Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,919
Dereva angekuwa more comfortable makonda wanakaa uku na uku wanakuwa wanamsaidia kuangalia sidemirrorBado Natafakari design ya hiyo gari na site mirror zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dereva angekuwa more comfortable makonda wanakaa uku na uku wanakuwa wanamsaidia kuangalia sidemirrorBado Natafakari design ya hiyo gari na site mirror zake
Mkuu nadhani na wewe ulitaka kumaanisha Side mirrors. Gari hazina 'Sight mirrors'Sio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwanini kwa nini mwandishi akiri zako ziliwekwa makalioni badala ya kichwani [emoji41]
Mmmh sababu yako mkuu siiungi mkono maana kama wangeamua kuuweka katikati manake ni kwamba na izo factor nyingine zote ulizozitaja zinazopelekea huu usalama unaousema si pia zingewekwa nazo pia hapo katikati ili kuendelea kumsaidia dereva ili aendeshe kwa usalamaUsukani kukaa kulia au kushoto ni salama zaidi kuliko katikat. Kwanza inamsaidia dereva kuona MTU alinyuma yake, inamsaidia kuzuia ajali kwa kuwa dereva anajua umbali sahihi pindi kipishana na chombo kingine. Sasa ukikaa katikati lazm utafanya makadirio tu ha ha ha
At least hii sababu nadhani inaweza kuwa ni mojawapo kati ya nyingi zilizopelekea hii kituHili dereva aweze kuwa huru zaid bila kusumbuliwa au kugusana anapo piga kona zozote.
Usukani ukiwa kati, maan dereva atakuwa amewekwa katikati ya abiria, hapa anaweza asiwe flexible au comfortable sana, kinyume na hapo kuwe kuna gape kubwa kati ya siti ya dereva na abiria hao wawili kwa kila upande, na kufanya gari liwe pana zaidi
Niwazavyo.
Mkuu kwanini usitafakari design ya gari hili ambalo tumelikuta lenye right na left hand drive steering wheel kama waliweza kulidesgn hili why washindwe ilo lenye syeering katikati mkuu ni rahisi tu na inawezekana mzeeBado Natafakari design ya hiyo gari na site mirror zake
Mbona cha kwangu mimi nimekiweka katikati ya chumba na pia mbona watu wengi wanaweka vitanda vyao katikati mkuu hii wala haiusiani na mada kabisa alafu haiwezi kuwa sababu ya kisayansi ata kidogo mkuu!Je unajua kwanini kitanda hakiwekwi katikati ya chumba?
Ukijua hilo hata la gari utakuwa umemaliza. Utakua umepata jibu.
akijibu nitagitrekta mbona usukani uko katikati,
Ina maana dreva wa trekta yeye waga haoni inapoishia lane yake kweli kiongozi na pia hii haiwezi kuwa sababu ya kisayansiPale ulipo ndipo unamfanya dereva aendeshe kwa usahihi zaidi kuliko kama ungekuwa katikati kama bajaji, dereva kuwa kulia mwa gari kunamfanya aone inamoishia lane yake kwa usahihi zaidi na kutosababisha ajali kwa sisi tunaopita kushoto mwa barabara
Kwa vile usukani walitengeneza wazungu mi huwaga sina shaka,ndiyo maana nikipanda ndege rubani akijitamburisha huwa nakagua kama ni mtu mwenye ngozi nyeupe huwa napatwa na amani na usingizi juu,ila nikisia na kuona mtu mweusi huwa sisahau kusali.Mzungu hata akiniletea keki zimetengenezwa na ma.vi nitazila kwa amani yote.MSINICHUKILIE VIBAYA NDIVYO IMANI YANGU INAVYOSEMA.Ivi ni sababu zipi za kisayansi ama za kawaida zilizo na zinazosababisha mpaka leo uskani (sterling) ya gari isiwekwe pale katikati bali huwekwa pembeni kushoto ama kulia mwa gari
Wakati kwa kawaida mtu ukiangalia unaona labda ungekaa pale katikati ingekuwa ni rahisi zaidi kwa dereva kuendesha kwa usahihi zaidi na uenda labda ili lingeweza kupunguza ajali za magari barabarani
Kwa yeyote anayejua sababu za kisayansi zinazozuia uskani kukaa katikati karibu atujuze wengine tusio jua izo sababu
Hilo limeundwa kwaajili ya kuwa mashambani, hakuna mambo ya kupishana huko. Ni mara chache tractor kuwa barabarani ni wakati ule linapokua linapelekwa shambani tu.trekta mbona usukani uko katikati,
Maza yangu mie huyo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui kwann nimechekaa,.nimewaza tuu dereva akiwa amekaa katikati na usukani wake..[emoji23][emoji23][emoji23]