britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nisikilize mimi acha ubishi
Badhi ya magari ya zamani yalikuwa na steering kati kati lakin ikaja kuonekana ni bora kuwa pembeni kutokana na sababu hizi
Badhi ya magari ya zamani yalikuwa na steering kati kati lakin ikaja kuonekana ni bora kuwa pembeni kutokana na sababu hizi
- kuwa na steering kati kati kulisababisha dereva ili ajisikie huru ilibidi awe mwenyewe mbele kama unavyoona bajaji, hii ingesababisha labda watengeneze gari pana sana ili akae na wenzake wawili mmoja kulia mwingine kushoto maana mbele magari mengi wanakaa watu wawili dereva na mtu wa pembeni basi, hivi kuweka kati kati haitabalance nafasi kwa wengine
- Kuweka steering katikati ingesababisha dereva kushindwa kuona kinachoendelea kwenye barabara nyuma yake kupitia side mirrors maana waliokaa pembeni hapo wangemkinga hasione
- Usukani au steering wheel iko connected na steering shaft ambayo sasa ingebidi kurefushwa zaid mpaka kwenye gear box kupitia kwenye njia hiyo ingekuwa kwamba engine na na shaft zimeingiliana kwenye njia kama steering ingekuwa kati kati