyo hivyo, na wembamba wake halafu uwekwe ukuta katikati.
Ni bora kujenga dual carriage ways ili magari yasikutane kabisa , ukuta hauna uwezo wa kuzuia mommentum ya gari kubwa linapoacha njiaShida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa pombe wakati tunaona bar Nyingi walevi wanakuwa wamepaki magari wakiwa bar wanakunywa na wakitoka wanaenda kuendesha magari huku Polisi wakiangalia tu kisubiri ajali itokee wapige pesa ndefu.
4. Kutokufuata Sheria za barabara, huu ni ugonjwa wa Madereva wengi wa Tanzania hasa wakati wa ku overtake ,tunatake risk sana, ajali nyingi zinatokana na kuovertake sehemu isiyoruhusiwa.
Turudi kwenye mada kuu, ajali nyingi za siku hizi ni kwamba roli linahama upande wake linaenda upande wa pili halafu chuma zinagongana uso kwa uso, na ni nyingi sana ajali za namna hii kwaKuwa malori ni mengi mno nchi hii wameua reli, sasa sijui reli ije tu ili waondoe haya malori kwa road.
Sasa kwanini serikali isijenge ukuta katikati ya barabara Ili Lori likitaka kuhamia upande wa pili lishindwe hivyo kuepusha Ajali.
Wanaweza wakaweka ukuta hata mita moja, ukuta mgumu na mrefu, kwakuwa ajali zimezidi sana na wewe unaesoma muda wowote utapata ajali ya kugongana uso kwa uso na ni
Mimi sijasoma mada yako...Shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa pombe wakati tunaona bar Nyingi walevi wanakuwa wamepaki magari wakiwa bar wanakunywa na wakitoka wanaenda kuendesha magari huku Polisi wakiangalia tu kisubiri ajali itokee wapige pesa ndefu.
4. Kutokufuata Sheria za barabara, huu ni ugonjwa wa Madereva wengi wa Tanzania hasa wakati wa ku overtake ,tunatake risk sana, ajali nyingi zinatokana na kuovertake sehemu isiyoruhusiwa.
Turudi kwenye mada kuu, ajali nyingi za siku hizi ni kwamba roli linahama upande wake linaenda upande wa pili halafu chuma zinagongana uso kwa uso, na ni nyingi sana ajali za namna hii kwaKuwa malori ni mengi mno nchi hii wameua reli, sasa sijui reli ije tu ili waondoe haya malori kwa road.
Sasa kwanini serikali isijenge ukuta katikati ya barabara Ili Lori likitaka kuhamia upande wa pili lishindwe hivyo kuepusha Ajali.
Wanaweza wakaweka ukuta hata mita moja, ukuta mgumu na mrefu, kwakuwa ajali zimezidi sana na wewe unaesoma muda wowote utapata ajali ya kugongana uso kwa uso na roli.
Asante kwa kuongeza mawazo yako kwenye mawazo yake. jamaa ndio alikuwa anamaanisha hivi ila akili ndogo majibu yao yalishinda akili kubwaSafi sana kwa kufikiri vyema mtoa mada. Usifadhaishwe na wapumbavu wanaoamini wanatunza familia kwa mawazo yao bora ilhali hawana uwezo wa kufikiri.
Naamini ulilenga kuwasilisha kitu kama Concrete Barriers, yes inawezakana concrete ni urefu 2 to 4 feat na inaweza kuzuiza magari kuintervene. Mamlaka zifanyie kazi wazo lako.
View attachment 2196430
Kama picha inavyoenesha ukianza kwenda hadi tamati au eneo rasmi la kuingia njia nyingine hii imesaidia sana mataifa mbalimbali kupunguza ajali.
