Sio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
Je usukani wa pikipiki haufai kuwekwa upande wa kulia?Bajaji na gari tofauti
Nawe zile ni side mirrors !!!!! Siyo sight mirrorSio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
Kutokujua ni kutokujua tu, yaani hata maana ya sight hujui? Kuna kosa gani kutumia neno sight hapo? Shule za kibashite hizi, kweli hasara. Kwa taarifa yako sight mirror ni sahihi zaidi kitaalamu kuliko side mirrorNawe zile ni side mirrors !!!!! Siyo sight mirror
Swali lake ni zuri... ww ndio una matatizo sasa..Kwanini kwa nini mwandishi akiri zako ziliwekwa makalioni badala ya kichwani [emoji41]
Trekta linaingia katika kundi la equipmentstrekta mbona usukani uko katikati,
Zinaitwa side mirrors siyo sight mirrorSio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
AiseeKwa vile usukani walitengeneza wazungu mi huwaga sina shaka,ndiyo maana nikipanda ndege rubani akijitamburisha huwa nakagua kama ni mtu mwenye ngozi nyeupe huwa napatwa na amani na usingizi juu,ila nikisia na kuona mtu mweusi huwa sisahau kusali.Mzungu hata akiniletea keki zimetengenezwa na ma.vi nitazila kwa amani yote.MSINICHUKILIE VIBAYA NDIVYO IMANI YANGU INAVYOSEMA.
Matusi hayo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee
Bila shaka hata akitaka kukuamber ruti utakubali kiroho safii
Ni mzungu,bili sio mtu mweusiMatusi hayo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah siyo sight mirrors...ni side mirrors (vioo vya pembeni) iweje viwekwe katikati [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio 'sterling' ni steering ( wheel)! Jiulize: kwa nini sight mirrors hazikuwekwa katikati badala yake ziko pembeni mwa gari?
Kubali kushindwa! Utaalam UPI zaidi ya engineering na Physics ????Kutokujua ni kutokujua tu, yaani hata maana ya sight hujui? Kuna kosa gani kutumia neno sight hapo? Shule za kibashite hizi, kweli hasara. Kwa taarifa yako sight mirror ni sahihi zaidi kitaalamu kuliko side mirror
Kuendesha LEFT hand wakati upo TZ ni sawa na ku.........[emoji3][emoji3] Kumbuka kuna left hand alaf tunaovertake right hand.