Kwanini utajiri wa watu wa Nyanda za juu Kusini, huwa hauchechemui watu?

Wakinga wana discipline ya matumizi ya pesa usidanganywe na story za mitaani. Wakinga wanachapa kazi sana. Kama pesa zao zinapatikana kwa ushirikina basi Makete nzima wangekuwa matajiri.
Utakuwa na wewe ni mmoja wapo. Kazi kuchapa wanachapa makabila mengi tu ila nyinyi mumeongeza na uchawi wa makafara. Sasa kama nyinyi ni matajiri kwanini hamuishi maisha ya starehe kama Wachagga?? Wachagga wwnapiga kazi, wanatunza hela lakini kwenye matumizi bado ndiyo kabila linaongoza kula bata.

Waangalie Wachagga Desemba wanavyondoka na magari ya fahari kwenda Kilimanjaro. Wanafanya sherehe, wanakaa kwwo kwenye majumba mazuri.

Nyinyi Wakinga bado Makete iko kama enzi za Nyerere. Mnamiliki magorofa Kariakoo, Mbeya ma Iringa lakini Makete hakuna kitu.

Acheni USHIRIKINA
 
Unatunza pesa miaka 15 ili uzipeleke wapi? Mbona wakifa hatuoni hata vizazi vyao vikiendelea na utajiri huo?
 
Miti kuanzia kupanda hadi kuja kuvuna ni miaka mingapi? Mbona mnaongea kama headless chicken nyie??
Kwani miti imeanza kupandwa Leo hii?
Binafsi nawajua jamaa zangu ambao waliachiwa urithi wa miti na wazazi wao walipata pesa lakini wakachezea wapo vijana wengine walipata pesa wameingia kwenye biashara kwa sasa wapo mbali
 
Hii dhana ya utajiri wa kichawi ni dhana duni sana mkuu.

Ngoja ni vuruge kidogo😂
Tukisema utajiri kumaanisha ule Utajiri kweli . Unawezeshwa na kingdom mbili ya Nuru au Giza. Kubali ila uki kataa ni sababu huna au hujafika.
Upande wa Giza unakupa kweli kabisa achana na Hawa waganga matapeli shety anatoa kweli. Kama messiah tu aliambiwa asujudu tu Aachiwe Maisha why not kwako? 😂😂😂

Na upande wa Nuru ni kwamba ni Baraka zinazoanza kwa juhudi zako na kulipa gharama zake pia. Hapo ni wewe ndiyo unaanza hiyo safari na kuweka mazingira ila matokeo yatakuja kwa kizazi chako hata Cha Tano au sita huko, lakini wakiwa na mindset kama yako.😂😂
HIVI NDO ILIVYO
Vinginevyo ni labda kama unataka vipesa na Hela tu sio Utajiri. Utapataje mi Sijui.
 
🤣🤣🤣 mimi sijui ngoja nichape kazi tu
 
ya!! sure!!! mautajiri ya kiuchawi yapo huko!!!!!,,haiwezekani unamiliki fuso 80 alaf unavaa yeboyebo na boxer zilizotoboka@@@@@
 
Kiukweli mimi siamini katika mali za kuua ndugu.
Ila wakinga ninachowashangaa Mtu ana hela lakini anaishi maisha duni unakuta kavaa sendo imelika soli au anavaa nguo zimechoka hata maji ya kununua anaona ghali anakunywa na kudownload.
Sasa utajiri gani huo
 
Wengi hawamfahamu Sauli nimeshangaa kuona baadhi wanamuhusisha na utajiri wa kishirikina

Jamaa alipambana sana kwenye madini huko Chunya

Na bado kuna kiongozi mkubwa alishawahi kumfamyia umafia ila mwamba akaendelea kupambana
Maskini tuna stress sana, km ingekuwa pesa rahisi hivyo basi watanzania wote tungemiliki pesa sidhani km kuna mtu anayependa kuteseka na maisha magumu.!!
 
Kwani miti imeanza kupandwa Leo hii?
Binafsi nawajua jamaa zangu ambao waliachiwa urithi wa miti na wazazi wao walipata pesa lakini wakachezea wapo vijana wengine walipata pesa wameingia kwenye biashara kwa sasa wapo mbali
Kwa hiyo usi generalise kuwa miti ndiyo inawatajirisha kufika hapo walipofika, ndiyo maana kuna wengine wakafeli. Angalizo tu.
 
🤣🤣🤣🤣 we jamaa utakuwa mmoja wa waliokiuka masharti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…