Kwanini utawala wa Nyerere ulikumbwa na misukosuko mingi ukilinganisha na utawala wa Mwinyi, Mkapa na wengine?

Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja kutokea katika tawala zingine. Mfano wakati wa utawala wa Nyerere tuliona majaribio mawili ya mapinduzi yalioshindwa, hali iliyopelekea mzee wetu aamue kung'atuka mwenyewe kabla haja ng'atuliwa, maana kwa hali ya nchi ilivyokuwa kipindi kile bila shaka mwenyewe aliona kwamba asingeweza kumaliza miaka mingine mitano akiwa madarakani.

Lakini pia ukiachana na hayo ya mapinduzi pia kulikuwa na misuko suko mingine, mfano yale mauaji yaliosababisha waziri wa mambo ya ndani wa wakati ule mzee wetu mh Ally H Mwinyi kujiuzulu uwaziri. Pia kulikuwa na misuko suko mingine iliyopelekea kina mzee Kawawa, bibi Tito Mohammed na wengineo kufungwa jela. Lakini kama hiyo haitoshi, wapo waliamua kukimbia hata nchi na kwenda kuishi ughaibuni, mfano mzee wetu hayati Oscar Kambona na wengineo.

Hapo sijagusia ukosefu wa vitu muhimu nchini kama vile chakula, mafuta ya kupikia na ya taa, ukosefu wa madawa hospitalini, usafiri kuwa washida mpaka yakaletwa yale magari yalioitwa chai maharage, mzunguko wa pesa mtaani ukawa wa mdondo. Nguo, viatu, soksi, mafuta ya kupaka, sabuni navyo vikawa havipatikani.

Cha kushangaza alipoondoka mwl Nyerere na kuingia Mwinyi, hali ilibadilika kwa kiasi kikubwa. Hakuna aliethubutu kuwaza tena mapinduzi, bidhaa zote muhimu zilipatikana kwa urahisi mitaani. Mzunguko wa pesa ukawa mkubwa, mitumba ya nguo, viatu, soksi kila kona, madawa yakawa mengi hospitalini mpaka watu wakaamua kufungua na zahanati zao. Pia hakuna aliewaza tena kukimbia nchi, isipokuwa tuliishuhudia wale waliokimbia utawala wa kwanza wanaaza kurejea katika utawala huu wa pili nk.

Hali hii aliyoanza nayo Mwinyi, naona imeendelea hadi leo. Je, ni kwanini misuko suko ilikuwa zaidi wakati wa awamu ya kwanza na sio awamu zingine? Je mwl Nyerere alihujumiwa au sera zake mwenyewe ndio zili muhujumu? Inamaana mzee Mwinyi kwa kutumia uwezo wake na cheo chake aliweza kulisuka vizuri jeshi letu na kurejesha utiifu wao kwa serikali yao na raisi wao? Je inamanaa Mwinyi hakuwa na maadui wa kuitingisha serikali yake, hadi kupelekea wengine kukimbia kama walivyokimbia awamu ya kwanza? Mwenye kujua zaidi sababu zilizopelekea mwl Nyerere kushindwa kuituliza hali, hadi kuamua kung'atuka anakaribishwa kutujuza. Asanteni sana kwa kunisoma?
Kung'atuka kwa NYERERE hakukuwa na maana kuwa alishindwa bali alitaka awaweke watu wengine Madarakani na awafundishe watu jinsi gani nchi inatakiwa kuongozwa. Katika kazi yoyote ile Kuna kuwa Kuna mafunzo ya jinsi ya kuifanya kazi husika kiusahihi zaidi. Na mkaguzi wa mafunzo husika hutoa maelekezo ya sehemu za kurekebisha( Ndicho alichofanya NYERERE)-Rejea, migogoro mbalimbali iliyojitokeza baada ya MWINYI kuchukua madaraka(1.Kushuka kwa thamani ya elimu(2) Loliondo(3) Muungano wa TZ,(4)ya kidini(5) OIC ).
KIFUPI: Alichofanya MWINYI Katika marekebisho ya uchumi hata NYERERE alikuwa anaweza kufanya ( si ilikuwa kukubali tu, masharti ya taasisi za kifedha duniani. Sasa NYERERE angeshindwa nini?).
Na NYERERE ali "play role"kubwa sana katika demokrasia ya Tanzania.( Kuwa mfumo wa vyama vingi uanzishwe na watu wapate nafasi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka, lakini kwa nafasi ya urais lazima chama husika cha siasa kiwe kimejijenga kwa kuwa na uongozi madhubuti katika kila eneo).
 
