Kwanini usukani wa gari haukuwekwa katikati na badala huwekwa kushoto ama kulia?

Sio gari linabeba abiria mbele wakiwa siti moja na dereva
 
Kuna gari ya Muingereza ilitengenezwa kipindi cha nyuma ilikuwa inaitwa Vanguard ilikuwa na usukani(Sterling) upande wa kulia na kushoto kwa wakati mmoja.
 
Niliwaza utotoni, mawazo yakapotea kusikojulikana...
 
Ukikaa kati utawezaje kuovertake mzee baba
 
Kwanini bajaji, tractor, excavator na grade sterling zao zipo katikati??? Ukipata jibu utakuwa umejinjibu swali lako
Hii inaweza kuwa ni mojawapo kati ya sababu lakni vip kwa gar za LHD nazo unaziweka wapi kwa hii point yako ndugu ama zenyewe ni vice versa zinapata ajali sana mkuu??
 
Je unajua kwanini kitanda hakiwekwi katikati ya chumba?

Ukijua hilo hata la gari utakuwa umemaliza. Utakua umepata jibu.
Hakiwekwi katikati ya chumba uswahilini.. Watu wenye mijengo na room zwnye nafasi wanaweka kitanda katikati
 
Sio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
Ahahahha...sio sight mirrors ni side mirror..
 
Ina maana dreva wa trekta yeye waga haoni inapoishia lane yake kweli kiongozi na pia hii haiwezi kuwa sababu ya kisayansi


Ukitazama tractor ni jembamba zaidi katika eneo la uendesheaji, hata abiria wake hukalia vizuizi vya matope huku eneo la kupandia likiwa wazi na lina uwazi mkubwa kati ya gurudumu ya mbele na nyuma kiasi kwamba alama za lane zinaonekana kwa urahisi kuliko gari ambalo huwa limefungwa na driver huona nje kupitia vioo/madirisha, tazama hata greda la kusembulia barabara lina umbile la kufanana na tractor kama lina vioo utaona vimeshuka mpaka chini zaidi ya vile vya magari
 
Kati kati kuna raha nyingi ina jiwe's voice

Hapo watengenezaji wa majeneza wangetajirika
 
Sababu ni MOJA tuu......kioatikane nafasi ya mtu mwingine kukaa vizuri mbele.....ki swahili tunaita proper utilizationi ofu lisosezi!
 
Sio gari linabeba abiria mbele wakiwa siti moja na dereva
kwa hiyo, akiwa kati upande mmoja atakuwa abiria ule wa pili huwe tupu? matumizi mabaya ya vyombo,haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…