Kaburu kajaza ukuta ajali ya upande mmoja hata iwe ya truck ni upande huo huo zile Concrete zinafungwa vizuri...Ni bora kujenga dual carriage ways ili magari yasikutane kabisa , ukuta hauna uwezo wa kuzuia mommentum ya gari kubwa linapoacha njia
Narudia: yeye kasema ujengwe ukuta katikati ya barabara iliyopo. Hakuna akili yoyote hapo bali kutokuwa na upeo wa kujua mambo wa kutosha. Cha kufanya ni kujenga barabara mbili na katikati pawe na nafasi ya kutosha. BTW hata bila ukuta mara nyingi kati ya hizo barabara kunakuwa na kingo! Naomba tusifu vitu vyenye manufaa ili kufanya watu watafakari mambo kwa upana.Huyo jamaa kama hajawahi uona ukuta na katoa hilo wazo ana akili sana ukuta unawekwa yale maeneo yenye ajali nyingi maana zinapotokea ajali zinakua kwenye kumbukumbu macho mdiliko bara bara inaweza kuongezwa sio kwamba itakua hivyo hivyo miaka yote..
Mkuu by nature kila mtu ni kilaza. Hata mimi hapa nilipo ni kilaza kwenye mambo mengi. Tatizo ni pale kilaza anapotaka ukilaza wake uonekane kama usahihi. Huu umekuwa kama utamaduni wetu watanzania. Watu hawapendi kuonekana kama hawajui na wanafanya kila liwezekanalo ili makosa yaonekane kama ni usahihi.Sijui kwa nn Vilaza huwa wanajiamini sana!
Akili zako zinafanana na Google pole sana.Google bila akili inafanya wengine waonekane vituko. Ona wewe hujajua mwanzisha mada kasema nini na watu wanambshia nini, umeingia google na kuja na kituko chako.
JF wajuaji ni wengi mnoMsimdhihaki, kama unaona ameongea pumba, mweleweshe tu kiungwana! Ila kumdhihaki, na kujumlisha hadi familia yake sio uungwana!
Daah aisee watu wanajenga viwanja vya ndege baharini upo unajadili hilo kama haliwezekani aisee kazi ipo...mna safari ndefu sanaNarudia: yeye kasema ujengwe ukuta katikati ya barabara iliyopo. Hakuna akili yoyote hapo bali kutokuwa na upeo wa kujua mambo wa kutosha. Cha kufanya ni kujenga barabara mbili na katikati pawe na nafasi ya kutosha. BTW hata bila ukuta mara nyingi kati ya hizo barabara kunakuwa na kingo! Naomba tusifu vitu vyenye manufaa ili kufanya watu watafakari mambo kwa upana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]A.k.A kichwa habari!
Hilo ni fuvu lililojaa ugali ndani yake.
Eti ukuta barabarani, hii ndezi kweli, hii nchi uhuru umeanza kupitiliza mpaka watu wanachezea servers za jf hovyo hovyo
Hiki kikingo gari kama iko speed inapita hapo na kuleta ajariInawezekana mkuu sema jamaa ameshindwa kuelezea ni ukuta wa aina gani huo!.
Huyu jamaa alitaka kusema kingo ngumu za zege ambazo kuna nchi kadhaa hata hapo Kenya zimejengwa kwenye ile High Way ya kuelekea kasikazini, hata mtu wa kutembea kwa miguu huwezi kuruka kwa haraka.
Hii kitu ni nzuri sana tatizo ni mfumo na serikali kuamua kuwekeza kwenye eneo hilo.
View attachment 2196546View attachment 2196547
Hama mkuu, CCM wanakuhitaji aisee. By the way napinga na kuona wazo lako ni la kijinga bila kutoa mbadala wake au kuonyesha wapi umekosea so yawezekana mimi nikawa mjinga kuliko weweNipo chauma ubwabwa
Lakini tunapishana hivyo hivyo na tuko 100 kph njia ya mjimwema kwenda kongowe. Hatari sanaBarabara ni nyembamba sana na inaleta hofu kubwa sana mnapopishana na roli.