Kwa namna Mwinyi alivyoikuta nchi yetu, kwa kweli hapakuwa na namna yoyote ya kuendesha nchi bila kukopa ili apate hela za kuleta maendeleo kama vile kujenga hospital (kabla yake hospital zilikuwa chache, tena zimechoka kutokana na hali mbaya ya uchumi.
Nyingi zilikuwa hazina madaktari wala manesi wa kutosha, na hospital zingine zilifungwa kabisa kwa sababu madaktari waligoma kufanyakazi isiyo na malipo) alinunua madawa mbali mbali baada ya hospital nyingi kukosa madawa, alijenga barabara (kabla yake pia barabara zilikuwa zimechoka, mfano morogoro road ilikuwa na njia mbili tu, Mwinyi ikabidi aipanue, na ndio hizi zilizoendelea kutumika hadi hapa juzi serikali ipoamua kuja na plan ya njia 8),

kajenga shule ktk baadhi ya maeneo ambayo hayakuwa na shule, kajenga ofisi mbali mbali za serikali baada ya kukuta zilizopo zilikuwa hazina hadhi hata ya kutumiwa na mjumbe wa nyumba 10, ilibidi akope ili kupata hela za kuwalipa watumishi wa serikali kama vile mawaziri, makatibu, madaktari, walimu, wafanya kazi mbali mbali katika ofisi za umma, askari wa vyombo vya ulinzi na usalama (hili lilikuwa kundi muhimu kupewa mshahara maana bila hivyo lingeendelea kufanya uasi dhidi ya serikali),
hii ilisababisha nchi kufunguka. Watu wakafungua maduka, dispensary, zahanati, pharmacy mbali mbali za kuuza madawa, maduka ya nguo za mitumba na dukani, maduka ya tv, radio na vyombo vingine vya moto.

Hela ikaanza kuonekana mtaani, maisha yakaanza kuwa ya kawaida kama zilivyo nchi za wenzetu za Kenya, Uganda nk ambapo hapo awali walituona kama sisi tunaishi kitumwa nk. kupatikana kwa wingi mtaani.
Mwinyi kaifanyia makubwa Sana hii nchi,Ila anatukanwa na kudhihakiwa kisa anatokea 'pwani'..aliyeharibu anatukuzwa
 
Kung'atuka kwa NYERERE hakukuwa na maana kuwa alishindwa bali alitaka awaweke watu wengine Madarakani na awafundishe watu jinsi gani nchi inatakiwa kuongozwa. Katika kazi yoyote ile Kuna kuwa Kuna mafunzo ya jinsi ya kuifanya kazi husika kiusahihi zaidi. Na mkaguzi wa mafunzo husika hutoa maelekezo ya sehemu za kurekebisha( Ndicho alichofanya NYERERE)-Rejea, migogoro mbalimbali iliyojitokeza baada ya MWINYI kuchukua madaraka(1.Kushuka kwa thamani ya elimu(2) Loliondo(3) Muungano wa TZ,(4)ya kidini(5) OIC ).
KIFUPI: Alichofanya MWINYI Katika marekebisho ya uchumi hata NYERERE alikuwa anaweza kufanya ( si ilikuwa kukubali tu, masharti ya taasisi za kifedha duniani. Sasa NYERERE angeshindwa nini?).
Na NYERERE ali "play role"kubwa sana katika demokrasia ya Tanzania.( Kuwa mfumo wa vyama vingi uanzishwe na watu wapate nafasi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka, lakini kwa nafasi ya urais lazima chama husika cha siasa kiwe kimejijenga kwa kuwa na uongozi madhubuti katika kila eneo).
Unahangaika kutetea ujinga...nyerere asingekua mkosoaji mkubwa wa mwinyi ikiwa mwinyi alikua alifanya vitu ambavyo vimeshapangwa...kile kijembe Cha 'nimekutoeni kwenye foleni ya unga' kinamulika mengi kwenye hoja yako,kubalini dingi alipuyanga
 
Ya hii inashangaza sana kwa kweli. Ila ni kwa sababu watu walikuwa washalishwa propaganda na mtukuzwaji ambae alitaka watu waone kuwa ni yeye tu peke yake ndio alieifanyia makubwa nchi hii. Mwinyi yeye sio mtu wa kujikuza na kujitukuza kama hawa wengine.
 
