Kwanini usukani wa gari haukuwekwa katikati na badala huwekwa kushoto ama kulia?

Kwanini usukani wa gari haukuwekwa katikati na badala huwekwa kushoto ama kulia?

Nawe zile ni side mirrors !!!!! Siyo sight mirror
Kutokujua ni kutokujua tu, yaani hata maana ya sight hujui? Kuna kosa gani kutumia neno sight hapo? Shule za kibashite hizi, kweli hasara. Kwa taarifa yako sight mirror ni sahihi zaidi kitaalamu kuliko side mirror
 
Putting the steering wheel on one side allows the driver to sit closer to the middle of the road, where visibility is best. ... It makes it easier to see cars coming on the other side of the road. It also makes it easier to get in and out of the car.
 
Kwa vile usukani walitengeneza wazungu mi huwaga sina shaka,ndiyo maana nikipanda ndege rubani akijitamburisha huwa nakagua kama ni mtu mwenye ngozi nyeupe huwa napatwa na amani na usingizi juu,ila nikisia na kuona mtu mweusi huwa sisahau kusali.Mzungu hata akiniletea keki zimetengenezwa na ma.vi nitazila kwa amani yote.MSINICHUKILIE VIBAYA NDIVYO IMANI YANGU INAVYOSEMA.
Aisee
Bila shaka hata akitaka kukuamber ruti utakubali kiroho safii
 
Sio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
Dah siyo sight mirrors...ni side mirrors (vioo vya pembeni) iweje viwekwe katikati [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kutokujua ni kutokujua tu, yaani hata maana ya sight hujui? Kuna kosa gani kutumia neno sight hapo? Shule za kibashite hizi, kweli hasara. Kwa taarifa yako sight mirror ni sahihi zaidi kitaalamu kuliko side mirror
Kubali kushindwa! Utaalam UPI zaidi ya engineering na Physics ????

Mechanical engineering na Physics zote zinasema side mirrors

Sight mirrors ni kosa!

Nina umri kuliko Bashite na nimesoma shule na vyuo vizuri kuliko Bashite wako huyo
 
Back
Top Bottom