Kwanini utajiri wa watu wa Nyanda za juu Kusini, huwa hauchechemui watu?

ASAS alitajirikia uwindaji pembe za ndovu huko pori la Ruaha miaka hiyo kabla dunia haijadhibiti. Ila badaye akawekeza kwenye tranport, vituo vya mafuta na ufugaji. Hakuna ushirikina pale
Nakumbuka mwaka 2010 tulikutana na Mzee ASAS na vijana wake kwenye seminar ya matumizi ya ruzuku kwa SME'S iliyotolewa na taasisi fulani kwa kushirikiana na serikali. Kwa upande wa nyanda za juu kusini tulikutana Iringa. Nakumbuka aliomba ruzuku ile kukuza uzalishaji wa products za maziwa. Na watoa ruzuku walikuwa wanafadhili 75% ya thamani ya equipments unazozihitaji na kiasi kinachobaki unakitoa mwombaji wa ruzuku. Na sharti ilikuwa lazima u deposit hiyo 25% kwa Suppliers then kiasi kinachobaki wanalipa wao. Mchakato huu ulitick and the rest is history. Watu wanabaki kusema anatumia manyoka. Mzee ASAS na familia yake wamepambana sana kwa mikakati mizito mpaka wanafika hapo.
ASAS alitajirikia uwindaji pembe za ndovu huko pori la Ruaha miaka hiyo kabla dunia haijadhibiti. Ila badaye akawekeza kwenye tranport, vituo vya mafuta na ufugaji. Hakuna ushirikina pale
 
Kwenye shule hakika wanawasomesha sana watoto wao siku hizi, tena shule nzuri kabisa O-levle na A-level
Ipo siku watazagaa kwenye taasisi mbalimbali za serikali, vyombo vya maamuzi na sekta binafsi bila kuacha biashara tutaanza kusema wanatumia ndumba.

Sasa hivi wanapigwa sana na watoza kodi pamoja na ambao wangeweza kuwatetea mahakamani. Walichoamua ni kuwapeleka watoto wao shule ili baadae wawasaidie. Kuna flow kubwa ya watoto wa kikinga kuingia mtaani toka vyuoni.

Kama mali za kishirikina na deal wasingehangaika kuwapeleka watoto wao vyuoni Uingereza, Marekani, Korea na China. Wangewaonyesha waganga wanakopatikana.

Pia Wakinga wanachukua sana mikopo ya kibiashara bank. Na wakichukua wana discipline ya kuzirudisha ili waendelee kuaminika. Kwa wale wenye auditing&accounting firm pamoja na advocacy firm wanaelewa sana hili maana ndio wateja wao pamoja na wachaga.

Na jambo lingine linalowafanya wapige hatua kwa kasi wanashirikiana na kuaminiana sana baina yao. Ni rahisi kwa Mkinga wa Kariakoo kumpa mzigo wa 100M mkinga mwenzie wa Mbeya kwa mali kauli tu akiuza achukue cha juu zingine amrejeshee kwenye account. Hawa jamaa wanakua kwa kasi na kuna mambo ya kuwaiga zaidi ya kuwashutumu kwa ushirikina
 
Unaweza ukafirisika kabla hujafa
Ikiwa ni mtu mwenye ufahamu hata kiduchu tu huwezi kushangaa kufisirika kabla hujafa.
 
Igweeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa wale ninaofahamiana nao binafsi kwa kweli wana nidhamu sana ya pesa, mpaka kuna wakati unawaonea huruma. Ila siku hizi hata nyumba na magari wanazo nzuri kabisa.
 
Kwa hali ya kawaida huwezi kuwa na pesa hlf ukaishi maisha ya shida,,hata hao ambao wanahamasisha nidhamu ya pesa,watasema usitapanye katika mambo ya starehe,lkn kama kula yako ni shida,vaa ni shida na kulala ni shida,hakika kuna shida pahala
 
Mbona nimeanza kumsikia Sauli miaka mingi itakuwaje awe na miaka 40? Alipata utajili akiwa Primary school?
Sauli uliyeanza kumsikia ww ni yule wa vipodozi na landmark hotel,huyo ni kweli yupo kwenye game kitambo na alikuwa mbunge wa kipindi kimoja toka 2015 mpaka 2020 rungwe na bado yupo kwenye game

Huyu wa mabasi kaibuka tu from no where😀 mara paap tajiri wa mabasi kibao
 
Ni hili tatizo si la Wakinga tu ni karibu waafrika wengi hatuwapitishi watoto wetu tunamopita ili kufikia mafanikio. Ingawa kwa sasa watoto wa kikinga wakiwa likizo unawakuta dukani kwa wazazi wao au kiwandani wakiendelea na shughuli kama ilivyo kwa wahindi.
 
Mimi nijuavyo matajiri wengi wa huku wamepata utajiri wao kwa njia ya kimafia, yaani ujambazi, dhulma, utapeli na umafia wa kila namba ie Fulldose, Achimwene,Sauli, etc shida inakuja pindi wakifa na mali pia hufa coz watoto hawawezi kufanya Dili za kimafia kama za wazazi wao. Pia vifo vingi ukivichunguza kuna kulipana kisasi kutokana na umafia uliofanyika
 
Na huyo mwenye Landmark ndiye mmiliki wa mabasi ya Rungwe na supermarket za S.H. Ammon

Hii nakubaliana na wewe ni kama wakina Jombi miaka tisini na wengine ambao wako hai na ni matajari hadi leo. Baadhi wamefanya sana biashara za magendo na haramu. Biashara hizi pia ukikiuka masharti ya wenye mfumo kupoteza uhai ni dakika sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…