Unahangaika kutetea ujinga...nyerere asingekua mkosoaji mkubwa wa mwinyi ikiwa mwinyi alikua alifanya vitu ambavyo vimeshapangwa...kile kijembe Cha 'nimekutoeni kwenye foleni ya unga' kinamulika mengi kwenye hoja yako,kubalini dingi alipuyanga
Mkuu huyo kijana anaonekana hana analolijua. Anaonekana kuwa ni mmoja wa watu waliozaliwa miaka ya 90 na kuanza kulishwa propaganda za mtukuzwa, bila wao kujua madhila tuliyopitia kabla ya Mwinyi.

Ki ukweli mwl Nyerere namheshim na kumkubali kwa baadhi ya mambo, ndo maana nimemuweka hata kwa avatar yangu.
Ila kwa upande mungine kuna mambo kibao aliharibu katika nchi yetu, na ilitakiwa mtu mwenye moyo, maono na ujuzi kama Mwinyi aiponye nchi.

Mzee Mwinyi Mungu mwenyez atamlipa kwa yote mazuri aliyolifanyia taifa letu.
 
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja kutokea katika tawala zingine. Mfano wakati wa utawala wa Nyerere tuliona majaribio mawili ya mapinduzi yalioshindwa, hali iliyopelekea mzee wetu aamue kung'atuka mwenyewe kabla haja ng'atuliwa, maana kwa hali ya nchi ilivyokuwa kipindi kile bila shaka mwenyewe aliona kwamba asingeweza kumaliza miaka mingine mitano akiwa madarakani.
Lakini pia ukiachana na hayo ya mapinduzi pia kulikuwa na misuko suko mingine, mfano yale mauaji yaliosababisha waziri wa mambo ya ndani wa wakati ule mzee wetu mh Ally H Mwinyi kujiuzulu uwaziri. Pia kulikuwa na misuko suko mingine iliyopelekea kina mzee Kawawa, bibi Tito Mohammed na wengineo kufungwa jela. Lakini kama hiyo haitoshi, wapo waliamua kukimbia hata nchi na kwenda kuishi ughaibuni, mfano mzee wetu hayati Oscar Kambona na wengineo.
Hapo sijagusia ukosefu wa vitu muhimu nchini kama vile chakula, mafuta ya kupikia na ya taa, ukosefu wa madawa hospitalini, usafiri kuwa washida mpaka yakaletwa yale magari yalioitwa chai maharage, mzunguko wa pesa mtaani ukawa wa mdondo. Nguo, viatu, soksi, mafuta ya kupaka, sabuni navyo vikawa havipatikani.
Cha kushangaza alipoondoka mwl Nyerere na kuingia Mwinyi, hali ilibadilika kwa kiasi kikubwa. Hakuna aliethubutu kuwaza tena mapinduzi, bidhaa zote muhimu zilipatikana kwa urahisi mitaani. Mzunguko wa pesa ukawa mkubwa, mitumba ya nguo, viatu, soksi kila kona, madawa yakawa mengi hospitalini mpaka watu wakaamua kufungua na zahanati zao. Pia hakuna aliewaza tena kukimbia nchi, isipokuwa tuliishuhudia wale waliokimbia utawala wa kwanza wanaaza kurejea katika utawala huu wa pili nk.
Hali hii aliyoanza nayo Mwinyi, naona imeendelea hadi leo. Je, ni kwanini misuko suko ilikuwa zaidi wakati wa awamu ya kwanza na sio awamu zingine? Je mwl Nyerere alihujumiwa au sera zake mwenyewe ndio zili muhujumu? Inamaana mzee Mwinyi kwa kutumia uwezo wake na cheo chake aliweza kulisuka vizuri jeshi letu na kurejesha utiifu wao kwa serikali yao na raisi wao? Je inamanaa Mwinyi hakuwa na maadui wa kuitingisha serikali yake, hadi kupelekea wengine kukimbia kama walivyokimbia awamu ya kwanza? Mwenye kujua zaidi sababu zilizopelekea mwl Nyerere kushindwa kuituliza hali, hadi kuamua kung'atuka anakaribishwa kutujuza. Asanteni sana kwa kunisoma?
 
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja kutokea katika tawala zingine. Mfano wakati wa utawala wa Nyerere tuliona majaribio mawili ya mapinduzi yalioshindwa, hali iliyopelekea mzee wetu aamue kung'atuka mwenyewe kabla haja ng'atuliwa, maana kwa hali ya nchi ilivyokuwa kipindi kile bila shaka mwenyewe aliona kwamba asingeweza kumaliza miaka mingine mitano akiwa madarakani.
Lakini pia ukiachana na hayo ya mapinduzi pia kulikuwa na misuko suko mingine, mfano yale mauaji yaliosababisha waziri wa mambo ya ndani wa wakati ule mzee wetu mh Ally H Mwinyi kujiuzulu uwaziri. Pia kulikuwa na misuko suko mingine iliyopelekea kina mzee Kawawa, bibi Tito Mohammed na wengineo kufungwa jela. Lakini kama hiyo haitoshi, wapo waliamua kukimbia hata nchi na kwenda kuishi ughaibuni, mfano mzee wetu hayati Oscar Kambona na wengineo.
Hapo sijagusia ukosefu wa vitu muhimu nchini kama vile chakula, mafuta ya kupikia na ya taa, ukosefu wa madawa hospitalini, usafiri kuwa washida mpaka yakaletwa yale magari yalioitwa chai maharage, mzunguko wa pesa mtaani ukawa wa mdondo. Nguo, viatu, soksi, mafuta ya kupaka, sabuni navyo vikawa havipatikani.
Cha kushangaza alipoondoka mwl Nyerere na kuingia Mwinyi, hali ilibadilika kwa kiasi kikubwa. Hakuna aliethubutu kuwaza tena mapinduzi, bidhaa zote muhimu zilipatikana kwa urahisi mitaani. Mzunguko wa pesa ukawa mkubwa, mitumba ya nguo, viatu, soksi kila kona, madawa yakawa mengi hospitalini mpaka watu wakaamua kufungua na zahanati zao. Pia hakuna aliewaza tena kukimbia nchi, isipokuwa tuliishuhudia wale waliokimbia utawala wa kwanza wanaaza kurejea katika utawala huu wa pili nk.
Hali hii aliyoanza nayo Mwinyi, naona imeendelea hadi leo. Je, ni kwanini misuko suko ilikuwa zaidi wakati wa awamu ya kwanza na sio awamu zingine? Je mwl Nyerere alihujumiwa au sera zake mwenyewe ndio zili muhujumu? Inamaana mzee Mwinyi kwa kutumia uwezo wake na cheo chake aliweza kulisuka vizuri jeshi letu na kurejesha utiifu wao kwa serikali yao na raisi wao? Je inamanaa Mwinyi hakuwa na maadui wa kuitingisha serikali yake, hadi kupelekea wengine kukimbia kama walivyokimbia awamu ya kwanza? Mwenye kujua zaidi sababu zilizopelekea mwl Nyerere kushindwa kuituliza hali, hadi kuamua kung'atuka anakaribishwa kutujuza. Asanteni sana kwa kunisoma?
 
Kung'atuka kwa NYERERE hakukuwa na maana kuwa alishindwa bali alitaka awaweke watu wengine Madarakani na awafundishe watu jinsi gani nchi inatakiwa kuongozwa. Katika kazi yoyote ile Kuna kuwa Kuna mafunzo ya jinsi ya kuifanya kazi husika kiusahihi zaidi. Na mkaguzi wa mafunzo husika hutoa maelekezo ya sehemu za kurekebisha( Ndicho alichofanya NYERERE)-Rejea, migogoro mbalimbali iliyojitokeza baada ya MWINYI kuchukua madaraka(1.Kushuka kwa thamani ya elimu(2) Loliondo(3) Muungano wa TZ,(4)ya kidini(5) OIC ).
KIFUPI: Alichofanya MWINYI Katika marekebisho ya uchumi hata NYERERE alikuwa anaweza kufanya ( si ilikuwa kukubali tu, masharti ya taasisi za kifedha duniani. Sasa NYERERE angeshindwa nini?).
Na NYERERE ali "play role"kubwa sana katika demokrasia ya Tanzania.( Kuwa mfumo wa vyama vingi uanzishwe na watu wapate nafasi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka, lakini kwa nafasi ya urais lazima chama husika cha siasa kiwe kimejijenga kwa kuwa na uongozi madhubuti katika kila eneo).

Yule wa kituo Cha mafuta pale KCMC Ni Mpenzi wake mpaka leo, anakengine pale Moshi kalevii, kakilewa kanatamba ohhh Nancy amenitumia ya kunywa, mwanamke mchafu sana

Beginning is always hard.
 
Unahangaika kutetea ujinga...nyerere asingekua mkosoaji mkubwa wa mwinyi ikiwa mwinyi alikua alifanya vitu ambavyo vimeshapangwa...kile kijembe Cha 'nimekutoeni kwenye foleni ya unga' kinamulika mengi kwenye hoja yako,kubalini dingi alipuyanga
Hicho kijembe wala hakuwahi kukisikia, hata hizo propaganda alizoandika hapa pia inaonekana wazi kuwa alihadithiwa.
 
Back
Top Bottom